wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini wanaume hukaa kimya wanapofanyiwa unyanyasaji wa kijinsia?

    Wanaume wanakutana na Unyanyasaji wa kijinsia ila kuripoti na kupata msaada wamekuwa wagumu, Nini kinasababisha Wanaume kukaa kimya? Weka maoni yako!
  2. Ndo nakuambia sasa kama hujui. Asilimia 95 ya wanaume wanapenda mwanamke huyu

    Awe na Tako awe na kiuno awe na bastola. Hutaki kajisaidie....mi nshakutana na wanaume wanasema napenda mwanamke namba moja.... Nyooooh...namba moja my ass. Wengi ambao ni vibamia wanaogopa kuyafakamia matinginya sababu hawafiki ndani au hawajui style mujarabu. Unabisha aangalia insta...
  3. Sababu ya kutopenda wanaume wa aina hii

    Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde. Nataka mwanaume awe mweusi tunapokuwa pamoja nionekane mimi kwanza. Ila kwenye kuzaa nataka nizae na mwanaume mweupe...
  4. Kwanini wanaume wanaweza kuhudumia wanawake hata watano, wazazi na watoto na bado wakawa sawa lakini wanawake wanashindwa?

    Kuna siri kubwa imejificha kuhusu pesa. Haiwezekani wanaume tuweze kuhudumia wapenzi wetu mpaka michepuko, tuhudumie watoto, tuhudumie wazazi, tuhudumie wakwe na mashemeji na bado tukawa sawa lakini kwa wanawake washindwe? Kama kufanya kazi hata wanawake nao wanafanya tena mnaweza hata mkawa...
  5. Sikujua kuwa kumbe hata Zama hizi za Sasa bado kuna Wanaume 'Hopeless' kabisa kama huyu

    Mahakama Kuu Kanda ya Geita imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Anold Juma baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua kwa kukusudia mtoto wake Anna Shemas mwenye umri wa mwezi mmoja akidai hafanani naye. Chanzo: mwananchi_official Tena nawaombeni nyie Mliotoa hii Hukumu mnipe Kolabo na huyo...
  6. Mabinti wenye umri kati ya miaka 18 -22 ni tiba Mujarab kabisa ya tatizo la msongo wa mawazo kwa wanaume

    Kama wewe ni mwanaume wa age 30+ umeoa au umezaa na mwanamke/wanawake na wanakupa stress za mapenzi kama vile unahisi wana flirt na michepuko au mmeachana na ex wako ame move on, etc, halafu kwa sababu hiyo eti umepatwa na msongo wa mawazo basi Mimi NINAKUTUKANIZIA MAMA AKO MZAZI. Kosa lako...
  7. Ukaguzi viwango na uthibitishaji wa dawa za kuongeza maumbile mamlaka zinazingatia nini?

    Habari Wakuu, Kumekuwa na Ofisi mbalimbali zilizopewa vibali vya kuuza madawa ya kuongeza maumbile (Uume kwa Wanaume) na Shepu kwa wanawake. Ofisi hizo zimekuwa huru na zinajitangaza hadharani sambamba na kusifia huduma zao. Nimewauliza wataalamu wa Afya kadhaa wanadai hakuna dawa...
  8. Wanaume Ukraine waacha kwenda masokoni,mikahawani,shughulini na sehemu za ibada kuogopa kukamatwa kupelekwa mstari wa mbele

    Kaka Serhiy na dada Tania walikatisha kufanya harusi yao ufukweni mwa bahari wakihofia hali mbaya ya hewa.Hata walipoingia kwenye ukumbi walikoalkwa wageni kushuhudia harusi yao bado waligundua hali isiyo rafiki kwa furaha yao.Viti zaidi ya nusu vilikuwa ni vitupu ikiwa na maana waliohudhuria ni...
  9. Siri nzito: Wanaume wote tuliopo katika mahusiano karne hii hatupedwi na wanawake zetu na wanatusanifu sababu mambo yao hayajanyooka

    Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka.......... mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata...
  10. Mwanaume Black🥰🥰🥰

    Halafu awe ✓Tall🥰 ✓Mwembamba kiasi🥰 Nyiee acheniii 🤗 Sitamani Jumanne ifike🤸 BTW: Kama hakutokuwa na mabadiliko tarehe ya ndoa ni 13 July 2024. I can't wait for shoooo😁😁 Play song for us Mr piano man😁🎵 KARIBUNI ♥️♥️♥️
  11. Nimeamua nibadilishe type za wanaume

    Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂 Sasa hivi my preference is 1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini 2. Amesoma kwa shida sana 3. Kapitia changamoto za maisha nyingi 4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha 5. Awe na hofu ya Mungu na awe...
  12. Yalionikuta sina hamu na nyie wanaume

    Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume, Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo Sasa Jana usiku nikachukua namba kumi niasave kwangu nikawa napiga moja baada ya nyingine. Cha...
  13. Kumbe wanawake nao wanaogopa wanaume ma "handsome" wanahisi ni ma "player"

    Kama vile wanaume wanaona mwanamke pisi kali atakua na wengi au wengi wanamtaka, hata wadada kumbe wanayo. Yaani ukikutana na mdada ukisema "niko single" wanakataa wanakwambia " yani we ulivyo halaf wasema uko single, nyie ndo mnawapanga" Kiukweli mtu anaweza kua single bila kujali muenekano...
  14. Jamani kuna wanaume watamu sana

    Kuishi na mwanaume anayejua mapenzi huwazi sex kila mara ila unawaza mume wako atarudi saa ngapi akupe utramu wa hali ya juu. Kuna tofauti ya sex tu na haja zikatimizwa kibabe na ule utamu unajiachia hata nguvu yakushika zana huwezi kisa umezidiwa utram. Maisha mazuri nikutimiziwa haja zako...
  15. Wanawake na wanaume wenye tania hizi mje hapa.

    Wanaume wenzangu mnafeli wapi jamani.Tabia ya kutotowa mahitaji ya familia kwa wakati si kwamba huna ila uzembe tu eti kwakuwa unaishi na mkeo yupo ndani,fikiria unawatoto halo Lakini hujali unaenda kupeleka mahitaji kwa mchepuko tena kwa haraka.mkeo anaumwa hadi anazidiwa ndiyo unampeleka...
  16. Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na Wasichana?

    Nimekuwa nikiona Wanaume wakilalamika kwamba Masuala ya Ufeminia yamekuwa yakiwaacha nyuma kwa kutoa kipaumbele kwa Wanawake na Wasichana na kumsahau Mtoto wa Kiume Mimi ningetamani kufahamu Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na...
  17. Kwanini Wanaume wengi hawapendi kuongelea Changamoto za Kimaisha wanazopitia?

    Wanaumeeeeeeee! Huu ni mwezi maalumu kwaajili ya AFYA YA AKILI YA WANAUME NA MASUALA YA AFYA kiujumla. Sasa leo hebu tujuzaje kwanini wengi wetu hatuongei au kushirikisha watu wengine tunapopitia changamoto na ikitokea tumesema basi inakuwa katika hatua mbaya sana ambazo urekebishaji wa tatizo...
  18. N

    Asilimia ya wanaume ambao hawajapata watoto

    Kati ya wanaume wenye umri wa miaka 15-49 mwaka 2015–2019, 55.2% hawakuzaa mtoto wa kibaolojia, 14.8% walikuwa wamezaa mtoto mmoja wa kibaolojia, 17.4% walikuwa na watoto wawili, 8.2% walizaa watoto watatu, na 4.4% walizaa wanne au zaidi. Source ni National Health Statistics Reports, Number...
  19. Wanaume tutafute hela. Hakuna mwanamke mgumu

    Ukitaka watoto wazuri wakike lazima ugharamie
  20. Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

    Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali. Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…