wanaume na wanawake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukichunguza ni kweli tofauti ya wanaume na wanawake.

    Sisi wanaume ndio washiriki wazuri wa kwenda chooni kukojoa. Ila wanawake unaweza kukaa naye zaidi la saa moja hata kwenda chooni uwezi kumuona. Mfano yale mavazi wanayo vaa mpaka unajiuliza hivi anawezaje kuvumilia kubanwa na mkojo. Hii mada nimekuta wanawake wanatusema sisi wanaume kuwa...
  2. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wa JF ambao mmeshajenga, IGWEEEE....!, nilikuwa na nafasi hio miaka mi-5 iliopita ila niliishia kufanya anasa huku najipa moyo

    Anasa ni zimwi linalokunong'oneza kwa sauti ya upole kuwa "gusa tu kwa leo alafu basi" Masikini kumbe unaisha. Mishe ya kukupa mtonyo kumbe ni kama maua. Sio wanawake wenye MAKEBO makubwa, sio clubbing na pubbing, sio kutafuna jagina zile za telegram, nakumbuka kupita na zungu kama hajawa...
  3. prida

    JamiiForums Tanzania Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

    Nakuheshimu sana kaka Robert kwa sbb wewe ni mmoja wa watu wachache mliobakia JF wenye kuandika nyuzi zenye kuiheshimisha JF ila nimelog in kwa lengo moja tu,KUPINGA BANDIKO LAKO HILI. PINGAMIZI ZANGU NI KAMA IFUATAVYO. 1)SIO KWELI KUWA "kihisia na kiakili mwanamke na mwanaume hawana tofauti...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kama wanaume na wanawake watachukiana, nani atafaidika?

    siku hizi kila ukiingia mtandaoni unakutana na maudhui yanayowagawa wanaume na wanawake. Huku wanaambiwa wasioe, kule wanaambiwa wasiolewe. Huku wanaume wanatajwa kuwa shida, kule wanawake wanatajwa kuwa shida. Kila siku ni vita. Ukienda kwenye comments ni matusi na lawama tu. Wengine...
  5. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Tamaa, Usaliti na Matokeo Yake Wanaume na Wanawake Wengi Wanaharibu Familia Zao Wenyewe

    Kuna wanaume Mungu kawajalia familia nzuri sana mke mwema, anayejitunza, anayeheshimu ndoa yake, anayekutii na kusimama kwenye nafasi yake kama mke. Pengine amekuzalia watoto na amekuwa nawe kipindi kigumu na chepesi. Lakini kutokana na tamaa, unaanza kuchezea amani ya familia yako mwenyewe...
  6. O

    JamiiForums Kenya “Mapenzi siku hizi ni biashara? Nani anatumia nani kati ya wanaume na wanawake?

    Haya uwanja ni wetu Leo tuseme kinaga ubaga nani anatumiwa sana
  7. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume mnakuaga na hela zile wiki za mwanzo tu tunapokutana na nyie? Alafu baada ya hapo huwa hatuzionagi tena?

    Naombeni kujibiwa hili swali tafadhali Hivi kwanini wanaume mnakuaga na hela zile wiki za mwanzo tu tunapokutana na nyie? Alafu baada ya hapo huwa hatuzionagi tena?
  8. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Uchafu uliokithiri kwa wanaume na wanawake - njooni turekebishane!

    Kuna watu hamna aibu jamani, binafsi hakuna kitu kinanikata kama mwanaume mchafu. Yani mtu akikuelekezea kwapa au tupu yake usoni unaweza kupiga chafya mpaka upaliwe. Na kwa wadada, malalamiko ni mengi, wanasema papuchi zinatoa harufu kama vile mnazitumiaga kuanika dagaa. Mambo gani ya uchafu...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta gym nzuri temeke au tandika yenye vifaa vingi mchanganyiko wanaume na wanawake

    Mwenye anajua jamani anaweza nisaidia namba ya simu au kunielekeza
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Haya ndio top 5 ya ma-group yaliyopo kwenye simu za wanaume na wanawake.

    LADIES: 1: Dada's Urembo na style 2: Toto's group ujauzito hadi malezi 3: Msusi online matunzo na style za nywele 4: Aunty Mwajuma kungwi na ushauri 5: alex udaku 24hrs WANAUME SASA😂😂 1: Buza wa buku buku 2: koneksheni pro max pisi kalii 3: Utamu pande zote 4: 18+ raha zote 5: Auto check magari...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Wanaume na Wanawake wanapokwenda Salon kutengenezwa

  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyoo vya umma vinatengwa kwa jinsia ya wanaume(ME) na wanawake(KE)?

    Kwanini vyoo vya umma vya watu wazima huwa vinatengewa kwa jinsia ya Wanawake(KE) na Wanaume(ME)? Kuna tatizo gani kwa wanaume na wanawake kutumia choo kimoja? Kwanini vyoo havitenganishwi vya watoto na watu wazima?
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali

    Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali
  14. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake mnaoendesha magari machafu mmelaaniwa hakika mjitathimini upya

    Ndugu zangu natumaini mnaendelea salama kwa wale wenye changamoto ya kiafya na kiuchumi Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi . Amina Bila ya kupepesa macho huu ni ukweli usiopingika kwamba mnao endesha magari machafu mnalaana za uchafu uliokithiri kupita kiasi. Hakika mmelaaniwa Ndugu zangu...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanaume na Wanawake Njooni hapa Sharti na kuoa au kuolewa. Tahadhari muisome

    Imekuwa desturi ama mila ama utamaduni kuhusu kuoa ama kuolewa. Lakini kuna mambo ya misingi ambayo katika ngazi familia, koo, jamii, kanisani,, misikitini, shuleni, na vyuoni yapaswa kuwa sehemu ya mafundisho. Kumwandaa Mume, Mke, Baba, na Mama ni wajibu wa msingi katika jamii na Taifa...
  16. RedPill Prophet

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, usimng'anganie asiyekupenda. Usimfukuzie mwanamke kama vile ndiyo kusudi lako kuishi hapa duniani

    Kwanini umfukuzie naye wakati haonyeshi juhudi zake kukufukuzia? Nilikumbuka nilipokuwa nikiburudika na Ex wangu, Sally. Alikuwa na mazoea ya kuweka simu yake kwenye silent wakati wowote nikiwa naye. Siku hii, simu yake iliendelea kulia, ikionyesha simu zinazoingia, lakini aliendelea kukataa...
Back
Top Bottom