watanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbinu ya kisaikolojia iliyotumika kuwauwa ndugu zetu watanganyika kikatili kama wanyama

    Mbinu hii inaitwa " Ishara ya Usalama ya Uongo" in English "false peace signal" Nisameh sana ndugu britanicca mnamo tarehe 26 ulitupa taarifa nyeti kuhusu askari 320 wenye order ya shoot to kill siku ya tarehe 29 , nakili tumekuangusha sana tungeokoa vifo vya watu wengi kama tungesambaza...
  2. JamiiForums Tanzania I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!

    Huu ujumbe niliuandika na kumpa mtu mashuhuri auchalaze sehemu Ila ame delay nauleta mwenyewe Ni week ya 3 sasa am sick ila na recover Naandika kwa umakini Uzi usifutwe au ukawaletea matatizo JF Inashangaza kuona kwa level ya kutokuwaamini Watanganyika, kuna baadhi ya Viongozi hasa wa Jeshi...
  3. JamiiForums Tanzania Je Mchengerwa ndiye aliyechochea Watanganyika kuuawa ?

    Naendelea kukusanya ushahidi angalia body language yake anaonyesha Ni moja walichochea mauaji? Huyu ni mkwe wa Samia Poleni Sana wafiwa wote tutaikomboa Tanganyika kutoka kwa wauni Kama hawa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Samia, kamatakamata ya Chadema na watanganyika, hao uliowaamini wanakuharibia. Kama crooked dictators walianguashwa, wapambe watakuangusha

    Nakushauri kwa nia njema ti komesha kamatakamata ya watu. Hawa wapambe , machawa wanakutafutia anguko!
  5. JamiiForums Tanzania Maandamano yajayo hatushoboki na JWTZ. Wao ndo wataamua watuue au waungane nasi

    GT Tulijipa matumaini hewa kwamba tuna JW inayodhamin̈I maisha yetu kumbe ni wahuni wachumia tumbo. Amini nawaambia hawa jamaa walisaidia police kutuua 100%, JW walipiga san̈a risasi hasa nyakati za usiku mchana wanajifanya wapole. JW na Police lao ni moja kulinda.mafisadi ya CCM na wala siyo...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Damu za watanganyika zitalipwa tu, haitajali ni miaka mingapi. Kisasi chetu ni lazima, Samia achia madaraka, na Abdul jisalimishe

    Kila mahali kwenye vikundi vya whatsapp, kuna vilio vimetanda, kila familia imepoteza angalau mtu mmoja kama siyo zaidi ya moja. Wengine wamepoteza watoto wawili, wengine familia nzima imepigwa risasi, wengine mama na mtoto mdogo wa miaka wa miaka 2 wamepigwa risasi vichwani bila sababu.....Hao...
  7. JamiiForums Tanzania Onyo: Zanzibar inapaswa kuacha ubaguzi dhidi ya ndugu zao watanganyika, itawagharimu pakubwa

    Kwanza kabisa sababu kuu za harakati za kudai mabadiliko hazihusiani na muungano hata kidogo, ni za kisiasa tu. Hata hivyo kumekuwa na shutuma za ubaguzi zinazofanywa na wazanzabar kwa watanganyika hali hii inaweza kuwagharimu sana kwa ubaguzi wanao uanzisha na kupanua harakati za mabadiliko...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu Profesa Kabudi aliyesema anawaogopa watanganyika kuliko wazanzibari, akikutana na wa sasa watapigana sana

    Profesa Palamagamba Kabudi aliwa kusema, "Ninawaogopa sana watanganyika kuliko wazanzibari, kwa sababu wazanzibari mambo yao yoote yapo mezani, watanganyika wameyashika moyoni watu wa namna hiyo wakija kugeuka ni wabaya"
  9. JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni kisasi cha wazanzibari kwa watanganyika dhidi ya yale mauji ya 2001 kule Pemba

    Wanzanzibari akiwepo 'mama yenu' wanacho kinyongo cha muda mrefu na watanganyika. Kuanzia mauaji yaliyoambatana na mapinduzi matukufu (mpaka wajomba wakakimbilia Oman), muungano, kifo cha Karume, issue ya Jumbe, na hususani yale mauaji ya wapemba baada ya uchaguzi wa mwaka 2000. Hayati Mkapa...
  10. JamiiForums Tanzania Kutoka Kwa Maria : Wale Masheikh wa Zanzibar waliokuwa na kesi ya Ugaidi wakaachiwa na Samia, Mmoja wao ni huyu wa katikati akiua Watanganyika

    Mnakumbuka Kuna Masheikh wa kizanzibar walikua wakiongoza Kundi la Kigaidi na kupata Ufadhili kutoka Nchi za Waarabu hususani Oman , MAGUFULI AKAWAFUMULIA MTANDAO WAO WOTE. Sasa hivi Karibuni Samia aliwaachia, Kumbe waliachiwa Kwa kazi maalumu ya UCHAGUZI MKUU. Hawa hapa Masheikh wa Zanzibar...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Suluhisho ni moja TU, Polisi lazima walipe Gharama ya vifo vilivyosababisha kwa watanganyika wenzetu

    Tumefiwa wapendwa wetu kwa risasi Hadi tumepanick juu ya kuenenda kwenye taifa hili. Huruma ya Mungu iwe juu yetu, kama taifa tuwe na namna Bora ya kusuluhisha jambo hili. Ili wasio na hatia wasifikwe na madhara kama hayo yanayoweza kutekelezwa na wananchi wenye hasira Kali. Mungu tuhurumie...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia akifanya haya mawili, yatafunika mabaya yake yote na watanganyika watamuombea toba kwa Mola naye atamsamehe

    Habari? Nianze kwa kusema sisi Watanzania ni wepesi sana wa kusahau mabaya pale tunapo tendewa mema. Ni majonzi na maskitiko makubwa kuona vijana wadogo wasiyo na hatia kuawa kikatili na kinyama bila huruma. Kwa hakika uongozi Samia wa hii awamu ya 6 hauwezi kukwepa haya mauaji ya watu bila...
  13. JamiiForums Tanzania Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

    Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/ Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
  14. JamiiForums Tanzania Wameua Watanganyika. Sasa hawawazi waliowaua wala Uchumi wa Tanganyika, wanawaza kugawana Madaraka ili waendelee kula.

    Haya ndo yanayozungumzwa na Propaganda machinery yao Kigogo. Hawa watu hawawazi Watanganyika waliowaua, hawawqzi uchumi wao waliousimamisha. Wanachowaza ni kugawana vyeo na Madaraka ili waendelee kuila Tanganyika. Nawahakikishia. Kwa ushenzi mlioufanya mwaka huu jueni tu Revolution wont be...
  15. JamiiForums Tanzania Makundi ya mamluki wenye silaha yanaua watanganyika mitaani

    Makundi ya mamluki yenye silaha za moto Dar es salaam, Arusha, Tunduma n.k (mfano Janjawed, waganda n.k) yanaendeleza mauaji mitaani na barabarani mitaa ya sinza, ilala n.k. Ni wazi Samia ameamua kuongoza kwa kumwaga Damu za watanganyika. Angalizo: Akiachwa aendelee hii miaka mitano, anaenda...
  16. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 VIDEO: Samia aibuka, akabithiwa cheti cha ushindi. Huyu mtu anatudharau sana Watanganyika

    Baada ya kuwa mafichoni, hatimae karejea kwa kificho ili akabithiwe cheti cha ushindi aliopora kwa mtutu wa bunduki. Habari mbalimbali zinatabaruku kuwa ataapishwa haraka haraka then arudi mafichoni mpaka hali ya sintofahamu itakapotulia. Je, Watanganyika tumekubaliana na huu uhaini...
  17. JamiiForums Tanzania Watanganyika mliopo TCRA simameni kuiokoa Tanganyika kuangamizwa na Wazanzibar. Rudisheni mtandao

    Ujumbe kwa Watumishi wa TCRA ambao ni Watanganyika. Wazanzibari wanataka kuiteka Tanganyika na kututawala kwa nguvu. Wamelazimisha Samia atangazwe kwa uchaguzi ambao haukufanyika ba matokeo ambayo yametengenezwa na kila mtu kaona. Simameni kuiokoa Tanganyika dhidi ya huyu mshenzi mzanzibari...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hivi sasa karudi nchini kwake. Ninakushangaa wewe mtanganyika unayesurubu watanganyika wenzako kwasababu yake

    Amerudi nchini kwake rasmi na atamalizia kampeni zake huko. Halafu wewe mtanganyika umebaki nchini kwako ukiwapiga ndugu zako watanganyika kwasabb ya kulinda madaraka "yake". Hebu tuweni na uchungu wenye wivu juu ya nchi yetu Tanganyika ili waifaidi watanganyika. Sisi tumegeuzwa mateka na mtu...
  19. JamiiForums Tanzania Je polisi wanatoa wapi nguvu ya kututisha watanganyika ikiwa polisi Mmoja anahudumia wananchi 1,300 tofauti na kiwango vya umoja wa mataifa

    Leo nikiwa na pitia hoja za maandamano na mikwara ya polisi juu ya maandamano haya,nikatamani kujua uwinginwa hawa polisi,hakika nilishngaa,kwani Kwa mujibu wa takwimu zilizopo, askari polisi mmoja nchini Tanzania anahudumia wastani wa wananchi takriban 1,300. Hii ni tofauti na viwango...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Polepole sio mtu mwema ni muhuni sana

    Uharifu wake upowanzi kwa sas anachokifanya leo analetaa uhuni kama alivyo kuwa na lugha za kidikteta kwenye awamu ya 5, Taifa letu kwa sasa hatuko tayari na kwa uhuni anaoufanyaa ima achache imaa aendelee kuwaa chawa na watu alionao kwenye paaziaahaijapatakutokea.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…