wastaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    Chawa Philosopy: Serikali Awamu ya 6 inaweza kutoa tamko la kupiga marufuku kuwashangilia au kuwaenzi wastaafu wenye utumishi uliotukuka!

    Siyo siri, serikali ya Awamu ya 6 ina matatizo ya kukubalika na jamii. Sitaingia katika sababu za kufikia hapo. Lakini wakati wa msiba wa baba Yetu Cardinali Pengo, imejidhihirisha wazi kuwa watu wanajua viongozi wanao wapenda. Kwa kushangiliwa kwa upendo na bashasha kubwa Mpango, Makamu wa...
  2. Mindyou

    Shangwe laibuka baada ya Padri Kitima kutambulisha wanasiasa na viongozi wastaafu kwenye msiba wa Kardinali Pengo

    Wakuu, Nauliza tu Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
  3. Cute Wife

    Kitima akitambulisha viongozi wa sasa na wastaafu msiba wa Pengo

    Wakuu, Kitima ametambulisha viongozi wa sasa serikalini pamoja na wastaafu, shangwe la majaliwa sio la nchi hii
  4. Just Pray

    UVCCM Moshi yawaonya viongozi wa dini na wastaafu wanaofanya uchochezi

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetoa onyo kali kwa viongozi wa Chama, Serikali na Dini watakaobainika kuchezea au kupuuza maslahi ya Vijana, ukisisitiza kuwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa kwa maslahi mapana ya Chama na Taifa. Onyo hilo limetolewa...
  5. PAYE

    KUMBUKIZI | Ulega: Spika alishaagiza Wabunge wote kutokuwachokonoa viongozi Wastaafu

    Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Hamis Ulega, alimkumbusha aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, kuhusu agizo la Spika wa Bunge linalokataza kuwachokonoa chokonoa viongozi wastaafu, Bungeni Julai 3, 2027, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu maelekezo ya Spika wa Bungeni.
  6. R

    PSSSF tafuteni njia ya kuweza kuhakiki kitumia simu za wateja weni ( wastaafu)

    Tufuteni APP yenu ambayo mstaafi anaweza kuhakiki kutumia smart phone. Ni usumbufu usio kifani kukaa ofisini masaa 3 au zaidi uko kwenye foleni eti unahakiki Lifikirie hilo
  7. Mangi wa Rombo

    Kitendawili cha "mkono wa kwaheri": Kilio cha Wastaafu 600 wa Shirika la Reli (TRC)

    Inasikitisha na kutia simanzi kuona wazee wetu, waliotumikia nchi hii kwa uaminifu kwa zaidi ya mimiaka 30, wakisota mtaani bila kupata stahiki zao za kisheria. Hali ya wastaafu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) walioajiriwa na kustaafu kati ya mwaka 2012 na 2022 ni ya kuhuzunisha mno. Hoja za...
  8. Yoda

    Kwanini wakuu wa vyuo vikuu vya umma Tanzania huwa ni wanasiasa, viongozi wa serikali au majaji wastaafu wazee?

    UDSM-Rais mstaafu, JK Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein SUA- Jaji Joseph Warioba UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma Ardhi University- Jaji Mohamed Chande Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda MUST- Abeid Amani Karume
  9. Carlos The Jackal

    Orodha ya Wana CCM na Viongozi wa Serikali na Wastaafu na Machawa ambao Kamwe Hawatasamehewa Leo au Kesho Kwa namna yoyote Ile !!

    Hii hata hao TEC au Shura ya Maimamu , Wasomi ,Taasisi mbalimbali hawataruhusiwa kuingilia Au kujaribu kushawishi Maamuzi ya Wananchi. Wameua Ndugu zetu Maelfu , Wameteka Kila sauti iliyosimamia Haki, hakika Hawa ni watanzania ambao HATUTAWASAMEHE. Jakaya Kikwete na Familia yake. Rostam Aziz...
  10. F

    Sababu ya polisi wastaafu wawili kuuawa Kinyerezi, wauaji wote walikuwa wazanzibari. Kwenye clip kuna mwarabu

    Ule usiku watu waliouawa pale Kinyerezi, Kweli kulikuwa na uvunjaji wa duka na wakazi wa hilo eneo la Kinyerezi wakapiga simu, wakaja askari waliovalia kiraia. Mazingira ya hao plainclothes police kuja haikufahamika. Nadharia ambayo ilienea kwa kasi ni kuwa polisi walipopokea simu hiyo, wale...
  11. Msanii

    Tetesi: Amri imetoka juu. Wastaafu JWTZ wanaitwa kuongeza reinforcement

    Wanabodi Nitaendelea kuwapatia updates ya yanayojiri baada ya Captain Tesha kusema mazito kuelekea 29 Oktoba Maandamano Jana, usiku vikao vimefanyika vya ngazi mbalimbali ambapo amri moja imetoka na kudemand utekelezwaji wa haraka. Amri Wastaafu wote wa JWTZ wameitwa kambini. (Wastaafu wa...
  12. K

    YAHUSU NYONGEZA YA PENSHENI KWA WASTAAFU WA PSSF

    Mhe. Rais uliongeza Pensheni kwa Wastaafu hivi karibuni na wote tulipongeza sana. Mhe. Rais cha kusikitisha sisi Wastaafu tunaopokea pensheni zetu za kila mwezi kwa asilimia 100 kutoka PSSF hatujaongezewa hata senti moja licha ya tamko lako. Tunakuomba Mhe. Rais na sisi tunaopokea pensheni...
  13. The Burning Spear

    Wastaafu Zanzibar wapo Kimya, wa Tanganyika mbona hawatulii walisahau nini madarakani?

    Zanzibar inawastafu wawili wapo kimya kabisa na huwezi kuwaona wanajitia kimbelembele. Hawa watanganyika walisahau nini madarakani wanarudirudi? Waaambieni waache Tamaa wapumzike wanalipoteza Taifa.
  14. cacutee

    TANZIA Ansgar Africanus Mushi wa PSSSF afariki dunia

    Habarini wanajamvi, Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao Uru, Mawela - Moshi. Kesho...
  15. Waufukweni

    Polepole: Mungu akituvusha, turekebishe viongozi wastaafu washtakiwe

    Humphrey Polepole amesema "Mungu akituvusha, turekebishe sheria ya viongozi wastaafu washtakiwe iondoke, hawa watu waanze kujibu tuhuma na matumizi mabaya ya madaraka wakati wako madarani"
  16. R

    Ushauri wa Askofu Dullu kwa wastaafu serikalini kukubali kustaafu, mkafanye biashara na kulipa kodi kihalali, mmeupokeaje?

    Hellow! Ushauri huu ni mzuri, Hawa wastaafu wa Tra kwa mfano, wakistaafu, wafungue pia biashara zile zile walizokuwa wakiwabana wenzao walipe, nao iwahusu. Ameshauri wastaafu serikalini ifike mahali wakubali kustaafu, Serikali ina washauri wake, wastaafu kujileta mbele ya viongozi wetu kwa gia...
  17. McLaren

    GE2025 Mgombea Urais chama cha DP aahidi kufuta kikotoo cha wastaafu akishinda Urais

    Wakuu Ahadi kutoka kwa wagombea zinaendelea kumiminika
  18. Bueno

    Wastaafu huku mtaani wanalalamika mpaka leo ni Bilabila. Nini Kimetokea?

    Kwa wanaoelewa nini kimetokea maana Wastaafu mpaka leo 26.07.2025 kila wakichungulia vibubu vyao hawaoni kitu wakati kuanzia tarehe 20 vibubu vinakua tayari vimeshajaa. Nini kimetokea huko Hazina?
  19. Mung Chris

    Kwanini wastaafu hawajapewa nyongeza kwenye pensheni?

    Pensheni ya wastaafu waliowahi kuwa na vyeo vya chini haijaongezwa hata mia, inamaana nyongeza ya mishahara iliwalenga waliopo makazini tu. Kwanini waziri wa fedha alitanganza kuwaongezea na wao pia na kwa mwezi huu wa 7 hawaja tekeleza hilo. Haya maumivu ya wastaafu je Rais analipokeaje. Kama...
  20. Mkongwe Mzoefu

    KERO Mifuko ya Hifadhi za Jamii NSSF na PSSSF kwanini mnatesa wastaafu kuwalipa Pesa zao?

    Mazoea yamekuwa desturi, baada ya kuchangia kwa miaka mingi mifuko hiyo hadi kustaafu sasa wastaafu ndio wana kumbana na adha ya kupewa pesa zao utadhani wanaomba kazi upya. Kwanza wanacheleweshewa wakati mifumo ya kustaafu inaeleweka mwezi mmoja kabla mtu hajastaafu. Sasa kesha toka kazini na...
Back
Top Bottom