wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kumbe na kuna wanawake wanawakataa watoto wao

    Hii imeniumiza sana story ya huyu dogo
  2. JamiiForums Tanzania KERO TRA Temeke ni changamoto sana kwenye ufanyaji wao wa kazi

    Wakuu nimekuja kwenu, ofisi za TRA Temeke zina fikirisha sanaa katika uwajibikaji wao Nili-register TRA TIN Number mwaka 2020 branch ya Mbagala sasa nataka nihamishe ile TIN number location isome Ilala hapo ndo kimbembe aisee Hawa jamaa nimefanya process zotee online barua nimeandika na...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Viongozi wa juu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Tundu Lissu kuhudhuria maombi ya kuliombea Taifa yatakayofanyika Leaders Club

    NI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025 Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la Tanzania linaenda kurudishwa kwenye ramani yake ambapo Sasa kutakuwa na Uchaguzi Huru na Haki...
  4. JamiiForums Tanzania Wakati Rais anaongoza, wao wanamkejeli anafanya comedy?

    Nahisi huu uzi utafutwa. Napata tu hizo hisia kutokana na mwenendo wa JF miaka hii. Vijana wanamwona Rais anafanya comedy. Imenifikirisha sana. Sisi tunachukulia serious wao wanaona ni comedy.
  5. JamiiForums Tanzania Mabinti wa haya makabila wengi wao haupati upinzani mkubwa ukirusha kamba

    Wajaluo Wairaq Wanyaturu Wajita Wazaramo Wadigo Wamakonde Wahaya.
  6. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya wazazi kuwaaandalia watoto wao mazingira ya kazi kama ilivyo jamii za kipemba ,kiarabu na kihindi.

    Nimefatilia Sana na kuangalia mtu Amalia machozi na wengine wakianzisha umoja wao wa Majobless ili kuendesha harakati za kudai Ajira. Ni kweli serikali inabidi kuhakikisha inaweka mazingira wezeshi ya kupunguza hili tatizo hata kwa asilimia kadhaa . Ila kubwa kuliko ni wazazi kuwa na uwezo wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wengi walishindwa kujaza 21% ya ajira kwasababu ya Necta, vyuma vimelainishwa tutegemee kuona wazanzibari wengi zaidi maofisini

    Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana, Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara. Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
  8. JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani, unganeni na CHADEMA , Waachieni CCM uchaguzi wao wenyewe , unganeni kupigania Hatima yenu ya Sasa na Baadae !!

    Ninawahakikishia, Siku mtakayotoa Kauli Moja tu ya kwamba, HAMTASHIRIKI UCHAGUZI WOTE BILA MABADILIKO , mchakato waabadiliko hayo utaanza mara Moja . Waachieni CCM uchaguzi wao, wajifanyie Kampeni wao, wajichague wenyewe !!. Achanane na Hadaa za muda mfupi za CCM , kwamba zitakupa Ruzuku ...
  9. JamiiForums Tanzania Geti la Jahanamu wanalotaka kulifungulia Trump na Netanyahu huko Gaza, waangalie vyema lisije likafungukia upande wao

    Bado nasimamia kwamba Trump na Netanyahu wamechanganyikiwa kuhusiana na wapalestina na hasa Hamas. Wanapenda na wangetamani vita vingekwisha na kutangaza ushindi.Jambo hilo ni gumu kwa sasa na Hamas wameganda bado huko Gaza. Katika nyakati tofauti raisi Trump na mwenzake huyo wametoa matamshi...
  10. JamiiForums Tanzania Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kima

    Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume. Kwa mujibu huo wa The Kennel Club inayotambulika duniani kwa jukumu la kusimamia shughuli mbalimbali za mbwa zinasema...
  11. JamiiForums Tanzania Singida Black Stars kuchezesha wazawa leo ili kupunzisha mastaa wao wa kigeni

    Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu. NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Marekani wana haki kudai kwenda na watoto wao kazini kama Elon Musk?

    Huko Marekani kuna wanawake wameanza kulalamika kwamba ingekuwa ni mwanamke anafanya kama anavyofanya Elon Musk kwenda na watoto wake kazini Ikulu ya Marekani watu wangepiga kelele sana! Haya madai yana mashiko?
  13. JamiiForums Tanzania Israel walikua nje ya Ardhi yao Kwa miaka 1878 , wakarudi mwaka 1948 Kwa azimio la UN, maajabu ni kua hawakupoteza chochote kuwahusu wao !!.

    Watu wengi hawajui Historia ya hili Taifa la Mungu. Israel ndio waliokabidhiwa Nchi ya Kanani , miaka zaidi ya 1800 kabla ya kurudi kwao Kanani mnamo mwaka 1948, walitawanyika katika mataifa mbalimbali kufuatia Uvamizi wa Rumi . Uvamizi huo uliwafanya Waisrael kukimbilia uhamishoni, wapo...
  14. JamiiForums Tanzania Mh. Kiasi: Viongozi wa Dini wahangaike pia na njaa ya haki ya Waumini wao

    “Natoa wito kwa Viongozi wetu wa Dini, Maaskofu, Mapadri na Masheikh wetu, na wao ni Watanzania, yakiharibika yanaharibika na kwao yakitengamaa yanatengamaa na kwao, wasikubali kuambiwa wajibu wao ni kuombea roho za Waumini wao tu, wajiulize je miili ya Waumini wao ipoje, wahangaike na njaa ya...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanapenda kutunza wazazi wao ila uchumi binafsi umewakaba koo

    Watoto wala hawana haja ya kuhimizwa kutunza wazazi, tatizo unakuta watoto wenyewe wako mjini wanabangaiza tu wana watoto wao pia, wake, michepuko, madeni n.k.
  16. JamiiForums Tanzania Nimegundua kuwa watu nafsini mwao wanaelea matendo ya mitume wa kileo yamekaa kitapeli ila ulimbukeni wao wa mambo ya kufikirika ndio unaojaza kiu yao

    Naelewa tabu zimekuwa nyingi, ILA, Kwa hio Mungu ametuma manabii wenye miujiza mikuu waende Dar tu? Kwa hio kutanguliza sadaka kabla hamjaombewa bado hamjaona kuwa ni shughuli ya kiuchumi ndio anafanya? Toa pesa, Pata huduma "Mungu wa mahala hapa ndio wa kweli" "Mungu wa nabii so and so" ...
  17. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya ligi eti hawaoni madudu ya waamuzi wao.

    Refa kaongeza dk 5 kipindi cha kwanza na dk 9 kipindi cha pili na dk 4 nyongeza yake kwenye mechi moja. Yaani nyongeza ya dk 5+9+4 = 18 . Hii ni aibu ya kipumbavus. Mwamuzi anaongeza dk kutokana na timu ipi huwa ina tabia ya kushinda na ipi inashambulia zaidi. Timu ipi inatakiwa isawazishe na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo

    03 February 2025 Dar es Salaam, Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kwa ukarimu kuandaa mkutano huo kujadili hali ya Mashariki mwa DRC Dar es salaam kupokea marais wa nchi za sadc na eac kujadili mgogoro wa nchi ya dr congo Mkutano wa pamoja wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mpango wao Utopolo sio huo tu wameshajipanga kutuangamiza kombe la Shirikisho ili tufanane, msiseme sikuwaambia

    Kikosi kazi cha Utopolo bado kinaendelea kuhakikisha kuwa umoja unapungua ama kufa kabisa ili tuanze kucharurana na hatimaye mwezi Machi washushe maangamizi mengine kwetu, sasa hivi kikosi chao kinasubiri kujua nani amepangiwa kucheza na simba hatua ya robo ili wamalize shughuli kwa kushirikiana...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati wenzao wanajiandaa na mchezo wao wakajiona tayari mabingwa wakaenda kuzurura bungeni dodoma

    Weka neno moja kisha pita kimyakimya 😀
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…