Siku inakuja, siku mbaya ya kutisha, isiyofanana na siku nyingine yoyote. Siku ambayo ukweli wote utawekwa wazi, na kila mtu atasimama mbele ya kiti cha hukumu. Wachache watashangilia lakini wengi watalia kwa uchungu usioelezeka.
Watu hawa watalia na kusaga meno:
Wanaotenda maovu kwa siri...