wasukuma

The Sukuma are a Bantu ethnic group from the southeastern African Great Lakes region. They are the largest ethnic group in Tanzania, with an estimated 10 million members or 16 percent of the country's total population. Sukuma means "north" and refers to "people of the north." The Sukuma refer to themselves as Basukuma (plural) and Nsukuma (singular). They speak Sukuma, which belongs to the Bantu branch of the Niger-Congo family.

View More On Wikipedia.org
  1. Shemeji zangu wasukuma acheni hizo bwana yaani mimi mgeni siku ya kwanza tu ndiyo mniandalie ugali wa Dona mgumu na nsasa? Hapana kwakweli

    Yaani mimi nimekuja kusalimia ukweni baada ya nyie shemeji zangu kunichinjia Mbuzi au Ng'ombe ndiyo kwanza mnanikaribisha na ugali wa dona na Nsasa hii ni kweli jamani mbona yule shemeji yenu mwingine akija hapo kwenu mnamchnjia Mbuzi wawili na inakuwa na sherehe kabisa au kwasababu ni msukuma...
  2. M

    GE2025 Pongezi za dhati kwa wasukuma, mikoa waliyojaa haijavuma kwenye maandamano, ni watu watiifu na wakarimu sana

    Edit: hali ilikuwa mbaya, nawaombeni radhi
  3. M

    Wasukuma na waha mna shida gani? Yaani nyie mkizamia Tanga ndiyo hamtaki kurudi kwenu?

    Wasukuma na waha yaani wakija Tanga ndiyo wanazamia mazima hawataki kurudi kwao na kama unataka kugombana nae msukuma au Muha waliokuwa huku Tanga mwambie arudi kwao atakuzingua mpaka ujute kwanini ulimwambia hivyo yaani huku Tanga unaweza kukutana na msukuma au Muha ana miaka zaidi ya 30,20 au...
  4. Wasukuma ni jamii ambayo bado sana kustaarabika

    Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza. Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na...
  5. Watu wa makabila Kanda ya ziwa wana Roho Nzuri kuliko watu wa makabila ya Pwani

    Mimi nimezunguka sana kanda ya ziwa na Pwani, ila kanda ya ziwa watu wana roho nzuri sana hasa Wasukuma.... Msukuma unaweza kumkuta ni maskini wa mali ila tajiri wa roho. Msukuma uwa akunji roho kwa mgeni, hata kama hakujui ukienda kwake utapewa hadhi ya nyota 5. Mimi niliwai kuingia huko...
  6. M

    Wasukuma wakiamua kuleta ukabila, Basi mpina ni Rais , probality ya asilimia 85%

    Huo ndo ukweli, mwaka huu tuna mgombea kutoka kabila kubwa na namba moja tanzania na lenye idadi kubwa ya watu, na tunavojua wasukuma wanapendana na wanaaminiana, ila najua suala la kumchagua mtu ni mapenzi yake ya moyo, hivyo kabila la mtu sio factors. Japokuwa Mpina anatokea chama kidogo...
  7. Je mpina akisimama na wasukuma, Tundu Lissu awe kati, Dr Samia angetoboa?

    Jibu swali hapo juu tu
  8. Nisaidieni Kuhusu WASUKUMA

    Nisaidieni jamani, Hivi WASUKUMA ni WAKENYA/WAGANDA au WARUNDI/WANYARWANDA, am always confused here, Najua jibu ni kati ya hayo mawili, lakini ni lipiii ?
  9. Desturi za wasukuma

    ◇Mwanaume wa kisukuma ni ngumu kutangulizana na mkewe either mmoja aanze kutoka mwingine aje kwa nyuma ala kuondoka kwa pamoja hio sahau ◇ Ukienda usukumani chakula kizuri kama nyama ya kuku, mapaja na viongo vingine vitamu hupelekwa kwa wanaume ◇ wanaume kula na wanawake ni marufuku. Wanawake...
  10. Kwa nini wasukuma huwa wanapenda kukata matonge ya ugali ya aina hii wakiwa wanakula?

    Mko poa? Hivi kwanini wasukuma huwa wanakata matonge ya ugali ya aina hii,yani 3 in 1? Kuna agenda yoyote ya siri?
  11. Yanayosimuliwa Kahama ndivyo yalivyo au wanaupaisha tu huo mji wa Wasukuma!

    Mijadala ya sifa na mapambio imeku mingi sana huku mitandaoni kuhusu Kahama, je yanayo ongelewa Yanauhalisia kweli?
  12. Wasukuma na Mapenzi

    Wadau, kuna fununu nimekuwa nikizisikia kutoka mitaani na mitandaoni kuwa Wanawake WAKISUKUMA siyo mafundi katika suala zima la Mapenzi, Watu wengi wanafananisha level ya Wasukuma kuwa ni sawa na ile ya wanawake wa Kenya, .. Hebu wadau saidieni hapo, huu ni ukweli ( in general ) au ni fununu...
  13. Mwingiliano wa makabila, kabila la waha lilivyoharibu mbegu ya wasukuma, sasa kuna wasukuma hawafiki hata futi 5

    Hapo zamani wasukuma wote walianzia futi 5 na inch 8 sio mwanamke sio mwanaume Tukija kwa ndugu zetu waha,kule kuna vibinti vina futi 4 na point,hata kuku wa kigomani wadogo wadogo na wepesi, ng'ombe wa kigoma halikadharika, ni wadogo wadogo, mahindi ya kigoma ukikoboa sembe yanakupa uzito...
  14. CCM imejenga dharau kwa Wasukuma

    Hii ni dharau kwa Wasukuma Kuwasomba kwenye mikokoteni halafu mnawachinjia ng'ombe na kondoo misikitini ili kuwalisha . Ila mabalozi wa nyumba tisa ya kumi ni ya mjinga mnawapa BAISKELI kuwapumbaza waende kutik mpate vinono vya kuwatawala na nyiye mnapanda VXR na V8 kila mnakopita kuwahutubia...
  15. W

    kumbe wasukuma wa vijijini huvaa sketi kuvutia wanawake ?

    Si Wasukuma wote huvaa vazi hili, lakini limezoeleka sana kwa wachungaji wa ng’ombe porini na vijijini.
  16. Wasukuma ni jamii watu wanaodanganyika kirahisi mno

    Wasukuma wana mioyo ya plastic Wao kila kitu ni " no taabu" CCM Jana wameenda wakawajaza kwenye malori kama mifugo kwenda kwenye mkutano wa Hangaya Kwenye malori wamepakia hadi watoto wa shule, watu wamepata ajali na kufa Hivi hii jamii inashindwa kuhoji binadamu anapanda vip lile Lori...
  17. Sifurahishwi na dhihaka zinazofanywa dhidi ya Wasukuma Mitandaoni

    Wakuu nimevumilia hili lakini naona linazidi. Siku hizi kuna wimbi kubwa la watu wameona kuandika maudhui ya kukejeli kabila la wasukuma ni ujanja ama ni Content ! Na wengine wasiojielewa huendelea kukoment upumbavu na kuchekelea🇹🇿 Kuna majitu yanafurahia sana hizi kejeli ,kwani wasukuma...
  18. Walianza CHADEMA, zikaja nchi jirani halafu kanisa sasa huenda ni zamu ya wasukuma mwisho kabisa ni wanaCCM

    Kuna wimbo wa DMX unaimba move..... get out of my way.... Ole wake aletaye kikwazo ni kulala nae mwendo wa ngiri wanasema R Chugas. Tuendelee kunywa mtori.
  19. K

    Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

    No reform no election Habari zenu wana jf… hongereni kwa ibada kwa mlioenda na wengineo ambao mpo sehemu za starehe nawasalimia Nataka nijue wasukuma ni watu wa haina hii au huyu wangu nimemuokota tu Nipo na huyu mkaka almost 9 months lakini ila Naona kama hatuna chemistry au mimi ndio nina...
  20. Naomba kujua mila na tamaduni za Kisukuma ambazo wanaamini ni za kwao wao?

    Habari wana jf. Naomba kama kuna wasukuma org. humu ndani wanisaidie mila na tamaduni za kisukuma wanazoamini ni zao, wanapaswa kuziish. Mim ni msukuma fake(mama mnyarwanda, baba msukuma) watoto tumekulia mjini. Kwa atakae faham ani ainishie tafadhari, najua humu majibu ni uhakika.. Majibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…