wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wanaume waombwa kuwapa nafasi ya kushiriki kampeni wagombea wanawake

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na masuala mbalimbali ya kijamii mkoani Mtwara la Faidika Wote Pamoja (FAWOPA), Baltazar Komba amewataka wanaume kuelewa juhudi zinazofanywa na serikali na wadau mbalimbali za kuwawezesha wanawake kupata nafasi za kugombea...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanaojiona wako kwenye mahusiano, kiuhalisia wako single ila hawajijui kuwa wako single

    Habarini, Ukichunguza vizuri mahusiano mengi sahivi, Mdada akiwa na birthday atategemea kupokea outing, lunch, and gifts toka kwa boyfriend wake, ila boyfriend akiwa na birthday mdada hatompa boyfriend kitu chochote. Mkiwa mnatembea mtaani, mdada akiona kitu kizuri kitachomfaa, k.v kiatu...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna kikao cha Wanaume kilifanyika ila nimesoma sehemu Maazimio kadhaa

    Kuanzia sasa hakuna tena hela ya kutolea unapo mtumia mwanamke hela,akitaka hela kamili afuate geto Kuna vifungu viwili vya uhaini vimeongezwa,ila nakumbuka kimoja tu,mwanao akitaka kuazima geto lako awe na demu wake,ukimnyima huo ni uhaini Demu akiwa anasema anakuja geto,halafu wewe ukaoga...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

    Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume. Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake wanawataka wanaume wa kuishi nao na sio watu wenye jinsia ya kiume, vijana wengi hawaelewi hili

    Siku hizi kundi la team kataa ndoa linazidi kukua kila kukicha lakini wengi hawajui kiini cha tatizo ni nini? Lipo kundi la watu wachache ambao kweli ni halali kwao kususia/kukataa kuoa kutokana na madhira waliyokutana nayo au waliyoyaona kwa watu wao wa karibu. Lakini kundi kubwa lililobaki...
  6. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Vyoo vya Wanaume Stendi Kuu ya Mabasi Singida ni vichafu sana, hizo 300 zinazokusanywa zinaenda wapi?

    Vyoo vya upande wa juu yanakotokea mabasi katika Stendi Kuu ya Mabasi Singida maarufu kama Stendi Mpya (vyoo vya kiume) havifai jamani..... ni vichafu vinatia kinyaa. Ushuru tunaolipa getini na kwenye huduma ya chooo unafanya kazi gani? Kwanini Manispaa isiweke kampuni ya usafi au watu maalum...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini vyoo vya umma vinatengwa kwa jinsia ya wanaume(ME) na wanawake(KE)?

    Kwanini vyoo vya umma vya watu wazima huwa vinatengewa kwa jinsia ya Wanawake(KE) na Wanaume(ME)? Kuna tatizo gani kwa wanaume na wanawake kutumia choo kimoja? Kwanini vyoo havitenganishwi vya watoto na watu wazima?
  8. JamiiForums Tanzania Sababu 5 zenye kufanya wanaume wapole sana, wenye kujali sana,wenye kusaidia sana huishia kupata mwenza dikteta, mgomvi mgomvi, mbabe

    Kuwa mwanaume ni kazi sana kuliko watu wanavyodhani. Mwanaume hawezi kukwepa majukumu,mwanaume hawezi kukwepa vitimbi au maudhi ya Mwanamke ndani ya familia, mwanaume hawezi kukwepa nafasi ya kiuongozi ndani ya familia akikwepa anamkosa mke pamoja na watoto. Huwa tunasikia hadithi za kila aina...
  9. JamiiForums Tanzania Leo ni Sikukuu ya Wanaume Duniani ila hakuna meseji wala status za kuwapongeza. Subiria ifike siku yao!

    Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani. Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa. Ila ikifika March 8, utashangazwa.
  10. JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Wanaume Duniani

    Siku ya Kimataifa ya Wanaume huadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Novemba, ikiwa na lengo la kuangazia changamoto wanazokabiliana nazo wanaume, kusherehekea mafanikio yao, na kuhimiza usawa wa kijinsia. Madhumuni makuu ya siku hii ni pamoja na: 1. Afya ya Wanaume: Kuhamasisha ufahamu juu ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mtazamo huru: Kizazi cha wanaume wa miaka ya 1980s hadi 1990s ndo cha mwisho kufaidi mapenzi ya kweli kutoka kwa wanawake

    Achilia mbali raha ya kusoma whatsap text au kupokea video call kutoka kwa mpenzi umpendaye, unaijua raha ya kupokea barua ukiwa shuleni toka kwa mpenzi wako ikiwa imefungwa na sticker za kopa na ndani unakutana na dedication za nyimbo bomba enzi hizo kama Mimi na wewe Mr blu, Nataka niwe na...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake ni MALI SAFI sana wana umri fulani, wana misimamo fulani ambayo wanaume WAGALATIA huchukia ila ile misimamo yao ina faida kuliko hasara

    Kuna wanawake ni MALI SAFI sana wana umri fulani, wana misimamo fulani ambayo wanaume WAGALATIA huchukia ila ile misimamo yao ina faida kuliko hasara
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume huu ndio mgawanyo wa wanaume kulingana umri waolionao na hulka walizonazo katika mahusiano

    1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa vijijini. Kijijini vijana wengi huoa kwasababu kama waongeze nguvu kazi ya familia, mahari mara nyingi zinatoka kwa wazazi sio zao (hawajazitesekea) lakini wanaume waliko mjini kwa 20-27 wengi ni...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake hawajali wanaume wanavaa nini, wanaume kutwa kuwapangia wanawake muonekano wao, mnawashwa nini?

    Wakuu, Kusema kweli wanawake huwa hatujali kabisa kuhusu mavazi wala mitindo ya nywele za wanaume, lakini wanaume sasa kutwa kuchwa mara makeup za wanawake zimefanya nini, sijui kucha zimefanya nini, mara makeup, mara nguo sijui zimefanya nini yaani ili mradi tu. Shida yenu ni nini kwani? Nani...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake wa mikoa ya kaskazini wanavyojichotea mabilioni kutokana na kuolewa na wanaume wa mkoa wa Mara

    Wanaume wa Mkoa wa Mara wana addiction moja, kuoa kilimanjaro. Wengi wakishaoa huko, huwekeza fedha zao zote ukweni, wakiacha Mkoa na maeneo walikozaliwa yakiwa hoi. Kaskazini kama kawaida, inabeba watoto wote waliosomeshwa vizuri na kuondoka nao baada ya talaka au kifo. Vitu hivyo hutokea baada...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanaume unatakiwa kudhibiti hisia na woga

    Yeeeerrrrreeeeh! Yani inasikitisha sana hii trend siku hizi wanaume tumebaki wachache sana. Mwanaume unatakiwa kudhibiti hisia na uwoga. Unakuwa Imara na thabiti kwa kila aina ya changamoto inayokukabili. Hutakiwi kulia hovyohovyo hadharani misibani huko. Mwanamme unatakiwa kuwa na kifua...
  17. JamiiForums Tanzania Siku hizi wanawake wamekuwa wasaliti kuzidi wanaume

    Amin siku hizi wanawake wamekuwa ni wasaliti kuliko wanaume, unakuta mwanamke ana wapenzi si chini ya watano na unampatia kila anachokitaka, sijui ni tâmaa, utandawazi ama fashion? Mbaya zaidi hawakubali kabisa ukiwauliza kucheat, na wengine ni wake Za watu kabisa.
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume wote kuweni makini sana Mwanamke anapokuambia haya maneno kuwa anahitaji Care, Attention, Support na Honesty, kwani humaanisha hiki kifuatacho

    Wanachokimaanisha hapa hawa Wanawake si hasa hayo Maneno Manne tajwa hapa katika Kichwa changu cha Habari bali ukitaka kujua / kukijua kile wanachokimaanisha hasa nakuomba chukua kila Herufi za mwanzo za hayo maneno yaani katika Care chukua herufi ya mwanzo ya C, katika Antettion chukua herufi...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke Mwenye Hekima: Siri ya Kuijenga Au Kuiangusha Nyumba Yako Katika Mahusiano!

    Katika mahusiano, mwanaume amebebeshwa mzigo mkubwa wa majukumu na matarajio, ambayo kwa kiasi kikubwa yamejengwa na miiko ya kijamii na tamaduni zetu. Kwa mfano, jamii inamtegemea mwanaume kuhakikisha makazi yapo (swali la kwa nini hajajenga linaelekezwa kwake, tofauti na mama mlezi anayeweza...
  20. JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wanaume! Hakuna mahusiano ya kweli yanayo anza mwisho wa mwaka

    Wanaume heshima kwenu. WANAUME NI KUSANUANA,UKIENDEKEZA GENYE ZAKO UMELIWA. Haihitaji Utafiti lakini kwa uzoefu wangu katika kipengele hiki sasa hivi kila binti ama mwanamke ni mrahisi ajabu hata hapo awali alikuwa mgumu kiasi gani. Wanajirahisha ili wakupige boom apate hela ya sikukuu pendwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…