wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Raisi wa Israel,Isaac Herzog aiomba dunia iwe upande wao kuwashinda Hamas ili kuwarejesha mateka wao waliopo Gaza.

    Riasi huyo amesema Israel sio iliyotaka vita hivi na kwamba dunia ni lazima iwe pamoja nao kusaidia kuwashinda Hamas na kuwarudisha mateka wao nyumbani wakiwa salama. Salamu hizo kwa dunia nzima kutoka kwa raisi huyo zimetolewa wakati ambapo vita hivyo vinakaribia kutiimima mwaka mmoja na huku...
  2. JamiiForums Tanzania Niliwambia nataka mil 50 wao wanachukua 30 hawajanifurahisha kabisa-Gamondi

    Huyu kochanmtuu mbad sana aisee Ameulizwa vipi kuhusu mechi anajibu m niliwambia leo nataka muondoke na mil 50 Nimehuzunishwa sana nashangaa wamechukua 30mil tu... KazinikwaYangakunakazi
  3. JamiiForums Tanzania Nimepishana na msafara mkubwa wa magari ya polisi hapa Kibaha, uelekeo wao ni Dar Es Salaam

    Magari takribani 12 mpaka 14 aina ya Land Cruiser yakiea na shehena ya askari nimepishana nayo hapa kibaha yakielekea Dar. Jumatatu kutachangamka sana huko Mjini, mliopo Mbezi mnaweza mkosogea karibu na barabara mjionee🤣
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam. Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika...
  5. JamiiForums Tanzania Kunan wary kazi yao n kuombwa tu wao hawaombi...

    Ukiona uko lwenye mahusiano ya aina hii amsha akili zako Kuna watu kwenye ndoa hawajui kuomba tendo la ndoa yaan mpaka useme wewe naomba Kamwe hutaona wakisema can I make lve Hawa wao n kuombwa tu na ktk kuombwa mara wakupe ama wakunyime Ukiona uko kwenye mahusiano ya aina hii...
  6. JamiiForums Tanzania Tunawapuuza kupitia Mabalozi wao halafu huku nyuma ya Pazia tunawapokea kwa Nguvu zote na tukiwapigia Magoti waweze Kutusaidia kwa Umasikini wetu

    MKE wa mtoto wa Mfalme wa Uingereza, Sophie Hellen Rhys-Jones (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbalimbali kutoka wizara ya Afya alipowasili katika kituo Cha Afya Cha mlandizi kilichopo Mkoani wa Pwani, (katikati) ni Waziri wa wizara hiyo, Jenista Mhagama. Sophie anatarajia kutembelea kituo...
  7. JamiiForums Tanzania Kwakuwa Mabalozi wa Kigeni walioko Nchini hatuwaamini kwa lolote ila tunawaamini Marais wao basi nasi tuwaondoe Wetu Makwao na tujiwakilishe Kibinafsi

    Yaani kama Mtu mzima hadi sasa hujajua na hujui kuwa Balozi ni Mwakilishi namba Moja wa Rais wa Taifa husika nchi fulani na kwamba kila Siku au mara kwa mara huwa wanafanya Mawasiliano ya moja kwa moja basi utakuwa si tu labda huna Akili lakini pia upo hapo ulipo kwa bahati mbaya au Watu...
  8. JamiiForums Tanzania Nimekutana na wanafunzi wamebeba fimbo na wameagizwa na mwalimu wao.

    Kwanza WAALIMU tunawapenda sana ndio maana tumewaamini kuwafundisha Watoto/wadogo zetu. Lakini hii imekaaje unatoa oda zaidi ya wanafunzi wa 5 wakuletee fimbo za kuwaadhibu? Hatukatai adhabu lkn mara kadhaa tumeshuhudia waalimu mkilemaza Watoto wetu na kuwatia kilema Cha maisha! Wanafunzi...
  9. JamiiForums Tanzania Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!

    Wanabodi, Mabandiko mengine sio mabandiko ya kitoto!, ukijiona huelewi, we jipitie tuu!. Angalizo la Alama ya Kuuliza "?". Mimi mwenzenu jameni, nimewahi kuitwa mahali na kufikishwa mbele ya kamati fulani kwa kutuhumiwa nimesema statement fulani!, kumbe masikini mimi, sikutoa statement...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanamke akigundua kakaa vibaya kwenye public na watu wameona hukosa tena confidence ila kwa wanaume wao hawajali kitu?

    Kuna mahala nilikuwa katika Kikao kidogo ndani ya Ukumbi na kuna Dada kwa kutokujua kuwa alikuwa anatuonyesha Video ya bure ya kilichopo katikati ya Miguu yake (ila Kimefunikwa) na alipojulishwa na Mwenzake akakaa vizuri na kutunyima Uhondo wazee wa Chabo na ghafla Confidence yake ikashuka na...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaokemea Kuuawa Kikatili kabisa kwa Mzee Kibao ni watu wa CCM na UVCCM na ukiwatizama Usoni huoni Uhalisia wa Wao Kuumizwa na Tukio husika?

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amewaasa wanasiasa wa vyama vya upinzani kuwa watulivu, wakati huu ambao serikali inafanya uchunguzi juu ya kukithiri kwa vitendo vya utekaji na mauaji vinavyochafua taswira ya Taifa. Chanzo...
  12. JamiiForums Tanzania Kibongo Bongo wafanyakazi hawazijui Sheria za kazi. Wananyanyasika sana bila kujua haki na wajibu wao

    Habari, Ni ukweli usiopingika kwa ajira hizi tunazofanya bila kujua haki na wajibu wako ni kazi sana kutoboa. Wafanyakazi walio wengi hawajui haki na wajibu wao katika kazi wanazo zifanya. Mfano Sheria ya Kazi inasema mfanyakazi anatakiwa kufanya kazi masaa nane, yanayozidi baada ya hapo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanandoa wengi hawawaruhusu wenza wao kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza ?

    Imekuwa ikisikika kwamba baadhi ya wanandoa huwakataza wenza wao kwenda kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza endapo waliwahi kupata mtoto/watoto kabla ya mahusiano mapya yaliyozaa ndoa.Mfano unaishi na mtoto uliyempata na mzazi mwingine inapofika hata kipindi cha likizo unataka ukutane na mzazi...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Salamu kutoka Marekani: Nimejiona mnyonge kuona wadau wanavyotambulisha wapenzi wao

    Wakuu kama kawaida katika harakati tunakutana na wadau kwenye event mbalimbali. Nami leo nikashiriki tukio fulani hivyo lilikuwa na watu wengi sana. Mwisho ikawa utambulisho. Basi mtu anasimama anajitambulisha halafu unakuta anasema "Yule mrembo pale ni mke wangu nina miaka 20 tangu tuoane"...
  15. JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Jakaya Kikwete, alishawaonya CCM kuwa wasilitegemee Jeshi la Polisi kuwafanya wao waendelee kukaa madarakani

    Nakumbuka katika kikao Cha mkutano Mkuu wa CCM, iliofanyika jijini Dodoma mwaka 2012, Jakaya Kikwete, akiwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Taifa na wakati huo huo akiwa ni Rais wa Tanzania wa awamu ya 4 aliwaonya vikali CCM kuwa wasilitegemee Jeshi la Polisi, kuwafanyia siasa na badala yake wapambane...
  16. JamiiForums Tanzania Yahya Sinwar aipongeza Lebanon kwa moyo wao wa upendo kwa wapalestina kwa njia ya kupigana na Israel

    Kiongozi mkuu wa Hamas,ndugu Yahya Sinwar ametoa pongezi kwa viongozi wa Hizbullah ya nchini Lebanon kutokana na kuwaunga mkono wapalestina kwa njia ya kuwashambulia Israel bila kuchoka. Pongezi hizo zilitumwa kwa njia ya barua na kuwekwa wazi na vyombo vya habari vya Lebanon ni jibu la barua...
  17. JamiiForums Tanzania Mara nyingi vita huwa ni mbinu ya kumrejesha nyuma adui yako

    Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa IRAQ, IRANI na mataifa mengine huku wao wakiendeleza kutengeneza mabomu haya. Kawaida kila taasisi...
  18. JamiiForums Tanzania Hussein Bashe acha kufokea na kutishia raia walipa kodi kwa sababu ya kutopendezwa na ukosoaji wao

    Bashe fanya kazi yako na timiza wajibu wako, unalipwa kuleta masuluhisho katika sekta ya kilimo. Acha kufokea raia kwamba watu wanakosoa tu bila kuletea masuluhisho kwa hiyo unawanyima huduma za serikali kwa mamlaka yako uliyo nayo. Kwanza huna mamlaka ya kuwanyima huduma raia walipa kodi...
  19. JamiiForums Tanzania Cardi B na Offset wamkaribisha Mtoto wao wa Tatu, ni baby girl

    Septemba 7 mwaka huu, Cardi B na Offset waliungana kwa pamoja kumkaribisha ulimwenguni mtoto wao wa Tatu pamoja. Cardi B ame-share nasi picha pamoja na video kwenye akaunti yake ya instagram, mtoto huyo ni wa Kike na anakuwa wa tatu akiwafuata; Kulture Kiari Cephus (6) na Wave Set Cephus...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Lugha ni kitu kinachowanyima watanzania confidence ya kwenda majuu na wengi wanaofika wanapata ugumu kimawasiliano, kimbilio pekee huwa ni wakenya.

    Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…