watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wengi hawapendi JPM akumbukwe kwa Uzuri: lakini atabaki kuwa chaguo la watanzania wengi

    Kwa TZ, JPM was a prophet of our time , ni kama maji hata ukiyakataa utayanjwa. Kwa uharamia uliotokea 29 baada ya mwendawazimu kupewa rungu, we learned kuwa JPM was a prophet of our time. Alikuwa mtume na alimaanisha mengi kwa watanzania. Haya majambazi ya sasa yaliyoingiza ngono ...
  2. JamiiForums Tanzania WaTanzania hii ni AIBU

    Mara kwa mara toka kale tumekuwa tukijinasibu kwamba sisi hatuna ukabila wala chuki kwa kujilinganisha na majirani zetu wa Kenya, Lakini cha ajabu waTanzania tumekuwa na mambo ya kutia aibu sana hasa ninyi ma Diaspora mambo ya kuchomana chuk, wivu, fitna,uchawi na ushirikina, Wenzetu wa KE...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi kunywa chai ya rangi inawezekana ni dalili ya umasikini

    Kutokunywa chai ya maziwa kwa raia wengi na badala yake kunywa chai ya rangi zaidi inawezekana ni ishara mojawapo kubwa ya umasikini wa nchi yetu. Sidhani kama watu wanakunywa chai ya rangi na mihogo, maandazi na vitumbua kwa sababu wanapenda tu au kwa sababu chai ya rangi ni tamu kuliko ya maziwa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu yatosha sasa, maumivu unayopata hukustahili, Acha watanzania wakinywee kikombe chao!

    Naanza kuona ujinga mkubwa sana kupigania maiti ambayo haijitambui Mh Lissu, wewe ni shujaa sana tena sana na mpaka sasa hakuna binadamu yeyote Tanzania tangu nchi yetu kujipatia uhuru wake atakayefananishwa na wewe Ila leo nimeamka vibaya, nimeamka nikiwa na huzuni kubwa kukuhusu, unaumia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na tofauti zetu, ikitokea Trump kasema anakuja Tz kufanya alichofanya Venezuela au Iran watanzania wengi tutaungana kumpinga

    Tunaweza kuwa na tofauti zetu lakini kuna mstari ukivukwa lazima utauona umoja wa watanzania hata wanaotofautiana Trump akithubutu kutuletea mambo yake aliyofanya Vendezuela na sasa Iran, atajutia uamuzi huo maana sio kwa aibu atayopata. Tanzania, Tanzania! Nakupenda kwa moyo wote Nchi yangu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Iran inakinywea kikombe kisichomstahili, Watanzania mlaaniwe kwa sifa za kijinga mlizokuwa mnaipa Iran

    Watanzania ni watu hatari na hamstahili kusikilizwa na sitahili yenu ni kulaaniwa kabisa Wakati wa tetesi za vita kabla ya vita inayoendelea Watanzania wengi hasa kutoka Misikitini, walikuwa wanaipamba Iran kwa mapambio ya kuogofya Eti Iran viwango vyake kimedani za vita, imevuka viwango vya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Leo ijumaa tuwaombee dua wairan na wanaharakati wa Tanzania

    Leo ijumaa tuombee dua sana watu wa Iran walinde nchi yao iliovamiwa na maadui. Wanaharakati wa Tanzania pia tuwaombee dua macho yao yafunguke ili wajue maana ya haki za binaadam. Kwanini wanashindwa kulaani raia wa Isreal na marekani wanaonyanyswa kutuma picha za matukio ya vita nchini kwao?
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu unaleta faraja na matumaini kwa watanzania

    Hakika sasa tunawaziri Mkuu mtendaji mwenye kujali kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Anancho kifanya waziri Mkuu ndicho haswa wanacho kitaka watanzania. Sasa viongozi wengine, Mawaziri, wakuu wa Mikoa ma DC pamoja na watendaji wote mnapaswa kufuata nyayo hizo ili kupunguza kero za...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania 236 waliokwama Dubai kutokana na vita vinavyondelea kati ya Marekani Israel na Iran warejeshwa nyumbani

    Takribani Watanzania 236 waliokuwa wamekwama nchini Dubai kutokana na hali ya usalama Mashariki ya Kati wamerejeshwa nyumbani salama. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) lilituma ndege maalum ya gharama nafuu kufuatia mivutano ya kivita kati ya Marekani, Israel, na Iran iliyosababisha mashirika...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni tumaini jipya la Watanzania

    1) Watu wanabishana iwapo Mwigulu ni Magufuli mpya? Wengine wanasema ndio, wengine wanasema bado. Ukichambua kwa haki utaona MWIGULU ni Magufuli mpya kwa sababu hizi: moja, Magufuli alikuwa Rais, alikuwa na mamlaka ya mwisho akafanya kama haya anayofanya MWIGULU na mengine makubwa kuliko haya...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania na Machozi ya fursa

    Mtanzania ukimuona analia na kughalaghala popote pale ujue anaiwinda fursa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yani mtu anaililia Iran kuliko ata ubalozi wake nchini Tanzania
  12. K

    JamiiForums Tanzania CCM haiwezi kukubaliwa na watanzania kwa kuzuia vyama wengine!

    CCM haiwezi kukubaliwa na watanzania kwa kuzuia vyama wengine!. Yaani kuzuia Chadema kufanya mikutano yao haina maana hao watu na wanachama wao kesho watashangilia au kuhamia CCM. Huwezi kufanikiwa kwa lolote kwa kumzuia mwenzako badala yake fanya mazuri yako. Sasa sera ya CCM ni kuzuia...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania walioko Mashariki ya Kati wahimizwa na Mamlaka kuchukua tahadhari na kufuata maelekezo husika

    TAARIFA KWA UMMA USHAURI WA HALI YA USALAMA NA USAFIRI KWA RAIA WA TANZANIA WANAOISHI AU KUSAFIRI MASHARIKI YA KΑ΀Ι Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inafuatilia kwa karibu hali ya usalama inayoendelea katika eneo la Mashariki ya Kati. Kutokana na mazingira ya kiusalama yanayoendelea...
  14. JamiiForums Tanzania Tafakuri ya Idu: Dk Nchimbi amewathibitishia watanzania kuwa CCM inanyanyasa upinzani kwa kutumia mabavu.

    Kuanzia ngazi zote CCM huwa wanatumi mabavu kuleta ghasia na kunyanyasa wapinzani kwa kutumia jeshi la Polisi na mahakama. Angalia zile vurugu alizofanyiwa Heche alipokuwa Igunga. Kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA ambao hawana hata makosa Green guard wa CCM kuwa wanabeba siraha wakati...
  15. JamiiForums Tanzania Chakuwaambia tu Watanzania Yanga ni mbovu kama hujakutana nayo..usiombe ukutane nao - Masao Bwire

    yaan mzee anazeeka na ucheshi wakee leoo katufurahishaaa sana anakwambia yanga n mbovu kama hujakutana ukikutana nayo utaweza jutia kwa nn uliingia uwanjani HAHAHAA πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† DON MASAU KWENYE UBORA WAKE
  16. JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa

    Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa. Haya ndio malipo ya Serikali haramu mnategemea nini ? Watekaji hawa huko kenya wanakamtwa tu nje ya nchi na sio kwenye shamba la bibi huku hawakamatwi vipi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania msitishwe na majeshi kama wananchi hawamtaki mtawala Bunduki na majeshi hazisaidii

    What entails to be a socila contract in Tanzania ni ibara ya 8 (1)(a) ya katiba ya JMT. Hapa ndipo wanaanchi kwa kutumia kura zao huweka serikali madarakani kwa manufaa yao. Mtawala.anayedhania majeshi yatamlinda bila kufikiria wananchi anajidanganya.
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania hatupati maendeleo sababu ni nyingi, ila za msingi kabisa ni unafki na uchawi

    Rejea title, rejelea jukwaa. Ukitaka mada za maana nenda siasani kule ukqjionee vioja. Watanzania wanafki sana, tuambizane ukweli kwa kutoambizana kweli. Niyasemayo ni haki, na dhahiri shahiri tumezidi ufinyangu na ubazazi. Na baadhi ya ndugu zangu hasa wa kusini kule tumbunguze mitishamba na...
  19. JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanzania, Wazalendo wa Kweli wa Nchi Yao, na Wenye Mapenzi Mema na Taifa Lao, Tumuombe Rais Samia!, Tuliombee Taifa Letu!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la mwananchi la leo, https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/tumuombee-rais-tuliombee-taifa-5362604 Pia soma Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee au na Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa lao?. Na...
  20. JamiiForums Tanzania NHC waombeni msamaha Watanzania walio wengi kwa kuwadanganya

    Tarehe 2 Septemba 2022, aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemia Mchechu alisema yafuatayo wakati akiwakilisha mipango waliyonayo NHC kwa wadau wa Sekta ya Milki Nchini ambapo SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limesema hivi karibuni linatarajia kuanza ujenzi wa 'nyumba za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…