watekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kagoshima

    Nikama baada ya kudakwa kule Kenya watekaji wamekula pozi kidogo

    -Aonaye haambiwi tazama. Baada ya wenzao kudakwa Kenya nikama kikosi cha watekaji na wauwaji wa watanganyika kipo likizo kidogo. Je hii inaashiria nini? Je nikwamba wamegundua project imeanza ku backfire? -Je malipo hamna? -Project imeisha?
  2. Mkalukungone Mwamba

    Watu wasiojulikana wamchukua Agent wa gari ya makuti, lakini Wananchi walizunguka gari watekaji wakazuga wanamuweka kituoni

    Mbezi muda huu vibaka walipaki Gari yao hapo tangu Asubuhi, Kumbe walikuwa wanamvizia Agent wa gari ya makuti. Kabla hawajatokomea nae wananchi walizunguka gari watekaji wakazuga wanamuweka kituoni. Wamemhifadhi kituo cha Magufuli wafanyakazi wa stendi nendeni hapo kituoni vingenevyo...
  3. S

    Mmoja wa watekaji waliokamatwa nchini Kenya, ni Mzanzibari au ni Mwarabu kama sio Msomali?

    Mmoja wa watuhumiwa wa utekaji huko nchini Kenya ana asili kama Mzanzibari au Mwaraba kama sio Msomali kulingana na picha zao na sio mtanganyika kwa asili Je, wenzangu mnahisi huyo mtu asili yake ni wapi kwa kumtazama. Najaribu kuweka picha zao hapa.
  4. Genius Man

    Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa

    Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa. Haya ndio malipo ya Serikali haramu mnategemea nini ? Watekaji hawa huko kenya wanakamtwa tu nje ya nchi na sio kwenye shamba la bibi huku hawakamatwi vipi...
  5. Voltaire

    Maalum kwa watekaji na wauaji!

    Hii story ya mzee Sironga ni kweli kabisa na inakupa tafsiri halisi ya Karma. Sikiliza,elewa,chukua hatua
  6. Hance Mtanashati

    Ramadhan Special Thread

    Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...
  7. Genius Man

    Tesha: Amekataa mauaji na utekaji amesimama na watanzania kulingana na kiapo chake ni jeshi la kuigwa

    Yoyote anayepinga uharamu na ushenzi na anaye simama na watanzania ndio mtu mwenye mchango chanya kwenye taifa. Tutapata wapi mtu mwengine kama huyu tukivuka hapa anastahili kuongoza JWTZ kama mkuu wa majeshi. esha
  8. Genius Man

    Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti

    Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti. Vitendo hivi vilivyoonekana wazi ndani ya jeshi havikubariki na nikinyume cha sheria na haki za binadamu ni ushenzi na upumbavu na wahusika wanajijua, wanajua kwa matendo yao baadae wataona uchungu...
  9. Genius Man

    Polisi wakisikia Chadema hao na bendera wanashusha lakini mpaka leo hawaja wakamata watekaji na sahivi wanateka hadi vituoni

    Polisi wakisikia Chadema hao na bendera wanashusha lakini mpaka leo hawaja wakamata watekaji na sahivi wanateka hadi vituoni.
  10. The Father of All

    Gwajima wataje watekaji badala ya kujibaraguza na kutafuta kiki kwa uchawa na utapeli

    Ukimsikiliza vizuri askofu uchwara wa kujipachika Josephat Gwajima, unashangaa. SIku hizi, amendandia hoja iliyotaka kumzamisha ya utekaji. Anasema hapendi utekaji kana kwamba kuna mtu mwenye akili zake anayeupenda ukiachi wauaji wetu . Kinachoshangaza ni kusema eti serikali na vyombo vya...
  11. Course Coordinator1

    Hakuna kuridhiana na wauaji, watekaji, na walawiti. Ulijitia kiburi leo unataka maridhiano ya nini?

    Heri ya Mwaka Mpya Wakuu Huyu Bibi anatuona sisi wajinga na wapumbavu . Siku anaongea na wazee walevi wa Dar Es Salaam alitunanga kuwa nguvu iliyotumika ilistahili, maana aliridhia na alitoa order ya kuua ndugu zetu mbaya zaidi akaenda kuwazika huko misitu ya kondo na ziwa Victoria. Mbaya...
  12. 4

    Kwa neema ya bwana katika taifa la watekaji na wasaliti wa Taifa hili nipo salama, neema ya Bwana ikawe juu yenu wana jf

    Mwaka 2025 umeisha , ila hope utaanzia ulipoishia, vijana wangu Mungu awepe pumziko la milele pale mlipo ,na hukumu kwa mujibu ya matendo yenu hapa Duniani , najua niliwalea vizuri ,ila Mungu ndo anajua vizuri. Nami kama baba yenu , na familia mwaka huu ,tutazika nguo zenu kama ishara ya...
  13. ngara23

    Ipi inaweza kuwa kauli tata iliyomtia Mzee Mwandambo mikononi mwa watekaji

    Inasemekana Mzee Mwandambo ametekwa Kanuni ya watekaji wa nchi ya Afghanistan, ukitekwa ukaachiwa na ukawakosoa ukitekwa tena Kuna zaidi ya 90% ukapotezwa, Hivyo basi Nina wasiwasi kama Mzee Mwandambo atarejea akiwa hai Kauli zake alizopata kutoa 1. Serikali ya ze comedy 2. Taasisi ya...
  14. Fbn

    Watekaji wana access kubwa ambazo upata taarifa njia nyingi na zengine wanapewa bila lizaa ya mtu.

    Watekaji wanaweza kuomba taarifa zako TRA,Ardhi,idara ya maji,Tanesco,ving'amuzi au sehemu yoyote itakayokuwa na usajili wako. Kwa Jamiiforum ndio maana bado wanaumia kwa nini hawapewi taarifa. Kuna mchezo mmoja jamaa alitekwa wali trace namba yake SMS alinunua umeme.Wakaona jina mita namba...
  15. Genius Man

    Mtu amekemea utekaji na mauwaji alafu linatokea jitu eti limeenda kumsemea kwa Papa halafu watekaji na wauwaji haliwasemi. Hivi zimo?

    Mtu amekemea utekaji na mauwaji alafu linatokea jitu heti limeenda kumsemea kwa papa alafu watekaji na wauwaji haliwasemi hivi zimo ? Haya mambo yanatia hasira sana wanafikiri sisi tunafanya masihara ninatoa onyo kwa wapumbavu kama hao. Kukemea utekaji na mauwaji imekua kosa toka lini ...
  16. The Father of All

    Naomba tupeane mbinu za kukabiliana na kuwateka watekaji

    Hali ilivyo sasa, utekaji ni sera ya serikali. Kama siyo, basi serikali imeshindwa na watekaji. Kama siyo, basi kuna namna inavyofaidika nao. Kama siyo, basi tunaowaita watekaji si watekaji bali watendaji wa yeyote au wowote wanaonufaika na utekaji. Kama watu wenye akili na busara, naomba...
  17. Sifi Leo

    Tukubaliane, Watekaji wamemshinda Rais Samia, na vyombo vyote vya ulinzi na usalama Tanzania, Sasa nashauri tujilinde

    Tukubaliane watanganyika, nasema watanganyika, maana zanzibari sijasikia wakitekwa au lolote BAYA lililotokea kwao, Nasema tukubaliane Tanganyika RAIS wetu ameshindwa na tabaka la watekaji Sasa tujiamini na tujilinde sisi wenyewe. Je vyombo vyeti navyo vimeshindwa kutulinda Sasa tujirinde?
  18. Erythrocyte

    Watekaji Wampuuza Simbachawene

    Juzi tu Baada ya kuapishwa Mh Simbachawene alijitokeza hadharani akiwaelekeza Polisi namna nzuri ya kukamata Watuhumiwa, akapinga ukamataji wa kishamba kwa kutumia mabunduki mengi na magari ya kificho huku wakamataji wakivaa kininja Leo yametokea huko Kidia Old Moshi AMBAKO bila wananchi...
  19. technically

    Jinsi ya kujilinda na watekaji

    Hakikisha nyumbani ukosi kichupa chenye asidi Hakikisha nyumbani ukosi mafuta ya petrol Tengeneza kabati maarumu Kama zile za kutunza mithihani shule weka vifaa vyako pale. Hakikisha nyumba yako ina mlango wa chuma kwa nje na wa mbao kwa ndani. Wajinga wakija wawai na asidi wakati wanafungua...
Back
Top Bottom