watoto njiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    Kwimba: Taasisi ya Alicia Keys yawasili nchini kushiriki uzinduzi wa jengo la watoto njiti

    Timu ya Wawakilishi kutoka Taasisi ya Keep A Child Alive ya Msanii maarufu wa Marekani, Alicia Keys, imewasili nchini Tanzania kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl.Julius K. Nyerere tayari kwa ajili ya kwenda Wilayani Kwimba Mkoani kwenye uzinduzi wa jengo la kisasa la kuhudumia Watoto...
  2. Pfizer

    Wauguzi wapatiwa mafunzo ya kuhudumia watoto njiti, Kwimba

    Wahudumu wa afya wanaotarajia kutoa huduma kwenye jengo jipya la Watoto njiti lililopo Hospitali ya Wilaya ya Kwimba wamepewa mafunzo maalum ya namna bora ya kutumia vifaa vya kisasa na kuwahudumia Watoto njiti ili kuwasaidia Watoto hao na Mama zao kupata huduma bora. Akiongea na @AyoTV_ Mkuu...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Miss World atembelea wodi ya watoto njiti katika Hospitali ya Mwananyamala

    Walimbwende Suchaata ambaye ni Miss World pamoja na Miss World Africa Hasset Dereje wakiongozwa na mwanamitindo Mustafa kwa kushirikiana na taasisi ya Doris Mollel Foundation, wametembelea wodi ya watoto njiti katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam. Katika ziara hiyo, walimbwende hao...
  4. Roving Journalist

    Dkt. Mollel: Serikali imejenga Wodi 165 kwa ajili ya Watoto Njiti, matarajio ni Vituo 280 ifikapo Desemba 2025

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imejenga jumla ya wodi 165 za kuhudumia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) katika hospitali mbalimbali nchini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha huduma za afya kwa watoto wachanga. Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa taarifa hiyo...
  5. Just Pray

    Mama aliyejitolea kukumbatia watoto njiti akabidhiwa zawadi ya Nyumba, abubujikwa machozi baada ya kufanyiwa suprise

    Katika kuadhimisha Siku ya Watoto Njiti Duniani, Taasisi ya Doris Mollel imemkabidhi nyumba ya makazi Mariam Mwakabungu (26), aliyejitolea kukumbatia Watoto Njiti katika Hospitali ya Rufaa Amana jijini Dar es Salaam, yenye thamani ya Shilingi milioni 45, iliyopo Chanika – Zavara. Mariam...
  6. JanguKamaJangu

    Gharama zinazotozwa Muhimbili Hospital kuwahudumia “Watoto njiti” zinatuumiza tunaouguza

    Licha ya Mamlaka za Kiserikali pamoja na Wadau kueleza mipango mikakati na kuchukua hatua mbalimbali za kupunguza vifo vya Mama na Mtoto hasa vinavyotokana na Watoto Njiti (Watoto waliozaliwa kabla ya muda) lakini hali inaonekana kuwa sio shwari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Ambapo...
  7. Roving Journalist

    Dakika 40 chumba cha wanaozaliwa kabla ya wakati

    Novemba 17, 2023, Dunia iliadhimisha siku ya Mtoto aliyezaliwa kabla ya wakati, siku moja kabla, nilibahatika kufika katika Wodi maalumu kwenye mojawapo ya vyumba vya kutunza Watoto hao katika Hospitali ya Benjamin Mkapa na kujenga msingi wa simulizi hii. Ni kijichuchumba kidogo chenye nafasi...
  8. benzemah

    Serikali na Mkakati wa Kupunguza Vifo Vya Watoto Njiti Nchini

    SERIKALI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Ifakara Health Institute wameweka mkakati wa kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) ,kwa kuwawezesha watoa huduma kufanya kazi kwenye mazingira wezeshi. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa pili wa...
  9. JanguKamaJangu

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu: Watoto njiti zaidi ya laki mbili Nchini huzaliwa kwa mwaka

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amebainisha kuwa takriban watoto laki Mbili mpaka laki Tatu kwa Mwaka huzaliwa kabla ya muda (watoto njiti) Tanzania. Waziri Ummy amesema hayo katika ofisi ndogo za Wizara ya Afya Jijini Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya kuelekea awamu ya pili ya ugawaji wa vifaa...
  10. benzemah

    Mwanamke anayejitolea kukumbatia Watoto Njiti waliotelekezwa Hospitali ya Amana

    Mwanamke mmoja mkazi wa Kinyerezi, Tabata jijini Dar es Salaam, Mariam Mwakabungu (25) amejitolea kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) na wanaotelekezwa na mama zao katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Amana. Mariam ambaye ni mke na mama wa watoto wawili, alianza kutoa...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Zaytun Swai Aitaka Serikali Kuongeza Kasi Kupunguza Vifo vya Watoto Njiti Mkoa wa Arusha

    MHE. ZAYTUN SWAI AITAKA SERIKALI KUONGEZA KASI YA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO NJITI MKOA WA ARUSHA "Je, Serikali ina mpango wa kupunguza vifo vya watoto wenye umri kati ya mwaka 0 - 1" - Mhe. Zaytun Seif Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha "Serikali kupitia Wizara ya Afya imeweka Mipango...
  12. Sildenafil Citrate

    Faida za lishe Bora kwa Watoto Njiti

    Mtoto aliyezaliwa kabla ya kufikisha wik 37 za ujauzito huitwa Njiti. Lishe bora ni muhimu sana kwa watoto njiti kwa sababu inachangia moja kwa moja katika ukuaji wao na maendeleo ya kimwili na kiakili. Hapa kuna umuhimu wa lishe bora kwa watoto njiti: Kuchochea Ukuaji wa Kimsingi: Watoto njiti...
  13. Stephano Mgendanyi

    Waajiri watakiwa kuwa na Ubinadamu kwa Wazazi Wanaojifungua Watoto Njiti

    Waajiri watakiwa kuongozwa na ubinadamu wa Mamlaka waliyopewa kwa kuwaongezea likizo Wazazi wa watoto Njiti ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza kwa mtoto ikiwemo kifo kwa kukosa uangalizi wa karibu wa mama yake. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya...
  14. Lady Whistledown

    Novemba 17, Siku ya Watoto Njiti Duniani

    Tangu mwaka 2011, Novemba 17 imetambuliwa kama Siku ya Watoto wanaozaliwa Kabla ya Wakati Duniani ili kuongeza ufahamu na uelewa wa tatizo hili, pamoja na mahitaji na haki za watoto wachanga na familia zao. Pia kuongeza uelewa wa umuhimu wa uzoefu na huduma za mfumo wa Afya na hivyo, kuendeleza...
Back
Top Bottom