watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Magaidi 15 wa Israel ambao wanaua watoto Gaza maiti zao zimepelekwa Israel

    Wanaukumbi. ⚡️15 Israeli terrorists were eliminated by the resistance since the start of December according to Israeli announcements (the real number is more). =============== Magaidi 15 wa Israeli waliondolewa na upinzani tangu mwanzo wa Desemba kulingana na matangazo ya Israeli (idadi halisi...
  2. JamiiForums Tanzania Usikope ili ulipe ada za watoto

    Kuna watu wanapitia magumu sana. Sijui kwasababu ya kuishi kwa kuiga au kukosa maono. Huyu maza nafanya naye kazi shirika moja la umma. Kabakisha muda mfupi kustaafu. One day nilimgusia suala la ukosefu wa ajira nchini na duniani ndipo akafunguka kuwa watoto wake kasomesha private both primary...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Taqwa Foundation Yatoa Msaada wa Vifaa vya Skuli kwa Watoto Yatima, Ikiwasaidia Kujenga Mustakabali Bora

    Na Zurima Ramadhan, Zanzibar Jamii imetakiwa kuungana kwa pamoja kuwasaidia watoto yatima ili kujenga upendo na mshikamano baina yao. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Taqwa Foundation Zahra Issa Kassim wakati wa ugawaji wa vifaa vya skuli kwa watoto yatima huko Mpendae Wilaya ya...
  4. JamiiForums Tanzania Tafakari: Mungu anayekataa zinaa anawabaliki watoto wa nje ya ndoa.

    Usijipe mamlaka ya kubeba vinyongo, badilika.
  5. JamiiForums Tanzania Why ccm is addicted with micro projects

    Ni kwanini ccm ina uraibu wa kufanya vimirad vidogo karne hii ya 21. Vijumba vya hivi vidogo ni vya miaka ya 60. Ukimtoa magufuli , ccm bado wanaishi mwaka 1960. Nawaza msinijie juu!!Nikiangalia dunia ilipo na miradi yetu haviendani
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wale wenye biashara za familia, hii ndio njia sahihi ya kulinda mali dhidi ya watoto wenye tamaa na majambazi wataoingia kwa njia ya ndoa

    Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea, Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali kuna mtoto hasa wa kwanza hupenda kujimilikisha biashara yote akiamini ni haki yake Wengine wanaolewa au kuoa majambazi...
  7. JamiiForums Tanzania Offa msimu wa krismass Mabegi ya watoto ya shule kwa 17,000 tu

    Njoo nikupe begi Imara kwa na quality ya juu kwa bei ya kufunga mwaka. Nicheki 0783973428 Nipo kariakoo Dar es salaam
  8. JamiiForums Tanzania Kids digital watch ( Saa za kisasa za watoto)

    PRICE 8000/- 🚫saa sa kisasa za watoto zinapatikana 💦haziingizi maji 💪zinatumia battery ambayo inadumu kwa miaka zaidi ya miwili ✌️ni nzuri sana kwa watoto wa mashuleni wanakua sharp na kutunza mda ☎️0753409810/ 0674582231 📍tupo MANZESE TIPTOP OPPOSITE JM HOTEL NB: TUNATUMA MIKOA YOTE KWA UAMINIFU
  9. JamiiForums Tanzania Nimeshazichoka vurugu za watoto, bora shule zifunguliwe

    Kuna vitu watoto wanahatibu hadi unajiuliza huyu dogo amewezaje kuharibu hiki kitu, na nini alikua anatafuta huku? Ila uwezi pata jibu kamwe. Kitu kingine cha ajabu hawa watoto wa siku hizi hawachoki, kuanzia asubuhi hadi usiku wapo active tu. Bora warudi shule.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mafua yasiyoisha kwa watoto wachanga

    Wadau! Mwanangu ana umri wa miezi miwili ila anakua anamafua ambayo hayatoki (ambayo hayachuruziki) nimempeleka hospital lakini Bado hayakati naomba ushauri.
  11. JamiiForums Tanzania Ni kweli watoto wa English Medium wana IQ kubwa kuliko wetu kayumba?

    Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao. Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A. Mazingira ya Shule...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuacha mke wangu niliezaa nae watoto wawili

    Amekua akininyima unyumba kwa muda sana kila nikihitaji amekua akitoa sababu mara naumwa kichwa mara miguu alaf siku zingine nikifanikiwa kusex nae hua ananipa kama kunisusia wala hajishughulishi si kwa sauti wala vitendo. Nimeishi nae takriban miaka 5. Watoto wangu ni wadogo sana Mkubwa na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania single mothers wengi wameachiwa watoto wa kike

    son preference still exists mwanamke ukizaa nje ya ndoa mtoto akiwa wa kike jamaa aliekupa mimba anaweza kutokomea mazima ukizaa mtoto wa kiume probably anaweza kukuoa
  14. JamiiForums Tanzania Serikali iajiri walimu, watoto wanapoteza muda shuleni

    Kuna upungufu mkubwa wa walimu kwenye shule za umma Nina mdogo wangu anasoma PCB huko Mwanza anasema haijawahi kumwona mwalimu wa Physics na Chemistry shuleni Toka mwezi wa 7 Mfano Nilifika Wilaya ya Mkuranga shule msingi Koma ina mwalimu mmoja ambaye pia ndo mkuu wa shule. Shule ya Msingi...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Byabato Awafariji Watoto Yatima 200 Kupitia Tamasha la Bukoba Mjini Mpya 2024

    MBUNGE BYABATO AWAFARIJI WATOTO YATIMA 200 KUPITIA TAMASHA LA BUKOBA MJINI MPYA 2024 📌 Lengo ni kuwapa faraja katika msimu wa sikukuu 📌 Vitabu, Madawati, Vitanda vyatolewa 📌Wananchi wajitolea kuchangia Damu Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau...
  16. JamiiForums Tanzania Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar: Acheni kuchukua fedha ili muwafiche wanaowafanyia ukatili Watoto na Wanawake

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema hatua zaidi zinatakiwa kuchukuliwa dhidi ya matukio ya Ukatili hasa kwa Watoto na Wanawake na pia Jamii imetakiwa kutoa ushirikiano zaidi kwa Mamlaka zinazohusika kukabiliana na changamoto hiyo. Hayo yameleza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Taifa ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Stephen Byabato awakutanisha Watoto yatima 200 Bukoba kwa Tamasha la Sadaka na Shukrani

    Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wamewakutanisha watoto yatima 200 wanaoishi katika vituo vya watoto yatima Manispaa ya Bukoba. Lengo kuu ni kuwapa faraja kwa kuwapa mahitaji muhimu ya shule, vyakula na mahitaji binafsi ikiwa ni...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kwa maisha ya mjini ukizembea malezi unakuja kuwa na hasara ya watoto mbeleni hasa watoto wa kike

    watoto wa mjini wanahitaji malezi serious sana vinginevyo ni hasara tupu mbeleni nakua disappointed sana kuona blunders za uswahililini hasa kwa dar kwa hawa watoto wakike ni ama wasome waje kua na kazi za maana au waolewe na wanaume wanajielewe vinginevyo wapo kwenye risk ya kua hasara ...
  19. JamiiForums Tanzania Kuhusisha jinsia wakati wa ugomvi wa watoto.

    Kuna msemo maarufu hasa huku mitaani kwetu watoto wakike wakiwa wanapigana au wanagombana na watoto wa kiume, utaskia wazazi wao hasa wa kike. "Usipigane nae, huyo ni mwanamke" Kwahy kama akiwa ni mwanamke hafai kupigana!?. Binafsi naona kauli Bora ni kuwaambia "acheni kupigana, ugomvi sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…