wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Nimepata huduma mbovu kutoka kwa Mfanyakazi wa NHIF - Dar, imebidi Kiongozi wake wa juu aingilie na kuniomba radhi

    Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika. Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa huduma? Hili suala nilishaliona sana NHIF lakini kwasababu sikuwa na pa kuongelea basi likawa linauma...
  2. JamiiForums Tanzania Azam Ferry huu uhuni uliiofanyika sio mzuri kabisa, kataeni wateja kabla ya kukata tiketi

    Leo nimewapeleka wateja wanne toka Mozambique kwenda Zanzibar Jana wakati nakata tiketi zao wakasema wanahitaji abcd, Tukapeleka zote Leo wamepanda boti kwenda Zanzibar wanafika wanazuiwa hawana insurance Huu ni uhuni sijawahi kuuona, kwanini mkate tiketi walipe hela zao Mpaka baadae...
  3. D

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wateja tunaotumia Mita za Maji za Prepaid - Bukoba tunateseka, ikiwezakana waturudishie Mita za zamani

    Sisi wateja tuliofungiwa Meter za Maji za Prepaid tumekuwa hatupati tokeni za maji pindi tunaponunua maji kwa njia ya Mtandao hapa Mkoa wa Kagera. Mfano toja wiki iliyopita nilinunua maji mpaka sasa leo wiki ya pili siku ya Jumatano sijapata tokeni na BUWASA wapo kimya. Hali hii imetuathiri...
  4. JamiiForums Tanzania Simu huduma kwa wateja hawapokei simu kwa wakati

    Kuna wakati unapata dharura ya kuhitaji huduma kwa wateja watatue, unapopiga simu unakuta maelekezo mengi sana (hasa mitandao ya simu) na kisha inakuwa vigumu kusaidiwa. Kwa nini kusiwe na namba ya moja kwa moja wanapokea huduma kwa wateja?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom yazindua Vodashop katika stesheni ya SGR Dodoma kuwasogezea huduma wateja

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule (katikati) akikata utepe kuashiria kufungua rasmi duka la Vodacom lililopo eneo la kituo cha mwendokasi (SGR) cha Samia Jijini Dodoma leo. Kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Vodacom Tanzania, Jaji Mstaafu Thomas Mihayo na kushoto ni Mdau wa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Namba ya Huduma kwa Wateja ya Wizara ya Ardhi haipokelewi, siku nyingine haipatikani

    Kumekuwa na shida sana kwenye Namba za Huduma kwa wateja kwenye baadhi ya Wizara za Serikali, kama namba ya huduma kwa wateja Wizara ya Ardhi , mwananchi unapata shida ili upige simu upate msaada wa kitaalamu unakuta namba haiiti na wameitangaza kwenye website ya wizara, au namba inaita ila...
  7. JamiiForums Tanzania Nikifanya mapenzi na huyu mchepuko napata sana wateja siku hiyo

    NIKIFANYA MAPENZI NAHUYU MCHEPUKO NAPATA SANA WATEJA SIKUHIYO. Habar Mr magical power! Mimi nimwanauume mwenye umri wamiaka 37 naishi tanga.Naomba unifikishie kwa members wako wanishauri jambo fulani linaloniumiza kichwa.Mimi nimfanyabiashara wa samaki hapa soko la samaki tanga ninamke nawatoto...
  8. JamiiForums Tanzania Apple yafunguliwa Madai ya Tsh. Trilioni 10.19 kwa kulazimisha wateja kutumia huduma za iCloud

    Kundi la watumiaji huduma liitwalo Which? kutoka Uingereza, limefungua madai ya pauni bilioni 3 (zaidi ya Tsh. Trilioni 10.19) dhidi ya kampuni ya Apple, ikidai kampuni hiyo kubwa ya teknolojia imekiuka sheria ya ushindani kwa "kulazimisha matumizi ya huduma zake za iCloud kwa wateja". Inasema...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu za biashara

    Namna sahihi ya kupata wateja na kukuza biashara yako
  10. H

    JamiiForums Tanzania Jumbe za matangazo na taarifa za serikali zimekuwakero kwetu wateja TCRA jitafakarini

    Habarini, Kwakweli sasa imekuwa kero kwa jumbe za matangazo,promotion,taarifa,nk kutoka serikalini, makampuni, taasisi, wafanyabiashara,nk yaani kwa siku mmiliki wa simu/line anapokea zaidi ya jumbe 20. Kulingana na sheria ya mitandao huu ni usumbufu na kuingilia uhuru wa mteja kwani makampuni...
  11. JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata wateja wa mifuko ya karatasi kwa jumla?

    Nawasalim kwa jina la jamhuri Wakuu nauliza wapi naweza kupata wateja wa hii mifuko ninategeneza na plani yangu ni kuongeza soko lake ili kujipatia kipato zaidi.
  12. JamiiForums Tanzania Laini za Simu zilizosajiliwa nchini zafikia Milioni 80.7, Vodacom yaongoza kwa Wateja, TTCL na Airtel zashuka

    MAWASILIANO: Takwimu za Mawasiliano ya Huduma za Simu kwa Robo Mwaka (Juni - Septemba 2024) zinaonesha kulikuwa na ongezeko la Laini 4,137,981 za Mawasiliano ya Mtu kwa Mtu (P2P) na Laini Milioni 1.02 za Mawasiliano ya Mashine (M2M) hivyo kuwa na jumla ya Laini Milioni 80.7. Kwa mujibu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Manguruwe anyooshewa kidole akidaiwa kufanya utapeli kwa baadhi ya wateja walioitikia kuwekeza kwenye kampuni yake

    Haya sasa sema kimeumana Dr. Manguruwe akaliwa kooni adaiwa katapeli watu. Bwebwe nyingi huko mtandaoni kumbe nyuma ya camera anayake mambo =================== Katika hali isiyokuwa ya kawaida na isiyotarajiwa kampuni ya Pig Investment International (Kijiji cha Nguruwe) inayomilikiwa na Simon...
  14. JamiiForums Tanzania Wajue Aina ya wateja unaowataka kabla hujafungua biashara yako, itakusaidia

    Kwenye biashara tuna waza mambo mengi sana hasa Mitaji,maeneo,wafanyakazi,bidhaa,nk Lakini watu wengi sana huwa tunasahau jambo 1 kujua aina gani ya wateja unawahitaji katika biashara yako. Ukiwa kama mfanyabiashara kuna FACTS lazima ukubaliane nazo utake au usitake ukubali au usikubali. 1...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Nifundisheni namna ya kudili na wateja Wakopaji

    Wakuu, Kila nikifunga hesabu zaidi ya 20k inalala nje. Wote sio watakaolipa, sasa basi nipeni mbinu za kushughulika na hawa jamaa
  16. N

    JamiiForums Tanzania Coca-cola na KFC watambulisha 'food pass'

    Kampuni ya Coca-Cola Tanzania imezindua kampeni maalum inayowalenga wateja wa migahawa ya KFC jijini Dar es Salaam, ambapo wanapata fursa ya kujipatia zawadi mbalimbali lakini pia kushiriki Tamasha la Chakula la Coca-Cola linalotarajiwa kufanyika Novemba. Kampeni hii, iitwayo ‘Food Pass’...
  17. B

    JamiiForums Tanzania KERO Ni nani huvujisha siri za wateja wa mitandao ya simu?

    Nimekua nikiona mara kadhaa watu wakilalamika taarifa za mawasiliano yao kwa simu kuvuja, ikiwemo ya sauti, sms na mara nyingine hadi whatsapp. Nimekua nikijiuliza sana kuwa ni rahisi kiasi gani jambo hili linafanyika kiasi cha kuathiri watu wengi hivi. Je ni kampuni za simu pekee ndio...
  18. JamiiForums Tanzania Mamlaka inayosimamia ‘parking’ za gari iwajulishe Wateja kuhusu Madeni ya miaka ya nyuma na siyo kuwashtukiza na kutaka walipe papohapo

    Miezi kadhaa iliyopita kuliibuka Watu waliokuwa wanakamata magari Jijini Dar es Salaam kwa wale ambao hawakuwa wamelipia ada za maegesho. Kuliibuka usumbufu mkubwa kwa kuwa watu waliokuwa wakikamatwa walikutwa na madeni ya miaka ya nyuma ambayo hata wengine hawayajui au hawayakumbuki. Mamlaka...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mikopo mtaani zina mapungufu ya kibinadam sawa lakini pia na wateja wao (wakopaji) wengi wahuni tutazame kotekote

    Kampuni za wakopeshaji pesa zilizozagaa mtaani kwa lugha ya pesa chap chap! Baadhi zinafanya vizuri na baadhi zinafanya vibaya! Ifahamike mtandao wa biashara unapoajiri vijana wengi huhitaji weledi wa juu sana kuweza kuwakumbusha Hekima ya biashara! Nitoe mfano hai! Jeshi la polisi lina...
  20. JamiiForums Tanzania KERO Wapishi wa Keki za Shughuli Kuweni wasafi, Hizo picha za snapchat zinadanganya sana wateja wenu

    Salaam Leo katika pita pita zangu ndio nikaona jiko yale sijui ma oven makubwa wanapikikia keki. Yaani hadi kichefu chefu, anayepika mchafu, jiko halijaoshwa kama mwezi hv, hapo anapopikia watu wanaingia na ndala, hawana gloves yaani kikubwa tu keki ziive. Ushauri kwa mabwana afya na maafisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…