wassira

  1. Mto wa mbu

    Confirmed, Nyumba ya Stevin Wassira ilichomwa moto kwenye MO29

    Mzee wasira alikua na mdomo aswaaa, kwenye kampeini alikuwa anaongea Kwa dharau, kebehi na majivuno. Mungu si Abdul Wala Mchengerwa kwenye MO29, vijana walipiga kiberiti nyumba ya Wasirra. Hii habari nilileta humu watu wakabisha Leo Mzee Butiku amedhibitisha kuwa nyumba ya Wassira ilipigwa...
  2. Sitakuumiza Kamwe

    PostGE2025 Yuko Wapi Stephen Wassira - Think Tank na Strategist Mkuu wa CCM?

    Kabla ya MO 29 huyu mzee alikuwa ndiye sura ya CCM na alichomoza kama think tank na strategist mkuu wa CCM mara nyingi akitoa maneno ya dharau mpaka kujitapa kuwa CCM kitatawala mpaka Yesu atakaporudi. Siku ya maandamano nasikia vijana wazalendo walipita pale nyumbani kwake Bunda kumsalimia na...
  3. W

    GE2025 Wassira: Kufanya maandamano kwa njia ya kutatua changamoto, kumepitwa na wakati

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasria, amesema kufanya maandamano kama njia ya kutatua changamoto, kumepitwa na wakati. Wasira aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM alipokuwa mkoani Kilimanjaro katika moja ya kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...
  4. funaku

    GE2025 Comrade Steven Wassira kukutana na wanaCCM Arusha Mjini tarehe 31/8/2025

    Mkongwe anayezeeka huku akili zake zikiwa mpya atakuwa na kikao na wanaccm Arusha kesho saa saba mchana. Hii ndio CCM na hizi ndio kampeni
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    Kanisa la Waadventista wa Sabato Linaogopa Kumchukulia Hatua Mzee Wassira

    Kwa mujibu wa mwongozo wa kanisa la Wasabato, yapo mambo 13 yanayoweza kupelekea mshiriki wa kanisa kuchukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufutwa ushirika. Jambo la 2 katika orodha hiyo ni kuvunja sheria ya Mungu kwa kujihusisha na ibada ya sanamu, mauaji, KUVUNJA SABATO n.k Mara...
  6. J

    Polepole: Makamu mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira ndiye Msimamizi mkuu wa Usalama wa viongozi na chama kimaadili na kiitikadi

    Makamu mwenyekiti wa CCM ambaye kwa sasa ni Mzee wetu Wassira ndiye Msimamizi mkuu wa Usalama wa Chama na viongozi wake Hayo yamesemwa na aliyekuwa Mwenezi wa CCM
  7. S.M.P2503

    Hivi CCM na Wassira, Hayo Maridhiano na CHADEMA ni ya Namna Gani?

    1. Maridhiano ya kweli au maigizo ya kisiasa? Tumekuwa tukisikia kauli za “maridhiano” kati ya CCM na CHADEMA, lakini ukitazama Kwa makini vitendo vinavyoendelea, ni vigumu kuona dhamira safi ya hizo kauli za maridhiano. Serikali hii hii inayosema inaleta amani na maridhiano, ndiyo hiyo hiyo...
  8. W

    Je, ni kweli kuwa kila zahanati nchini ina CT scan kama Wassira anavyosema?

    Wakuu, nimekutana na hii video wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stsphen Wassira akieleza kuwa kila Zahanati nchini kwa sasa ina CT scan.
  9. Analogia Malenga

    Wassira: Kifupi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo sio CDM

    Akizungumza katika Kipindi cha Mizani, TBC, mzee Stephen Wasira amesema kuhusu suala la watu wengi kuenguliwa kwa kushindwa kujaza fomu amesema wengi walikuwa wanatumia majina ambayo hayajasajiliwa. Wasira amesema, Chama Cha Mapinduzi wamesajili jina hilo na kifupi chake ambacho ni CCM. Lakini...
  10. Mnyenz

    Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  11. A view to a kill

    Kitendo cha kumrudisha mzee Wassira kwenye siasa za majukwaani ni dhahiri hata CCM inahitaji reforms

    CCM twende na wakati ,kila nyakati na watu wake na changamoto zake, kijana wa 1960s sio wa kijana wa leo, wengi wameenda shule na wanajua kinachoendelea duniani,
  12. Valencia_UPV

    Wassira sema neno Sakata ya Gwajimanization!

    Makamu umenyuti Sana hatujakuzoea hivyo tafadhali okoa jahazi vinginevyo Askofu hana dogo huyu
  13. Determinantor

    Yuko wapi Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wassira?

    Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo. Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana
  14. Chakaza

    Waungwana, Mzee Wangu na Swahiba Wangu Steven Wassira Yuko Wapi? Mbona Kimya?

    Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau. Sasa anayejua yuko wapi...
  15. Allen Kilewella

    Shughuli za CHADEMA zizuiwe na Samia, Wassira na Nchimbi?

    Kuna dhana ya uzushi iliyojaa uwongo, kuwa viongozi wa CHADEMA huwa hawakai mbele wakati wa harakati za chama hicho kama vile maandamano. Lakini ushahidi upo kuwa mara zote wakati wa maandamano ni viongozi wa CHADEMA ndiyo hukamatwa kwa kuwa huwa wanakuwepo kwenye maandamano tena mstari wa...
  16. Just Pray

    PreGE2025 Stephen Wassira: Wanaosema hatujafanya lolote wanaota ndoto za mchana, wajiepushe na laana

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara Stephen Wasira ameeleza kuwa Chama cha Mapinduzi kimefanya maendeleo makubwa katika sekta nyingi nchini ikiwemo sekta ya elimu licha ya kuwa watu wengine wamekuwa wakiyabeza. “Jana niliwaambia wako wanaosema hatujafanya lolote nikawaambia nyie...
  17. Just Pray

    PreGE2025 Wassira: Kazi yetu kuanzia sasa mpaka Oktoba ni kukamata dola kwa nguvu ya wananchi na sio jeshi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu, kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha kinakamata dola kwa nguvu ya wananchi. Amesisitiza kuwa CCM haitegemei Jeshi la Polisi ili kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
  18. M

    PreGE2025 CCM Simiyu mmemsikia Mzee Wassira?

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara,Stephen Wassira alifanya ziara katika mkoa wa Simiyu kuanzia Machi 28-30 mwaka huu kwa kutembelea wilaya zote za mkoa huo ambazo ni Maswa, Meatu, Itilima,Bariadi na Busega. Akiwa wilayani Maswa ambapo akizungumza na wanachama wa Chama Cha...
  19. Mzee Nyerere

    PreGE2025 Stepehen Wasira: Rais Samia amejenga hospitali na zahanati, mkombozi mkubwa kwa wanawake

    == Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa hususan ujenzi wa hospitali na zahanati ambazo ni mkombozi mkubwa kwa wanawake. Wasira amesema hayo jana Machi 29, 2025 Itilima mkoani Simiyu alipokuwa akiwahutubia wananchi katika mkutano...
  20. W

    PreGE2025 Wassira: Ofisi za CCM zitumike kutatua kero za wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi. Wasira ameyasema hayo leo Jana Machi 26, 2025 alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi za CCM katika Kata ya Chibe...
Back
Top Bottom