Matukio ya kuteka, kupoteza, kuua, na sasa kushambulia wasiokubaliana na serikali vimeanza kuzoeleka nchini. Hali ni mbaya.
Mbali na ufisadi uliogeuka donda ndugu, jinai ya kuangamiza, kutisha, kunyamazisha, na kudhulumu wasiokubali kugeuzwa au kujigeuza chawa imeongezeka.
Vitisho vya...