wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

    Ninaondoka Bungeni Bila Mume Wangu, Bali na Mikopo Mikubwa na Aibu Jana katika Sekretarieti ya NRM, nilifanya mahojiano yenye hisia kali na mbunge wa kike aliyekuwa amechukua fomu za uteuzi. Aliniruhusu kuchapisha taarifa hii bila kutaja jina lake. Yale aliyoshiriki yalikuwa ya kuhuzunisha na...
  2. JamiiForums Tanzania Iran na Israel: Kutoka Mabest hadi Maadui wa Kuuana

    Iran na Israel: Kutoka Mabeste Hadi Maadui Basi hebu nikusimulie hii stori kali – kama vile tupo vijiweni tunagawana kahawa ya jioni. Zamani hizi, kabla mambo hayajaharibika, Iran na Israel walikuwa kama mabest wa damu. Walishirikiana kwenye biashara, walipigiana tafu kwenye siasa, na walikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu chekeche

    https://youtu.be/WoGgc1REXVs?si=BFq4agf_-SmdHbvV
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mbwa wangu ameweuka

    Mbwa wangu jana usiku aliona kitu cha kutisha. Kuna mnyama aliingia na mbwa wangu alimfukuza akiwa ndani ya fensi ambayo siyo rahisi kuiruka kwa sehemu kubwa. Baada ya hilo tukio anakuwa kama bado anamwona huyo mnyama au mdudu tuseme. Basi analia sana na anakuwa kama anamkimbiza huyo kiumbe au...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kunichezea na kuniharibia uvulana wangu.

    Nahitaji mwanamke wa kunichezea ,kuniharibia maisha na uvulana wangu.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

    Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19 Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa...
  7. JamiiForums Tanzania Mkwara wangu wakutafuna nyembe

    Sinaga maneno mengi ukinichokoza na kunifuatafuata na maneno Wala siongeagi na kujibizana Sana. Nikiona tu unaendelea basi nanyofoa paketi ya nyembe nacet ama topaz mfukoni na kuzirusha mdomoni moja baada ya nyingine kama Karanga na kuzitafuna mbele yako. Nikishazitafuna na kuzimeza huyo...
  8. JamiiForums Tanzania Dawa ya ukimwi; Njia za kutengeneza dawa ya ukimwi huu ni mtizamo wangu

    Nikiwa Rais ntaanzisha mchakato wa kutengeneza dawa ya ukimwi 👇👇👇👇👇 How potential HIV drug will work it engulf viral RNA genome which is essential for viral life and eliminate it. HIV viral structure Desired therapeutics method;- engulf viral RNA genome and eliminated it Method of...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mzee wangu alikuwa Askari, hajapata stahiki zake za kustaafu za Mwaka 1987 – 2003

    Baba yangu ni Askari Mstaafu mwenye Namba X_C1611 PC, nyaraka zake zinaonesha aliajiriwa Mwaka 1973, alipostaafu Mwaka 1987 kulitokea mkanganyiko wa cheki yake ya malipo. Cheki ilipelekwa Singida badala ya Kagera, alipokuja kushtuka baadaye akaifuatilia na kubaini hadi muda anafuatilia tayari...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kanitumia link ya muziki wake, nimempongeza kinafki ila najisikia vibaya naona anaenda kupoteza muda au kupata umaarufu usio na maendeleo.

    Ni mara 100 zaidi hata angenitumia mbuzi au kuku ningejua baada ya muda watazaliana na biashara itakuwa. Kanitumia muziki wa youtube, leo siku ya 3 kuna views 600, kakomaa sana na muziki, wazazi na ndugu tumemuasa lakini wapi, hasikii wala haoni kwenye muziki. anapost sana status za one day...
  11. JamiiForums Tanzania Suala la kanisa kufungiwa linaniumiza moyo wangu

    Wakuu, mimi sio mwanasiasa, sina kadi ya chama chochote, vipindi vilivyopita niliweka utaratibu wa kuangalia yule ninayemwona anaweza kuwa kiongozi wangu nampigia kura. Kuhusu suala la kufungiwa kanisa la Askofu Gwajima, huku waumini wakisumbuliwa wasifanye ibada, wakikamatwakamatwa, na...
  12. JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ameenda CCP Moshi

    Of course limekuwa jambo lakuhuzunisha sana lakini sina Budi maana binti alinieleza kabisa kwamba kabla sjaanza nae mahusiano wiki moja nyuma alishaconfirm na familia yake kwamba anaenda Polisi japo aliniambia kwamba hakutamani kwenda ila msisitizo wa Familia na yeye kusema ugumu wa maisha ,japo...
  13. JamiiForums Tanzania Rais anampenda mke wangu

    Jamani mwenye hii simulizi anisaidie
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu yupo kidato Cha 3 lakini hata dirishani hafiki; atarefuka kweli au ndo basi?

    Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
  15. JamiiForums Tanzania Tukio hili siwezi msahau mchumba wangu Aisha. Aliyemwoa atalaaniwa kabisa

    MARA YA KWANZA NAFINYIWA KWA NDANI. Aliifinyia kwa ndani.... Nlishtuka nikapiga nduru, Aishaaaaaaaaaaaa unafanya nini sasa.... Nikamwaga mzigo woooote... Nikawa kama nimezimia. Ile kelele nlitoa wacha. Wakati huo kanikalia..... Alikuwa kachuchumaa akasugua akasugua akasugua... Nlipoanza...
  16. JamiiForums Tanzania Mke wangu ananilazimisha nioe mke wa pili mwaka wa pili sasa

    Wakuu huyu mwanamke kanichoka au vipi huwa simuelewi hata kidogo ukimuuliza anasema uwezo ninao kwahiyo ni bora niongeze wawe wawili Katika karne hii sijawahi kuona mwanamke kwa ridhaa yake akimtakia mmewe aoe mke mwenza hata kwa sisi waislamu ambapo swala la kuoa wake zaidi ya mmoja...
  17. JamiiForums Tanzania Wapishi wangu feki sana

    Nakula chakula ambacho siyo chakula. Natamani kesho wangepumzika tu majumbani kwao nijipikie chai mwenyewe.
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi Shemeji yangu (Rafiki wa Ex wangu) alivyoniambukiza Gono na UTI sugu

    Mu hali gani wakuu... Nakumbuka kuna demu niliwahi kuwa naye kwenye mahusiano ya kuibaiba miaka kadhaa nyuma ambae muda huohuo alikuwa ni shemeji pia sababu ya urafiki wake na mwanamke wangu wa kipindi hicho. (Around 2015-2020) Mahusiano yenyewe yaliibuka kwakuwa mpenzi wangu halisi alipata...
  19. JamiiForums Tanzania Mungu wangu dunia inaenda wapi?

    Kuzaa kuna mengi 🤔🤔 https://www.facebook.com/share/16QrnEtdUo/?mibextid=xfxF2i Mtoto anapigana na mzazi wake? Hii ni zaidi ya laana na mikosi kwenye familia.. Lakini pia kuna shida kubwa kwa mzazi kwakuwa mtoto umeavyo ndivyo akuavyo Hii video imeniumiza sana...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kueleimishwa kuhusu mimba ya huyu mke wangu

    Nina mwanamke wangu mara ya mwisho kuingia hedhi ilikua tarehe 20 august 2024 na tulisex tarehe 31 august na tarehe 1 september ila tarehe za kujifungua naona zmepitiliza zile siku 280 lakini mpka leo tarehe 8 june 2025 bado anayomimba au mm calculation zangu sijapiga vzur naona tarehe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…