Salaam Wakuu,
Yaani sasa ndo nimegundua kwamba, Mtu akipata madaraka kwa kumwaga damu, anakuwa ananuka damu hata aoge kwa jiki.
Juzi Karikaoo wakati wa Uzinduzi wa Soko lililoungua, baada ya Wakina Samia kufika, soko zima likawa linanuka damu za watu.
Watu wakawa wanatema mate chini..
Yaani...