Hivi wana Jamiiforums hamjashtuka au mpaka tuwape code.
Ni hivi labda mtanielewa, kwamba hawa watu wana magroup yao kama wanachama na viongozi wao.
wanajadiliana kisha kuna mmoja analeta wazo au mada inapigiwa chapuo kisha ina pelekwa mitandaoni ijalishi kama ana media,msanii, account zao feki...