Ni katika mtaa wa Sokoni One, kata ya Sinoni jijini Arusha, ambapo asubuhi ya leo Februari 1, 2026, wananchi wa eneo hilo wameandamana na kufunga barabara inayotoka Sinoni kuelekea Ngusero kwa takribani masaa matatu.
Wananchi hao wanapaza sauti wakiiomba Serikali na mamlaka husika kuweka bamsi...
Watetezi wa haki za binadamu wanaounda mtandao wa NUPUSA (Network of Public Interest Lawyers and Human Rights Defenders in Uganda) wameeleza wasiwasi mkubwa kufuatia taarifa zinazohusishwa na Mbunge wa Upinzani wa Jimbo la Kawempe North kuhusu kuwepo kwa tovuti ya mtandaoni ya matokeo ya...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema ni kweli Watanzania zaidi ya 30 wamewafata Madaktari wa figo na kutaka kuuza figo zao kwa Wagonjwa wenye matatizo ya figo ili pesa hizo ziwasaidie kupunguza ukali wa maisha.
"Ni kweli kuna Watu wamekua wakiwafata Madaktari wa figo wakiwaambia sisi tunataka...
Wanachama wa CCM Kata za Bereko na Kisese, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma, wameuomba Uongozi wa CCM Taifa, kurudia kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani na Ubunge wa Jimbo la Kondoa Vijijini, wakidai uchaguzi huo uligubikwa na vitendo vya rushwa ili kutoa fursa kwa wananchi kupata kiongozi bora...
SIMIYU: Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Kisesa wamekusanyika na kueleza hisia zao wakipinga uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) kukata jina la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Luhaga Mpina katika mchakato wa awali wa uteuzi wa Wagombea.
Wamedai kutoridhishwa na majina yaliyopitishwa na kutoa...
Wakati vuguvugu la uchaguzi mkuu likipamba moto nchini kwa nafasi ya urais, ubunge na udiwani, wapiga kura wa Jimbo la Ukonga wamemtaja Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama kuwa ni mtu sahihi kwa 2025-2030.
Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo wanapoongelea uchaguzi wa mwaka huu, wamekuwa...
Baadhi ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu Mkoa wa Dar es salaam, wamependekeza sifa ya mtu kugombea ubunge iwe pamoja na elimu ya shahada ya kwanza, tofauti na sasa ambapo sharti la elimu ni kujua kusoma na kuandika.
Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi hao jana Juni 22 jijini Dar es Salaam...
Kadri siku zinavyoenda ndoto zangu za kuona ukurasa mpya umefunguliwa kutoka kwa Rais wangu zinapotea. Vitisho vilivyokuwepo kwa JPM tukaogopa sasa vimeongezeka. Tunatishwa, kupotezwa ama kuuwawa ama kunyanyaswa kwa namna yeyote ile. Wakulima, wafanyakazi kwa wafanyabiashara wote hatuna amani...
Mkoa wa Mwanza unajenga madaraja makubwa mawili hapo mjini kati. Tenda kapewa Nyanza Construction Company. Kampuni ya hovyo kabisa ya kizawa ambayo pia ilijenga sehemu ya barabara ya Mwanza-Shinyanga ambayo tangu inakamilika ilikuwa takataka
Madaraja hayo yamewashinda kiasi kwamba yamekuwa kero...
Na Waaandishi Wetu
BAADA ya kuanza kukua na kushika kasi kwa ajenda ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kutaka kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa 2025, wasomi, wanazuoni na wachambuzi wameibuka kuunga mkono.
Wengi wanaona umuhimu wa kusikilizwa na kufanyiwa kazi kwa ajenda ya...
Wakati siku za kufanyika kwa Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 zikikaribia, baadhi ya wadau wameshauri kuwa, tamasha hilo lihusishe waumini wa imani zote.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wadau hao wapenda amani walisema kuwa, endapo tamasha hilo litahudhuriwa na watu wa imani moja...
Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Kilimanjaro), Majengo (wilayani Arumeru, Arusha), na Naisinyai (wilayani Simanjiro, Manyara) wameandamana na kufunga barabara ya Mirerani hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), wakishinikiza Serikali kutatua changamoto ya eneo korofi...
WAKULIMA KIRIMA BORO WATAKA EKARI 37 ZIREJESHWE KWA WANACHAMA
MOSHI
Wanachama 71 wa Chama cha msingi cha ushirika(AMCOS)cha Kirima Boro wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro wamepaza sauti wakimuomba Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya makazi kurejeshwa kwenye chama hicho Ekari 37 ambazo...
Waparee mpoooo
Jumuiya ya waparee waishiyo Kenya wameomba KUTAMBULIWA RASMI. Kama wakenya na wachangiaji WA uchumi WA Kenya
Wakiongea MBELE ya makamu WA RAISI wamesema wanaomba kupitia gazeti rasmi la serikali watambulike kama wakenya
BAADA ya maambi hayoo MH makamu WA rahisi amewahakikishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.