wanne

Wanne-Eickel Hauptbahnhof is a railway station in the former city of Wanne-Eickel, now part of Herne in western Germany.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Kuna matukio ya kuokotwa kwa miili ya wanaume watatu na mwanamke mmoja katika maeneo tofauti ya Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga. Kati ya miili hiyo, mwili wa mwanaume mmoja, kutokana na uchunguzi uliofanyika, ulibainika kuwa ni wa Benard Wilson Masaka, Mgogo (43), Mfanyabiashara wa nyama...
  2. JamiiForums Tanzania Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa mnamo tarehe 16.06.2025 majira ya saa 21.05hrs huko katika Kijiji cha Mwamishari, Kata ya Mwamishari, Tarafa ya Kimali, Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu ilitokea ajali ambayo ilihusisha gari aina ya Scania ambalo lilikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania haisongi mbele sababu marais wetu wanne kati ya sita hawana asili ya Tanzania

    Ukiondoa marais wawili tu,sitawataja majina Wanne waliobaki hawana asili ya Tanzania. Ndio maana hawana uchungu na nchi yetu
  4. JamiiForums Tanzania Askari wanne wa Israel wauwawa huko Gaza

    Wanajeshi 4 wa IDF wameuawa na wengine 5 kujeruhiwa baada ya jengo lililokuwa limetek wa milipuko kusini mwa Gaza kuporomoka. Wanajeshi wanne wa Israel wameuawa na watano kujeruhiwa na mlipuko katika jengo moja kusini mwa Gaza ya Khan Younis asubuhi ya leo, jeshi latangaza. Wanajeshi wawili...
  5. JamiiForums Tanzania Utawala wa Trump umewawekea vikwazo majaji wanne kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague

    Utawala wa Trump umewawekea vikwazo majaji wanne kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague. Katika kutangaza hatua hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio alisema: "Kama majaji wa ICC, watu hawa wanne wameshiriki kikamilifu katika hatua zisizo halali na zisizo na...
  6. JamiiForums Tanzania Askari wanne wa TANAPA washikiliwa kwa tuhuma za kumuua mfugaji aliyengiza mifugo katika hifadhi

    Askari wanne wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Kurwa Igembe anayedaiwa kuingiza mifugo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wilayani Mbarali.
  7. JamiiForums Tanzania Vikosi vya Al-Qassam:Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na maafisa wa Jeshi la Israel

    Wanaukumbi. BREAKING: Al-Qassam Brigades: Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun. ================ BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam: Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na...
  8. JamiiForums Tanzania Brigedi za Al-Qassam ziliamua kukabidhi miili ya mateka wanne wa Kizayuni usiku wa kuamkia leo

    Wanakumbi. Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, Abu Obaida: Ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya Mafuriko ya Al-Aqsa kwa ajili ya kubadilishana wafungwa, Vikosi vya Al-Qassam vimeamua kukabidhi maiti za mateka wafuatao wa Kizayuni usiku huu: 1- Itzahi Idan 2- Itzik Al-Jar yake 3- Ohad Yahalomi 4-...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Siku nilipogundua mwanamke wangu ana wanaume wanne tofauti: Sitoamini tena mwanamke

    Tulikaa vizuri mimi nayeye na alionesha kuridhia kuwa na mimi, Wakati namtongoza nilimwambia najitafuta, akakubali maisha yangu, yeye akawa anafanya biashara ya kuuza duka la perfumes mainly (na cosmetics nyingine kwa ujumla) Tumeishi kama miaka miwili kipindi hiko chote nilikuwa nampromise...
  10. JamiiForums Tanzania Watu wanne mbaroni wakidaiwa kuhujumu miuondombinu ya Tanesco na SGR

    Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa vipindi tofauti wakidaiwa kuhujumu miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Shirika la Reli Tanzania (TRC). Mara kadhaa TRC imekuwa ikieleza kuwapo kwa baadhi ya watu wanaokula njama za kuharibu miundombinu ili kuzorotesha usafiri wa...
  11. JamiiForums Tanzania Wabunge Wanne ajali ya basi waruhusiwa, wengine wakiendelea na Matibabu Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH)

    Wabunge wanne kati ya 17 waliolazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) wameruhusiwa baada ya afya zao kuimarika, huku wengine wakiendelea na matibabu. Majeruhi hao walipata ajali juzi eneo la Mbande wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wakienda Mombasa, Kenya kwenye mashindano ya 14 ya Mabunge...
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya Mtumishi wa TRA Amani Simbayao kutoka tukio la Tegeta

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro anazungumza na Vyombo vya Habari. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaaam linawashikilia wanaotuhumiwa wanne, Deogratius Paul Massawe (40), Bakari Idd Bakari (30), wote ni kuli wa Tegeta kwa Ndevu, Omary Issa...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tanga: Watu wanne wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura

    Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa wakidaiwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura kwenye Wilaya za Pangani na Tanga mjini, wakati upigaji kura ukiendelea. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo Novemba 27, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, ACP...
  14. JamiiForums Tanzania Ugonjwa usiojulikana waua wanne Simiyu

    Watoto wanne wa familia moja wakazi wa Mtaa wa Sanungu, Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, wamefariki ghafla kwa ugonjwa usiojulikana hali iliyosababisha taharuki kwa wakazi wa maeneo hayo na kuiomba Serikali kupitia wataalamu wa afya kufanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha vifo...
  15. JamiiForums Tanzania Watu wanne unaotakiwa kuwa nao wakati wa kununua kiwanja dar or across the country

    A- Wakili. B- A surveyor. C-A land Valuer. D- Mlevi mmoja ama wawili wa hapo mtaani Watakao kuambia kweli(hidden truths) na historia ya hicho kiwanja.
  16. JamiiForums Tanzania Profesa Ndakidemi atimiza ahadi yake,aipa Milioni 5 familia iliyopoteza watu wanne Kata ya Kimochi mafuriko ya April 25 mwaka huu

    Profesa Ndakidemi aipa Milioni 5 familia iliyopoteza watu wanne kwenye mafuriko Kata ya Kimochi MOSHI Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini (ccm),Profesa Patrick Ndakidemi ametimiza ahadi yake baada ya kuipa shilingi Milioni tano familia iliyopoteza watu wanne ambao walifari Dunia baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Chief of Staff wa IDF amekoswakoswa tena wanne wauwawa huko Jabalia

    Mnadhimu wa Jeshi la Wanamgambo Israel amekoswakoswa na kuuwawa baada ya nyumba aliyokuwemo kulipuliwa na Wanajeshi wa Hamas. Lt Gen Halev alikua katika majukumu yake ya kukagua wanamgambo katika uwanja wa vita.. Shambulio hilo limeondoka na wanamgambo wanne. BREAKING: HAMAS TARGET HOUSE WHERE...
  18. JamiiForums Tanzania Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam. Ni katika kesi ya jinai namba...
  19. JamiiForums Tanzania Basi Kampuni ya Kapricon (T 605 DJR) iliyokuwa ikitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea Arusha lapata ajali

    #HABARI Watu wanne wamepoteza maisha na wengine 15 Kujeruhiwa baada ya basi Kampuni ya Kapricon (T 605 DJR) iliyokuwa ikitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea Arusha kupata ajali ya kuacha njia na Kupinduka katika eneo la Maili kumi, barabara ya Segera-Korogwe mkoani Tanga. Akithibitisha kutokea...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wanne wa Israel wauawa kwenye mapigano

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limethibitisha kuwa askari wake wanane wa wameua katika makabiliano na wapiganaji wa Hezbillah kusini mwa Lebanon IDF inasema watatu walikuwa wa kitengo cha Egoz, Awali ilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…