watanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

    Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X ====== Ali Mohamed Kibao Ameuawa Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA. Mwili wa ALI...
  2. JamiiForums Tanzania Kuagiza mabasi ya mwendokasi ya dizeli baada ya kukamilika kwa Bwawa la Nyerere itakuwa ni kipimo cha ujinga kwa Watanzania

    Utaahira upo wa aina nyingi, pia upo utaahira binafsi na utaahira jumuishi (Communal insanity). Sifahamu bado kama mabasi yaliyoagizwa kwa ajili ya kutumika kwenye mradi wa mabasi yaendayo haraka wa Mbagala kwamba ni ya Diesel au ya umeme (Rechargeable); ila kama kweli tutakuwa tumeagiza mabasi...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu

    Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club. katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayotendeka ya mauaji ya watanganyika kwa kuwateka, sababu ya katiba ya UFALME, aliyoiacha Nyerere, siyo baba wa Taifa na si mtakatifu

    Nyerere alijua kabisa na alisema hadharani kuwa katiba hii ni mbovu, akiingia RAIS mpumbavu anaweza kuwa dikteita wa kufa mtu! Na bado akaiacha hivyo hivyo na sasa inazalisha madikiteita! Rais-Mfalme quotes Tangu angalau tuwe Jamhuri mwaka 1962, Rais wa nchi yetu amekuwa na mamlaka makubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Watanganyika tuamke usingizini, nchi imepigwa mnada tayari

    Moja kwa moja kwenye mada. Tukiendelea kukaa kimya na kufumba macho pamoja na kuziba masikio tunajidanganya. Sakata la Loliondo miaka ya 90 utawala wa Rais Ally Hassa Mwinyi uliwafurusha wamasai na kuwaweka waarabu, tukasema hayatuhusu. Ingawa wapo waliopaza sauti hadi kupoteza maisha. Heshima...
  6. JamiiForums Tanzania TATIZO WATANGANYIKA

    Tatizo watanganyika wameisha jimilikisha jina na nchi ya Tanzania na wameuvaa Utanzania haswa kuliko Wazanzibar. Wanadhani Wazanzibar ni Watanzania na wanajali hata kuhusu huo Utanzania na mambo yake. Nyie watu hamfahamu namna lilivyo kubwa hili suala la Tanganyika na Zanzibar mnapo sikia...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Baada ya Viongozi na wanachama wa CHADEMA kukamatwa na Jeshi la Polisi Agosti 11, 2024 walipokuwa wakielekea Jijini Mbeya kwenye kongamano la Vijana Duniani na kisha kuanza kuachiwa kuanzia 12 Agosti 2024 kwa kile polisi walichodai kuwa walitaka kuharibu amani ya nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Namna ya Kula pesa za Watanzania bila kutumia nguvu kubwa

    1. Anzisha Chama cha siasa, piga domo upate angalau Diwani, mbunge ruzuku kama zote. 2. Anzisha huduma za maombezi na kupata utajiri, utakusanya pesa za wavivu mpaka ukimbie, 3. Betting/Bahati Nasibu ya kujishindia Mamilioni kwa kucheza kwa Tsh 500 Tu. 4. Andaa matangazo ya ajira mishahara...
  9. JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga umewapumbaza Watanganyika

    Heshima sana wanajamvi, Katika miaka ya karibuni (labda 2020 - 2024) umekuwepo ushabiki mkubwa wa mpira baina ya club mbili kubwa Simba na Dar Young Africa. Ushabiki wa mpira, ngoma, kwaya, sarakasi, sana saana nyinginezo si jambo baya hasa katika kuburudisha na kuboresha afya ya akili...
  10. JamiiForums Tanzania Je Mwabukusi atawasaidia Watanganyika dhidi ya ukatili na uovu wa jeshi la polisi iwapo atashinda urais wa Tls?

    Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwa wananchi. Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki . Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia najua hautupendi watanganyika ila angalau tufanyie hili

    Una miaka 60+ kwa sasa una nguvu kiasi na una uwezo wa kufanya mambo kadhaa ila baada ya miaka 17 hautakuwa Samia huyu wa Sasa. Pengine Kuna mambo unayafanya kwa ajili ya kizazi chako ila niamini mimi Mkwawe pindi utakapopoteza madaraka, ushawishi na nguvu hakuna chawa yeyote atayekupambania...
  12. JamiiForums Tanzania Watanganyika fanyeni utafiti watu wanaosema Mitano Tena! Wapuuzeni haraka 2030 mtalia na kusaga meno

    Wanapiga kelele na kusema mitano Tena Hawa hapa. Wapuuzeni na mwaepuke kama ukoma.
  13. JamiiForums Tanzania Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

    Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe! Ujinga, maradhi na umasikini is real.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasiasa wa Zanzibar hawanunuliwi, badala yake tunanunuliwa Watanganyika tu?

    Utaratibu wa kununua wanasiasa Mama Abduli ameukuta. Lakini ifike mahali Watanganyika tujifunze toka kwa Wazanzibari. Wenzetu hawana hiyo michezo michafu ya kudhalilishana kama huku Tanganyika. Kulikoni Watanganyika?
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

    Hatujui mpaka sasa kumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania. Kwa wabongo waliopigika kumchangia mtu 10mil within 24hrs huo ni upendo mkuu sana! Kama umeguswa na unyama aliotendewa Tundu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tuilinde nafasi ya Urais kwa wivu mkubwa ili kuokoa rasilimali zetu

    Wazanzibari walipoweka sharti la "Mzanzibari mkazi" kwa kila anayetaka kuwania nafasi yoyote nchini kwao hawakuwa wajinga. Walifanya hivyo ili kulinda maslahi ya nchi yao, wakiamini kwamba wakiongozwa na "wa kuja" wanaweza kuuzwa ama kuingizwa mjini. Kuna kila sababu na huku Tanzania bara...
  17. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Philemon Mollel: Kuteuliwa kwa Makonda ni fursa kwa wakazi wa Arusha kutatuliwa kero zao

    Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  18. JamiiForums Tanzania Mapenzi Waliyokuwanayo Watanganyika kwa TANU na Julius Nyerere

    Hii video fupi naeleza nguvu ya TANU na Mwalimu Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Nimekusanya kiasi ya picha 50+ za Mwalimu kutoka Maktaba alizopigwa kati ya mwaka wa 1854 na 1961. Natafuta namna ya baadhi kuziweka hapa. Ukitazama hizo picha hapo juu na kusikiliza hii video...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alishambuliwa na watanganyika, mzanzibari akaenda kumpa pole, aliwakimbia watanganyika, mzanzibari kamrudisha

    Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana. Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo...
  20. JamiiForums Tanzania Tanganyika na baraka za Watanganyika

    Japo hazina uthibitisho wa kuaminika, lakini kutokana na hali ilivyo, unaweza ukashawishika kuziamini. Maelezo ya mtu anayedai kuwa alikuwa Mwenyekiti wa wachawi wa Tanzania kabla ya kuachana nao mnamo mwaka 2000 ni kama ifuatavyo: 1. Tanzania inatawaliwa kwa msaada wa nguvu za kichawi. Kabla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…