wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi kumbe Kuna wanawake warefu hivi

    Huyu mwanamke ni mrefu hatari aisee kweli dunia inamaajabu tena ni mrefu halafu mtu wamazozezi apa ukiwa kijeba hamuendani
  2. asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli.

    asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke...
  3. Kila nyumba imara,yupo mwanamke

    Nyumba zote zilizo imara,ujue mchango wa mwanamke ni mkubwa sana,na kila nyumba zinazotetereka mchango mkubwa ni wa mwanaume
  4. Brooo wekeza kwenye maisha yako sio wanawake

    asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke...
  5. kabla ya kumaliza mwaka nawapa hii code jinsi ya kuishi na wanawake ifuatilie ufurahie edeni

    Nyuki ni wazuri sana kwa kuwahutupa asali ila nyuki huyo huyo ukishindwa kufuata tahadhari anaweza kukuua kukupofusha macho au mambo kama hayo mengi sana .Nduguyenu nimekuja na code muhimu sana kwa wanaume ili waishi vizuri na wapenzi wao au wanawake wote kiujumla na hizi code ndio kuishi nao...
  6. PreGE2025 Mbunge Martha Gwau Awagusa Wanawake wa Singida DC & Ikungi kwa Majiko ya Nishati ya Gesi ya Kupikia

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau amekabidhi majiko ya Gesi 60 kwa wanawake wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida na Wilaya ya Ikungi Disemba 21,2024 Ikiwa ni mwendelezo wake wa kumuunga Mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika...
  7. Nimempa mwanamke wangu mchongo wa kuingiza elfu 50 kila siku na bado ananiomba hela za matumizi

    Naona mahusiano haya yatanishinda, asubuhi kaamka anataka nimtumie hela anunue gesi, mchana kanitumia meseji tena anataka nimsaidie kulipa ada ya chuo saa hizi anataka hela ya kwenda kusuka Nimewaza na kuwazua sijamuelewa ikiwa kazi anafanya ya serikali na kuna mchongo nimemconnectia anapiga...
  8. Tuache kutangaza dosari za wanawake zetu

    Nawashauri wanaume,tusitangaze dosari za wanawake zetu,iwe ni mkeo au mchepuko,badala yake tuwasaidie kuziondoa hizo dosari.Kumbukeni mwanamke ni muhimu sana kwa maisha yetu sisi wanaume,watusaidia mambo mengi sana
  9. Sifa za wanawake wembamba

    WANAWAKE WEMBAMBA WALIO WENGI ASILIMIA kubwa ya wanawake wembamba wakiwa kwenye HASIRA ni wababe balaa😀 Wanawake wembamba wengi ni O na lishawahi kusema kuhusu watu hawa kuwa ni wababe😀 MISIMAMO NA MASHARTI, wanawake wengi wembamba wana misimamo sana na masharti anakupenda ila anakuwa na...
  10. Wanaume kweli wamewazidi mbali mno wanawake kwenye kuchangamana

    WANAUME KWELI WAMEWAZIDI MBALI MNO WANAWAKE KWENYE KUCHANGAMANA 1. WANAUME ni rahisi kupiga stori kama watu wanaofahamiana muda mrefu utajua kuwa hawafahamiani kwenye kuitana majina utasikia Tall, White, Uncle, Big, Mkuu, Kiongozi, Shekh, Mangi, Ngosha, Mwaisa, Tata, mtumishi, kaka 2. WANAUME...
  11. T

    Wanawake Wengi Hawataki kutumia Uzazi wa Mpango ila wanapenda Kugegeduana Pekupeku, Kibaya hawataki mimba au Kuzaa;Hii imekaaje?

    Unajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision". Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku, yaani wanapenda kuisikilizia skin to skin vibaya sana, ila likija suala la kumshauri kutumia uzazi wa...
  12. Hii ndiyo sababu kwanini wanawake wajawazito hujamba ama kujisikia haja mara kwa mara

    Habari za muda huu wakubwa... Ni jambo la kawaida kabisa kwa wanawake wajawazito kujisikia haja ya kujisaidia choo mara kwa mara. Hii ni kutokana na mabadiliko kadhaa yanayotokea mwilini wakati wa ujauzito: * Homoni: Mabadiliko ya homoni husababisha misuli ya utumbo kufanya kazi kwa kasi...
  13. Nikipata shida nasaidiwa sana na wanawake, hii inasababishwa na nini?

    Mimi ikitokea nimepata tatizo napata msaada na support kubwa sana kutoka kwa wanawake. Hata kipindi nasoma wasichana walipenda kushirikiana na mimi katika discussions na walinisaidia materials ili nifaulu, na endapo nilifeli walijikusanya hata wasichana watano kunipa ushauri. Sasa ni mtu mzima...
  14. Swali kwenu wanawake

    Mambo vip! Nina swali kwenu wanawake mwanaume wako au mumeo akitaka kuoa mke wa pili yaani kuongeza mke wa pili na wewe ukiwepo hana nia ya kukuacha je utalipokeaje ilo jambo au utalitafsiri vipi? Na je ni bora aoe mke wa pili uku amekupa taarifa au bora asikupe taarifa? Mamndenyi Mama Mwana...
  15. Nywele kukatika kwa wanawake: Tatizo, Sababu na Suluhisho.

    Nywele kukatika ni tatizo linalowakumba wanawake wengi, na linaweza kuathiri kujiamini na muonekano wa jumla. Tatizo hili linaweza kusababishwa na mambo mengi, ikiwemo matumizi yasiyo sahihi ya bidhaa za nywele, lishe duni, na matatizo ya kiafya. Kila mtu anayekatika nywele ana sababu tofauti na...
  16. M

    Kuna wanawake huwaambii kitu kuhusu P2. Wanatumia Kama msosi mara Kwa mara

    MADHARA YAKUTUMIA P2 mara kwa mara Dr mwasola ✏️ P2. Emmergency Contraceptive Pills' ni vidonge maalum vinavyotengenezwa kwa lengo la kutumika kwa dharura kuzuwia mimba isiyotarajiwa ✍️P2 ni kifupi na Postinor-2, ni dawa inayotumika kwa dharula tu. Vidonge vya P2 havitakiwi kutumika kama njia...
  17. Jamii zinawatengeneza wanaume kuwa viongozi kimfumo, wanawake wanahitaji juhudi na sifa za ziada kuwa viongozi bora

    Katika sehemu nyingi za dunia jamii zimekuwa zinawajenga au kuwatengeza wanaume kuwa viongozi kimfumo kwa kipindi chote cha maisha ya binadamu. Tukichukulia jamii zetu mtoto za sasa kwa mfano mtoto wa kiume ndiye anachunga mifugo porini na ndiye msimamizi wa mbwa nyumbani, haya ni mambo ya...
  18. Wanawake punguzeni kinyaa linapokuja swala la kufanya Mapenzi

    Bila shaka mko poa Wakuu kwa nyakati tofauti mimi nimeshapitia mahusiano kadhaa ambayo wakati mwingine kila kitu kipo sawa lkn kwenye mapenzi kinyaa kinaondoa utamu wa penzi. Nimewahi kua na mrembo mmoja ivi anataka afanyiwe kila kitu(umkiss mwili mzima na upige shoo ya maana, (na...
  19. Jarida la Forbes: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jar

    Jarida la Forbes Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jarida la Forbes. Ushawishi wake katika masuala ya Diplomasia na kuwa kinara wa Nishati safi Duniani ni baadhi ya sababu, namna anavyoendesha nchi...
  20. Wanawake njooni hapa mfahamu wanaume tunataka mwanamke wa aina gani

    Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni safari ya milele inayohitaji maarifa, uvumilivu, na upendo wa kweli. Tukiwa tumejifunza mengi kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…