wanastaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi wa Marekani wanastaafu utumishi mapema?

    Naomba wajuvi wa mambo wanasaidie nifahamu ni kwanini wanajeshi wa marekani wanastaafu mapema ukilinganisha na huku kwetu?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wadau tuelimishwe hivi wanajeshi huwa wanastaafu wakifika umri gani maana naona masharti mengi yapo wakati wa kujiunga

    Naomba kufahamishwa juu ya umri sahihi wa kustaafu Kwa wanajeshi wa jeshi la ulinzi JWTZ Kwa Kila cheo kwasababu unaweza ukamkuta askari ni Mzee harafu unajiuliza huyu anaweza kukimbia au kipiga kwata kweli . Mara nyingi kwenye matangazo yao ya ajira huwa tunaona tu umri wa kujiunga/...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Wachezaji Hawa hawajafunga magoli tangu wanacheza mpaka wanastaafu

    Wakuu nimekutana na hii post, ina ukweli?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa wawe wanastaafu wakifikisha miaka 70 ili wapate muda wa kusimamia afya zao

    Katika nyakati hizi ni heri hawa wazee wetu waliotumia muda mwingi kwenye siasa wakapumzishwa ili waweze kusimamia afya zao na kulea wajukuu. Kwa mfano mzee Mrema, Mzee Cheyo, mzee Rungwe, mzee Shibuda , mzee Malecela na wengine wote wafananao na hao. Tuwaachie watu wenye fikra mpya!
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri wanastaafu miaka 65 waruhusiwe kuendelea kufundisha kutokana na Uhaba wao

    Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ameisisitiza Wizara ya Elimu kuhakikisha wanaliangalia upya suala la Wahadhiri ili waweze kuendelea kufundisha hata baada ya kutimiza miaka 65, kwani wengi wao kwa umri huo ndiyo wanakuwa wamezidi kubobea kwenye taaluma zao. Kauli hiyo ameitoa Bungeni...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nape: Watu wanastaafu wanakaa mpaka wanakuwa wanywa gongo kwasababu hamuwapi stahiki zao

    Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, ameitaka Serikali, iunde tume ya kuchunguza madai ya walimu, waliopandishwa madaraja bila mishahara, waliofutiwa barua za kupandishwa madaraja. "Serikali ya CCM, ni ya wakulima na wafanyakazi, twendeni tukatende haki, haki huinua taifa." "Naiomba serikali, Chama...
Back
Top Bottom