watoza ushuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Watoza ushuru wanakutana huko Arusha kupeana mbinu mbalimbali.

    Tanzania inakuwa mwenyeji wa Mkutano wa 46 wa Chama cha Wasimamizi wa Kodi cha Jumuiya ya Madola (CATA) utakaofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 5 hadi 9 Oktoba, 2026. Mahali: Arusha (katika Hoteli ya Gran Melia). Tarehe: Oktoba 5 hadi 9, 2026. Mgeni Rasmi: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Watoza ushuru wa mageti ya kuingia stendi ya mabasi ya mikoani agufuli rudisheni hizo chenji za sh 200 kwa wanaokata tiketi za kuingia stendi

    Habari zenu wakuu. Naomba kufikisha kero yangu ya muda mrefu hapa jukwaani iwafikie watu wenye mamlaka na uongozi wa stendi ya mabasi ya mikoni, Mbezi Magufuli Terminal. Kiwango cha tozo kuingia stendi ya mabasi ya Magufuli ni sh 300 ila unapokwenda pale na kutoa sh 500 basi wahudumu wake...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni za Watoza Ushuru Dodoma haziwalipi Watu Wanaokusanya Ushuru hasa Halmashauri ya Jiji

    Kuna changamoto kubwa sana kwa WATOZA ushuru, hasa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, unakuta Mzabuni anachukua tenda ya mwaka mmoja, mkataba ukiisha, wale wakusanyaji ushuru (watendaji waliokuwa wakifanya kazi) wanaachwa bila kulipwa na hawana sehemu ya kulalamika. Mfano, kuna kampuni moja...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Dudubaya ajue Bwanaake Yesu alikaa na Mashoga na watoza ushuru. Alikuja kwaajili ya Mashoga na wenye dhambi. Aache kujifaragua. Aache kuu-promoti

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Dudubaya anapenda sana kutumia dini au imani ya kikristo kuzungumzia dhambi ya ushoga. Mara kwa mara amekuwa akiizungumzia dhambi hiyo kana kwamba ndio dhambi pekee. Sio tatizo kupinga na kukemea dhambi. Lakini kuna kukemea na ku-promote. Kuna mstari mwembamba...
  5. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Wapiga debe na madalali wa watoza ushuru waliojificha

    Habari Tanzania ! Nauliza swali. Hivi hawa Raia wanaojihusisha na hizi kazi mbona wanatoza ushuru binafsi pasipo mamlaka husika kujua, je hii ni sawa kwa maendeleo ya nchi? Karibu
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nimefarijika sana kusikia kwa Mchungaji kuwa kumbe makahaba na watoza ushuru wataurithi Ufalme wa Mungu

    Ni kwenye mahubiri ya wiki iloisha nimefarijika sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Watoza Ushuru wa magari makubwa Mpanda sio waaminifu, hawatoi risiti ila fedha wanapokea

    Tunaomba mtusaidie kupaza sauti, Serikali ijue madudu yanayofanyika Mpanda, watoza ushuru wanaotoza ushuru wa magari makubwa kushusha mizigo na kupakia mizigo ndani ya mji sio waaminifu. Baadhi yao wanachukua hela wanaweka mfukoni na hawatoi risiti, kati ya magari 100 wanaoweza kupewa risiti ni...
Back
Top Bottom