watoto wa kike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa kike hasa Gen Z wazito kuanzisha salamu?

    Mambo vipi wakuu? Kuna sehemu bhana nilikuwa napata breakfast asubuhi hii mara pah wakaja wasichana wawili kwenye meza niliyokaa wakaa wakanilia buyu hawakutoa ata salamu na mi nikapiga kimya maana hauwezi salimia mtu aliyekukuta itakuwa maajabu, baada ya dk 10 wakaibuka wengine wawili nao...
  2. JamiiForums Tanzania EPISODE 01: Maisha yalivyo magumu kwa watoto wa kike wanaoenda Nje, hasa Asia

    Naaaam Jumapili fulan tulivu Ewe Mzazi usithubutu kumruhusu mwanao Kwenda kufanya kazi Dubai , Thailand na Maeneo mengine ya Asia hasa akiwa wa kike Hili ni suala gumu lakini muhimu kulizungumzia Wengi husikia "Dubai au China au Thailand ni pesa na kula maisha" lakini upande mwingine ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kwenu wazazi wenye watoto wa kike

    Wazazi kuna jambo ambalo inabidi leo mlielewe ama mlizingatie wakati wa kuozesha binti zenu. Kuna kasumba ya kutajiana mahari kubwa halafu mnaanza kuvutana kama vile mnauziana bidhaa. Sasa ni hivi mnapotaja mahari za watoto wenu muwe mna uhakika zinaendana na thamani ya binti yako, usitaje...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Historia ya Rais Samia iwekwe Katika Somo La Historia kwa Shule zote za Msingi na Sekondari Ili Kutoa Hamasa kwa Watoto wa Kike Kupenda Shule

    Ndugu zangu Watanzania, Kama Ambavyo Tumesoma Katika Vitabu vya Historia Juu ya Historia za Akina Mwalimu Julius Nyerere,Nelson Mandela,Nkwame Nkurumah, Samora Machelli,Kenneth Kaunda ,Jommo Kenyatta, Patrice Lumumba ,Dkt Martin Luther king Jr, Mahatma Gandhi na Mchango wao katika Jamii...
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfadhili wa Kiarabu awang'ang'ania watoto wa kike wa Kimasai kwa miaka kumi na hataki kuwarudisha makwao

    Katika hali ya kustaajabisha na Kuhuzunisha ambayo haijawahi kutokea, watoto watatu wa kike wajulikanao kwa majina ya Seyo Koila, Kitindi Ngai na Timbayani Salangati walichukuliwa mwaka 2015 kutoka katika mikono ya wazazi wao wakiwa na Umri wa Miaka mitatu au minne na kukabidhiwa katika...
  6. JamiiForums Tanzania Wako wapi watangazaji hawa wenye sauti nzito zilizopendwa na watoto wa kike

    Shallom! Wakuu naomba mnijulishe walipo watangazaji hawa wenye sauti nzito zilizojaa mamlaka na kumfanya nyoka akimbilie pangoni kujificha kwa hofu. Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya hao watangazaji wenye sauti nzito niliokuwa nawasikia lakini sasa siwasikii. Chris Lugoe. Ian Dialo. Bobby...
  7. JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo za watoto wa kike na kiume

    Naomba nisaidie kupata machimbo safi ya nguo za watoto wa kike na kiume Kariakoo tuanze kazi..
  8. JamiiForums Tanzania Wazazi ni chanzo cha kuharibikiwa kwa watoto sanasana watoto wa kike

    Watoto wakike hasa wakisha pevuka wanaishi katika changamoto nyingi sana maana wanakumbana na Vista wishing vingi sana,changamoto hizi huongezeka pale inapotokea mtoto wa kike hapati attention ya kutosha kutoka kwa wazazi wake. Mfano Kuna mtoto ana umri wa miaka 16 yupo kidato cha nne tangu...
  9. JamiiForums Tanzania Watoto wa kike usiku huu wanaenda msikitini kufanyaje kipindi hichi cha mfungo?

    Kila siku mida hii ya usiku ñaona mabinti wanapita wanasema wanaenda msikitini, kipindi hichi cha mfungo wanaenda kufanyaje? Mbona kama NI hatari Sana? Leo nimekuta binti mmoja kavaa ushungi kabananishwa kwenye ukuta kuna kinjia kinatoka msikititi, walikua wanayajenga walivyoniona wakapiga...
  10. JamiiForums Tanzania Namna ambavyo watoto wa kike wanavyoandaliwa kuwa viongozi wakiwa skulini

    anaongeza kuwa klabu za uongozi ni msingi wakuwajenga wasichana kujiamini na kuwa viongozi wa baadaye. Kwa Skuli ya Benmbella, Mwalimu Bakari Mohammed anaeleza kuwa uchaguzi wa serikali za wanafunzi unawahamasisha watoto kujiamini. Rais wa wanafunzi huchagua baraza lake la mawaziri na kushiriki...
  11. JamiiForums Tanzania Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

    Bunge la Iraq limepitisha sheria ya 'kutisha' kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto. Sheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka...
  12. S

    JamiiForums Tanzania single mothers wengi wameachiwa watoto wa kike

    son preference still exists mwanamke ukizaa nje ya ndoa mtoto akiwa wa kike jamaa aliekupa mimba anaweza kutokomea mazima ukizaa mtoto wa kiume probably anaweza kukuoa
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa maisha ya mjini ukizembea malezi unakuja kuwa na hasara ya watoto mbeleni hasa watoto wa kike

    watoto wa mjini wanahitaji malezi serious sana vinginevyo ni hasara tupu mbeleni nakua disappointed sana kuona blunders za uswahililini hasa kwa dar kwa hawa watoto wakike ni ama wasome waje kua na kazi za maana au waolewe na wanaume wanajielewe vinginevyo wapo kwenye risk ya kua hasara ...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Mzee Joseph Sinde Warioba hana watoto wa kike ambao hawajaolewa?

    angaaa ningempata mmoja kwa kweli. huyu mzee ana akili sana sijui watoto wake wakoje ikiwa anao. nilitamani hata nione mtoto mmoja wa kike kutoka kwake niwe tu najisifia kuwa Mzee Warioba ni Mkwe wangu. Baba yangu ni CCM ambaye yupo kwenye system muda mrefu. huwa anaumia tu lakini anasema...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tumewaokoa Watoto wa Kike 184 waliokuwa wameandaliwa kufanyiwa ukatili wa kukeketwa

    Jeshi la Polisi Nchini limesema katika kushiriki Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kwa Mwaka 2024 litashirikiana na Wadau mbalimbali kufanya Maadhimisho hayo katika Kanda Maalum ya Kipolisi Tarime Rorya ambapo Jumla ya watoto 184 waliofanyiwa vitendo vya ukatili wameokolewa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

    Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Watoto wa kike wapewe uhuru wa kushiriki michezo yote Zanzibar

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe Anna Atanas Paul ameitaka jamii kuelewa kuwa mtoto wa kike ana haki za kushiriki michezo yote bila ya kudhalilishwa. Ameyama hayo katika kilele cha maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mtoto wa kike duniani, yalifanywa na wadau wa...
  18. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya jinsia moja kwa watoto wa kike Zanzibar yashika kasi! Wanaharakati, Wanasiasa, Jamii na Serikali wanena

    Na THABIT MADAI, ZANZIBAR. ‘ZANZIBAR ni njema atakaye na aje’, Msemo huu ni maarufu sana visiwani haapa, na kwamba umetokana na ukarimu wa watu wake tangu asili na asili. Bila ya shaka hakuna asiejua kuwa watu wa Zanzibar walikuwa wakiishi kwa msingi ya kiimani inayopelekea kuishi kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume usiendekeze Friendzone na watoto wa kike

    Huu ni ujumbe kwako “Boy child”. Ikiwa imetokea umekutana na binti mzuri akakuvutia na ukaweka jitihada zako kama kumtoa out,kumpatia zawadi na kumpatia offer mbili tatu kama kumlipia bills zake za umeme, chakula,vocha na kadhalika ambazo zimeashiria upo tayari kujitoa kwaajiri yake na unataka...
  20. JamiiForums Tanzania Bashungwa Asisitiza Elimu kwa Watoto wa Kike

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa wazazi na walezi kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha mtoto wa kike anaelimishwa ili kuleta matokeo chanya kwa jamii na Taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…