wanawake na uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Hii nchi kuna siku tena tutapata Rais Mwanamke?

    Kwa yanayoendelea nchini Mnadhani akiondoka Samia Tanzania itakuja tena kupata Rais Mwanamke? Je, wanaume watakubali kumpatia tena nafasi mwanamke aweze kuongeza nchi? Na wanawake watakubali kuwa pembeni wakiona wanaume wanaongoza nchi wenyewe?
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Idadi ya wanawake wanaharakati kuongezeka nchini ni dalili ya ukombozi wa kweli kijamii na kisiasa

    Mpo salama! 0. Wakati baadhi ya vijana kama kina Lucas wakijiingiza kwenye uchawa kwa sababu ya Woga na tabia za kujidhalilisha. Wanawake wengi sasa wanajiingiza kwenye mapigano ya haki(harakati) Ama kweli lile andiko linasolema Mungu ameumba jambo jipya. Mwanamke atamlinda mwanaume linaenda...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kama huna kifua basi (Kijana) usioe mwanamke mwanasiasa

    Kwal wae msiooa bado ujumbe wa leo ni huu. Mwanamke akijiingiza kwenye siasa Realy kabisa ni sawa na mwanamke aliyetekwa na hawa manabii fake utalia kila iitwapo leo. Mimi nimekuwa kada wa ccm kuanzia mwaka 2007 hadi 2015 nimeenda hadi Dodoma nimeona na kuyasikia mengi. Ukiona mwanamke...
  4. McLaren

    PreGE2025 Video: Tunapolekea kwenye Uchaguzi, kauli ya Sheikh huyu kuhusu wanawake ni msimamo wake binafsi au ndo msimamo wa Uislamu?

    Wakuu, Nimekutana na video hii ya Sheikh mmoja akisema kwamba taifa lolote haliwezi kutengemaaa kama Rais ni Mwanamke. Sheikh anasema kwamba mwanamke anaweza kuwa hadi Waziri lakini kama taifa haliwezi kutengemaa kama Mwanamke ndo anakuwa Rais. Based on kinachoendelea nchi watu wengi huko...
  5. H

    PreGE2025 Jinsi kampeni za chuki zinavyowabomoa wanawake kugombea nafasi za uongozi

    Na Mwandishi wa Habari Hub Zanzibar Kampeni za chuki, suala linalorudisha nyuma nguvu za wanawake wanasiasa. Na Mwandishi wetu - Zanzibar. KATIKA siasa za Zanzibar, kampeni zimekuwa uwanja wenye changamoto kubwa kwa wanawake wanaotafuta nafasi za uongozi. Mbali na changamoto za kawaida za...
  6. H

    PreGE2025 Sababu zitakazopelekea jamii ya Kizanzibari kuwachagua viongozi wanawake kwenye uchaguzi wa Oktoba 2025

    Na Mwandishi wa Habari Hub Zanzibar. Hadi sasa ni nchi 22 tu duniani kote ndio zina mwanamke kama mkuu wan chi kati ya nchi 119, hii inasababishwa na hali ya kijamii kwenye suala la kuchagua na kuwapata nafasi wanawake kuwa viongozi. Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo 22 ambazo zina viongozi...
  7. H

    PreGE2025 Viti Maalum nafasi zinazowalea wanawake kushindwa kwenda majimboni

    Na Mwandihi wa Habari Hub Katika Kikao cha 76 cha UNGA, Baraza Kuu kwa makubaliano liliitangaza tarehe 24 Juni kila mwaka kuwa siku ya kimataifa ya wanawake katika diplomasia. Kwa azimio hilo (A/RES/76/269) Baraza kuu lilizialika nchi zote wanachama, mashirika ya Umoja wa Mataifa, mashirika...
  8. Parabolic

    PreGE2025 Ijue idadi ya wanawake Kamati Kuu za CCM, ACT Wazalendo, CHADEMA na CUF. Uwiano huu ni sababu hawana uwezo?

    Ijue idadi ya wanawake katika Kamati kuu za CCM, Chadema, ACT Wazalendo na CUF ACT WAZALENDO Kamati kuu ya ACT Wazalendo ina wajumbe 55 ambao kati yao 23 ni wanawake. Wajumbe hao ni pamoja na Kiongozi wa chama, Naibu kiongozi wa chama, Mwenyekiti wa Taifa, makamu wenyeviti (Bara na...
  9. Cute Wife

    PreGE2025 Tundu Lissu atamani kuwepo na viongozi wanawake kwenye safu za juu za uongozi CHADEMA

    Wakuu, BAWACHA wakiadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025 Mlimani City Dar es Salaam mgeni rasmi akiwa ni Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu https://www.youtube.com/live/BhVRj5tp_z8?si=wF5PaZcUShwmbURr Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa akizungumza baada...
  10. Pascal Mayalla

    PreGE2025 Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake acheni kubwetekea kubebwa. Viti Maalumu ni kubebwa

    Wanabodi, Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, hivyo hizi ni salaam zangu za Siku ya Wanawake Duniani kwa wanawake wote wa Tanzania. Kwa Tanzania, Maadhimisho rasmi ya kitaifa yanafanyikia Uwanja wa Sheikh Amri Abedi, jijini Arusha, mgeni Rasmi akiwa ni Rais Samia. Hili ni bandiko la swali, kwa...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Wakili Mpanju: Wanawake mjitokeze kugombea nafasi za uongozi kwenye Uchaguzi Mkuu

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju amewataka wanawake kujitokeza kwa wingi kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi mkuu utakafoanyika mwaka huu. Akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...
  12. Poppy Hatonn

    Kwa mtazamo wa Kidini. Je, mwanamke anaweza kuwa Rais?

    Kwa sasa, tunaona mwanamke anayewania urais pamoja na chama cha siasa kinachotaka mgombea wao wa nafasi hiyo awe mwanamke. Hata hivyo, dini inasema bila utata kwamba mwanamke haruhusiwi kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Anaweza kuwa makamu wa rais, waziri, au kushika nafasi nyingine za uongozi...
  13. Cute Wife

    PreGE2025 Wanawake Dar kuandaa tukio kusherekea mafanikio ya Rais Samia

    Wakuu, Wanawake Dar mmeamua haya na mi sijui, kuna watu wana siri...nimelia sana:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: ===== Wanawake wa jijini Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wanatarajia kuandaa tukio maalum la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  14. Mr passion

    PreGE2025 Wanawake kuwa viongozi/mamlaka si sahihi ni suala lisilo na maadili, baki nyumbani mkitumikia familia zenu

    Nadhani ni jambo lisilopingika na la wazi kitamaduni na kiuhalisia pia sidhani kuna kutoelewa umuhimu wenu kwenye majukumu mliopaswa kuyatumikia na kuyafanya kila siku cha ajabu zaidi elimu ya magharibi inawatoa kwenye mfumo wenu na kiasi madhara yake ujitokeza hadharani. Rudini kwenye maisha...
  15. Mindyou

    PreGE2025 RC wa Manyara Queen Sendiga: Nitashangaa mwanamke unampigia kura mwanaume. Utakuwa umesaliti ajenda ya wanawake

    Wakuu Hivi CCM hamnaga mfumo wa vetting kudhibiti nani ataongelea chama chenu? Hizi kauli mnataka wanaume wazichukuliaje? Na huyu anayejiita Queen ni nani ndani ya chama chenu mpaka awatolee matamko? ====================================== Kupata taarifa na matukio kuelekea uchaguzi mkuu 2025...
  16. KENZY

    Mawazo yangu kuhusu wanawake na uongozi!

    Naomba nisieleweke vibaya ama nikaonekana nina ubaguzi na hii jinsia yakike kutokana na maoni yangu!, ikiwa kuna mtu nitamkwaza kwa hii mada basi tusameheane!. Kitu kinachoitwa uongozi na wanawake kwenye haya maisha naweza sema kwa idadi yao basi wanaouweza uongozi labda ni asilimia 2 tu ya...
  17. N

    PreGE2025 Wanawake na Uongozi 2025

    Katika kuhakikisha mwanamke hapati vikwazo Kuna sheria ya uchaguzi inavyomlinda mwanamke sheria ya uchaguzi ya Zanzibar no. 4 ya mwaka 2018 na sera ya jinsia na ushirikishwaji wa jamii ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar iliyoanzishwa mwaka 2015. Je, uwepo wa Sera na Sheria hii utatoa mwanya...
  18. T

    PreGE2025 Majukumu ya nyumbani kikwazo kwa wanawake kuingia katika uongozi Zanzibar

    Na Thuwaiba Habibu, Zanzibar. Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2022 inaonesha Zanzibar ina watu 1,889,773 kati ya hao wanaume ni 915 ,492 huku wanawake ni 974 ,281 hii ikimanisha wanawake ni wengi. Kwa wingi wote huo nafasi ya za kuongozi kwa wanawake bado hajakidhi malengo Kutokana na...
  19. J

    PreGE2025 Rushwa na Uchaguzi: Ni kwa kiasi gani Vijana wanashindwa kugombea nafasi za Uongozi kutokana na Rushwa?

    Rushwa imekuwa kikwazo kikubwa katika mchakato wa uchaguzi, hasa ndani ya vyama vya siasa. Hii si tu inavuruga mchakato wa Kidemokrasia, bali pia inazima ndoto na juhudi za Vijana ambao wangependa kuona mabadiliko chanya katika uongozi wa Vyama na taifa kwa ujumla Katika Mjadala kuhusu Rushwa...
  20. Damaso

    Kwa makala hii ya kuhusu CHADEMA, DW nimewavua vyeo sana

    Uchaguzi wa hivi karibuni ndani ya Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA) umekamilika, lakini umeibua maswali mengi—hasa kuhusu uwakilishi mdogo wa wanawake katika ngazi za juu za uongozi wa chama. Wachambuzi wa masuala ya siasa wanaeleza kwamba kukosekana kwa kanuni na miongozo...
Back
Top Bottom