wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Munatumia njia gani kuwasiliana pengine hata kukutana na mzazi mwenzio aliyeolewa?

    Habari mara nyingi Watu wengi wanajikuta wamezaa nje ya ndoa na mwenzie kuolewa Na mnamtoto tayari. Mtoto anahitaji malezi ya baba na mama. Sasa njia gani unatumia kuwasiliana na mzazi wenzio aliyeolewa tayari afu utakuta huko anaishi na mtoto wako au mtoto unaishi naye sometimes mtoto atataka...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao wanaume hawapendi kuujua

    Ukweli Mchungu Ambao Wanaume Wengi Hawapendi Kusikia Kisaikolojia, mwanaume anapoteza mvuto anapokuwa: 🌀 Hana malengo: Mwanaume asiye na ndoto au juhudi huashiria kutoendelea maishani. 🌀 Ana utegemezi kupita kiasi: Kutafuta uthibitisho au kuhitaji umakini kila mara huua heshima. 🌀 Hana...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume wanatoa hela sana, hata kabla hajalala na wewe, ni vile unajiweka kwake ndio maana hupewi

    Nyieee Wanaume viumbe rahisi sana Alafu wanaume wanatoa sana hela Mwanaume kutumia mil 2 kwa siku kwasabaabu amevutiwa na wewe ni kitu kidogo sana Ushauri: Wanawake wote na wadada, mlioolewa na ambao hamjaolewa Jamani 1. Jipendeni, vaa kama mwanamke, jipende - be feminine 2. Usitoe mzigo...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume waililia Serikali ya Kijiji kisa kunyimwa Unyumba na Wake zao

    Wakuu Mwenyekiti wa kijiji cha Mloda kata ya Mlowa barabarani, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Adam Philemon amesema miongoni mwa malalamiko yaliyokithiri katika kijiji hicho ni wanaume kunyimwa unyumba, huku akiwataka wanaume kutoa taarifa za vitendo hivyo kwenye sehemu husika ili kutokomeza...
  5. JamiiForums Tanzania Tangu Mungu amuulize Adamu, Adamu uko wapi? Wanaume hatupendi kabisa kuulizwa hilo swali

    Ukweli ndo huu mara tu tukiulizwa swali hili upo wapi? maswali huwa ni mengi sana kichwani. Ukiwa sehemu hatarishi hapo sasa ndo wasiwasi unakuwa mkubwa unajiuliza hivi kaniona au kaambiwa nilipo. Inaweza chukua dk1-2 kujibu swali hili mazee.Mara nyingi huwa ni mtego usikurupuke kujibu kama...
  6. JamiiForums Tanzania Naonaga mimi sio kama wanaume wengine

    Ivi najiulizaga kama mimi ndo nimeumbwa tofauti na wanaume wenzangu sijuagi kabisa Mimi siwezagi kutoka na demu ambaye sio mke wangu au mpenzi wangu Na nikitoka na mwanamke fulani ni lazima yule wa kwanza niachane naye alafu niwe na mwengine siwezagi kukaa na wanawake wawili au watatu kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

    Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa. Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?. Hajui...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Katika uchunguzi wangu nilioufanya, nimegundua hizi sifa za wanaume wa Dar

    Katika uchunguzi wangu nilioufanya kwa miaka kadhaa nimegundua yafuatayo: Wengi wao wanapenda kushidia chipsi/yai Nguvu hawana wamekaa kama mrendamrenda watoto wa mama Hapa na pale tu usafiri Kama si kasusu, kimoko chali Wanapenda kuvaa vikaptura kuonyesha sehemu kubwa za maungo yao Pia...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi wanaume walivyokwepa jukumu la msingi la kutongoza

    True story;
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanaumwa, hawaendi Hospitali. Wanawake wengi wapo Hospitali kuliko wanaume

    Wanaoongoza kwa kufa ni wanaume but yet wanaonekana sana Hospital ni Wanawake. Nenda Hosp yoyote au hizi za Serikal kama MuHimbili n.k kaangalie walioko kwenye foleni. Asilimia 80 ni wanawake. Most of them.je wanaume hawaumwi? Wanaumwa ila 1. Wagumu sana kwenda Hosp 2. Wanaumwa wanaendelea...
  11. JamiiForums Tanzania Butiama komesheni hii mila ya tohara kwa wanaume kwa kutumia kisu tena mbele ya kadamnasi

    Jana nilkuwa misele katika kijiji kimoja huko Butiama na kukuta maandalizi ya sherehe Jumamosi hii, nikajaribu kuuliza nipate undani wa sherehe hizo, nikaambiwa ni vijana wanaenda kukatwa 'mkono wa sweta' mnadani, duh! unakatwa govi mbele ya kadamnasi? Huu ni ukatili wa kijinsia na pia si...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume, tabia ya kung'ang'ania kukaa kwa mwanamke aliejenga itaisha lini?

    Yaani mtoto wa kiume kabisa unathubutu kumwambia mwanamke eti malizia mjengo wako tuje kuishi wote wakati hujui hata bei ya msumari wa zege? Hapana, nimekasirika sana. Wanaume acheni hizi tabia kama mnazo, mtakuja kudhalilika siku moja yakitimia. Nimechukia sana. Hatujawahi kudate, ila kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume mpeni maua Kamishna ACP Debora Magilimba

    KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, mkoani Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Debora Magiligimba, amewataka wanaume wanaonyimwa unyumba kuripoti katika madawati ya jinsia yaliyopo katika vituo vya polisi kwani huo ni ukatili. ACP Debora ametoa wito huo Desemba 1,2021 wakati...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi wakiingia kwenye Ndoa wanapata kitambi?

    Moja kwa moja kwenye mada, kwanini wanaume wengi baada ya kuingia kwenye ndoa tu haipiti muda wanaanza kuota vitambi. Yani kumjua mwanaume kama ameoa ni rahisi sana asilimia kubwa wanakua na vitambi. kwanini inakua hivi, kifanyike nini ili wawe kawaida kama wale ma bachela KATAA NDOA :) .......
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 umeisha, mwaka 2025 wanaume tuache kuwekeza sana kwa wanawake wasio na mpango na sisi

    Habarini, Mainstream dating advice from media, na kutoka kwa baadhi ya wanawake na wanaume wanaotuzunguka inatuambia wanaume kuwa ukitaka upate mwanamke wa ndoto zako inatakiwa ufanye moja ya hivi vitu: MYTH NO: 1 1) Utafte hela na umhonge mdada pesa, na uwe na personality nzuri: UKWELI Pesa...
  16. JamiiForums Tanzania Kutoka mitandaoni ,kutana na Mmoja ya wanaume wapuuzi wa kizazi cha leo

    Mnajua Wanawake wanatuhitaji sana sisi wanaume ndicho kitu walichoumbiwa. Mwanamke inabidi ndio awe mwenye Furaha sana pale unapomwambia Ninakuoa !!. Et waoo kasema ' ndio' , Kwa lugha nyingine Jama alikua Kwa Mahusiano ambayo bado Demu alikua na Option nyingine !!. Hivi inakuaje Mwanaume...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wanaoendeshwa na wake zao hupenda kujionyesha vijogoo wakati ni tetea?

    Wanangu, huwa sipendi kuchangia wala kujadili mambo ya ngono na mambo binafsi. Ila baada ya kusoma nyuzi nyingi za wanaume wanaobemendwa na wake zao wakijifanya vijogoo, nimeamua lau leo niulize. Kuna nyuzi nyingi za kuwakandia na kuwaonyesha wanawake kama viumbe wa ajabu na dhaifu. Nahisi wengi...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume naomba mnijibu tafadhali

    Hii inawahusu wanaume sio wavulana. Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 tu ndio unampa mwanamke wako? Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi. Nimeumia sana. Kumbuka anahonga Malaya...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe ukikosa vigezo mwanamke Hawezi kuwa na wewe, ila ujinga wa wanaume tunalegeza kamba

    kwa staili hii wanawake wataendelea kutuburuza sana wanaume katika masuala ya maslahi na mustakabali wa ustawi wa maisha yetu. Wanawake wengi wanawinda Mali tu na pesa kwa mwanaume, sasa kama huna kitu ni nadra sana kukidhi vigezo mbele ya wanawake wengi.
  20. JamiiForums Tanzania Mithali 5 ipo moto sana na kutuonya wanaume dhidi ya Malaya

    Mithali 5:3 Maana midomo ya malaya hufondoxa asali, na kinywa chake ni laini kuliko mafuta Mithali 5:4 Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga, ni mkali kama upanga wa makali kuwili Mithali 5:5 Miguu yake inatelemkia mauti, hatua zake zinashikamana na kuzimu Mithali 5:8 Itenge njia yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…