wanandoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Auawa wakati akiamulia ugomvi wa wanandoa

    Kenya. Jumatatu ya Machi 13, majira ya jioni ni siku ambayo Dan Ouma aliaga dunia baada ya kuamua kuingilia ugomvi kwa kusudi la kuwatenganisha wa wanandoa ambao mume alikuwa akipigwa na mke wake, tovuti ya Tuko imeripoti tukio hilo. Matokeo yake Ouma mwenye umri wa miaka 24, alipigwa na kitu...
  2. Mikopo ‘kausha damu’ yatajwa kusambaratisha familia, wanandoa

    Chama cha ACT-Wazalendo kimeiomba Serikali kupitia mfumo mzima wa ukopeshaji unaotekelezwa na taasisi zisizo za kiserikali nchini kwa kuwa wananyinywa na kuhatarisha maisha ya wanawake. Kimetolea mfano wa mikopo inayojulikana kausha damu kuwa licha ya kuwasumbua wanawake pia imevunja ndoa...
  3. TAWLA yapendekeza Ubakaji utambulike kuwa Kosa la Jinai kwa Wanandoa

    Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) na Wanaharakati wa Masuala ya Kijinsia kimependekeza Marekebisho ya Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Sura ya 20 ili iweze kumwajibisha Mwanandoa atakayemuingilia Mwenza wake bila ridhaa. #TAWLA imesema pendekezo hilo linafuatia ongezeko la...
  4. Utafiti: Wanandoa wanakaa na Hasira na Vinyongo muda mrefu hufariki mapema

    Utafiti wa zaidi ya miaka 17 wa Chuo Kikuu cha Michigan nchini Marekani ulibaini kuwa Wenza wanaozungumza baada ya Kukwazana na Kupandishana Hasira, wanaishi muda mrefu zaidi. Pia, utafiti umebainisha kuwa Mtu mwenye Hasira muda mwingi huwa na huzuni ambayo inamuweka kwenye hatari ya kupata...
  5. G

    Japokua wanandoa wamebanwa lakini nikiri wazi watoto wa kwenye ndoa za kikristo wanafaidi mno malezi kuliko ndoa za kiislam

    Bila shaka ndoa za kiislam wanandoa huwa wanafaidi sana linapokuja suala la kuongeza mke, kuoa ama kuolewa upya kwa urahisi, talaka, n.k. na haya mambo ndio penye udhaifu wa ndoa za kikristo, hata talaka tu inaweza chukua miaka, wanandoa wengi hubanana humo humo. Ila linapokuja suala la watoto...
  6. Ikipendeza serikali isiwatambue kama wanandoa wenza wanaoishi bila kufunga ndoa

    Habari wanajukwaa, Nisiwachoshe sana twende kwenye mada moja kwa moja. Siku hizi kuna kampeni kubwa ya kukataa kufunga ndoa kwa vijana wa kiume, matokeo yake wanachukua vimada wanaishi nao na baada ya muda fulani mwanamke anatimuliwa bila chochote anaondoka na kwenda kuanza maisha mapya huku...
  7. Je, kuna wanandoa wanajutia kuoa au kuolewa na wanatamani ndoa ivunjike?

    Wasalaam JF Swali kwa wanandoa je, vipi hali ilivyo huko kuna ambao mnaojutia kuoa au kuolewa na mnatamani ndoa zivunjike mjiunge kundi lenye kura turufu ya maisha ya raha hapa duniani? Hasa hili kundi letu la uchakataji usio na mipaka. Inshallah naamini tuko na jumapili njema kabisa. Wadiz.
  8. Kenya: Hakuna pasu kwa pasu tena, Mahakama imeamua wanandoa wanaoachana kila moja achukue chake au kuonyesha ushahidi wa mchango wa mali ya kugawana.

    Mahakama ya Upeo Nchini Kenya leo Januari 27, 2023 imetoa Uamuzi kuwa Wanandoa wanaoachana hawatagawana Mali nusu kwa nusu (50/50) kama ilivyokuwa awali bali kila Mmoja ataondoka na kitu chake, tena kwa kuonesha ushahidi kuwa ni Mali yake halali. Uamuzi huo ni Marekebisho ya Ibara ya 45 (3)...
  9. Ukipata mnayependana mshikilie, usimwache aende. Utakuja kujuta kama wanandoa wengi wanavyojuta kwa sasa

    Ukipata mnayependana mshikilie, usimwache aende. Utakuja kujuta kama wanandoa wengi wanavyojuta kwa sasa. Kukuta wote mnapendana inatokea mara chache sana maishani. Wengi wetu tuna wapenzi wenye wapenzi wa mioyoni mwao. Wakuu leo nimeona tujikumbushe jambo muhimu kwenye haya maisha. MAPENZI...
  10. Waliofariki ajali Morogoro wapo Wanandoa

    Watu watano waliofariki kwa ajali ya gari mkoani Morogoro wametambuliwa wakiwemo mume na mke, ambao pia ni wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro , Fortunatus Musilimu alisema ajali hiyo ilitokea usiku wa Desemba 26,2022, eneo la Iyovi, Kata na...
  11. Wanandoa wapya wafariki kwa ajali Iringa

    Hizi ajali zinazidi kumaliza watu. Ajali hiyo imetokea Iringa ambapo watu 3 wakiwemo wanandoa ambao wamefunga ndoa siku 4 zilizopita. ====== Noah na Agnes wamefikwa na mauti katika ajali hiyo ikiwa ni siku nne zimepita tangu walipofunga ndoa, Desemba 17, 2022 jijini Arusha. Kamanda wa...
  12. Ushauri kwa wachumba wanaotaka kuja kuwa wanandoa

    Leo niwashauri wale ambao hamjaoa au kuolewa ila mpo kwenye mahusiano sijui uchumba au nini: Onyesheni zile tabia zenu halisi, yaani usiigize chochote, kama wewe unakula sana, kula, kama wewe huwa unaoga kwa wiki mara moja tu basi fanya hivyo, kama huwa husalimii watu basi endelea. Yaani kila...
  13. SoC02 Umuhimu wa kuwa na tafrija ya wanandoa wote wenye migogoro ili kutafuta ufumbuzi

    Kwa miaka ya karibuni kumekuwa na migogoro mingi sana ya ndoa tofauti na ilivyokuwa zamani. Changamoto ni nyingi sana,labda sababu ya kipato, wengine ubize wa kazi, wengine mgongano wa mawazo na wengine labda matatizo ya kiafya na wengine ni kutokutilewa aut tu kwenda matembezi au sehemu...
  14. M

    Kusikiliza nyimbo za injili(dini) wakati 'mnangonoka' kwa wanandoa na 'mnazini' kwa wasiooana ni jambo jema?

    Tena kuna wakati unasikia kabisa mtu anakandamizwa(anangonolewa) vilivyo na sauti ya kuulilia mkurudungu wa aliye kifuani kwake ukiisikia dirishani, ila hapo hapo tena unasikia playlists za gospel songs tupu zinaimba. Kwa mnaojua mna imani hii ni sawa?
  15. Je, katika wanandoa mwanamke anaruhisiwa kutoa talaka?

    Sijajua kuhusu mambo ya dini kabila au jadi kuhusu wanandoa wawili (mke na mume)hua naona au kusikia kuwa endapo wanandoa upande wa mwanaume ndio anaetoa talaka endapo ataona au sikia kwa ushahidi kuwa labda mkewe kaenda tofauti na masharti ya ndoa yanavyosema. Je, Mwanamke nae anaruhisiwa...
  16. Wanandoa wa sasa mtafika jehanum City centre mkiwa mmechoka mwili na akili

    Ndoa za sasa ni changamoto kubwa sana nipo kitengo ,kesi ni nyingi kweli mapenzi kizunguzungu moyo wa kupenda umeisha kwa sababu zifuatazo 1.Umemtongoza mwanamke baada ya siku mbili atakuorodheshea shida zake zote uzitatue 2.Mwanamke unaachana na mume wako ukidai ni muhuni ana wanawake wengi...
  17. U

    Maisha Magumu sana, Serikali ikataze Michango ya Harusi hasa watumishi, wanandoa wajidhamini

    Hali ya maisha haifai, kila kitu juu huku mishahara ikiwa chini na biashara kuwa ngumu sana. Tozo kila mahali, mafuta ya nishati juu, yakupikia juu, pesa haionekani , athari ni kuzidi kuongeza gepu la matajiri na masikini, Hali hii inadidimiza zaidi masikini huku matajiri wakineemeka na kipanda...
  18. Kwanini ndoa za wanandoa walichaguliwa na wazazi zinadumu na zile za "nimempenda mimi" hazidumu kabisa?

    Nimegundua kuwa Wazee wa zamani (Wazazi) walikuwa na Akili Kubwa (japo hawakusoma) kuliko za Wazazi wa sasa (ambao Wamesoma) hadi Vyuo Vikuu. Utafiti (Uchunguzi) wangu binafsi kama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 98% ya Ndoa ambazo Wanandoa Walichaguliwa na Wazazi wao zimedumu na zinadumu. Ila...
  19. Hivi ni ujinga, wivu au ni roho mbaya wanandoa waliotengana kuwazuia waliokua wenza wao kuwa na wenza wengine?

    Nilisikitishwa sana na hili tukio lililomkuta kaka Sindato kwa kweli! Na hii sio kwa Sindato tuu. Inatokea kwa watu wengi wanaume kwa wanawake. Unakuta watu wameshashindwana na kuamua kuachana lakini mmoja wao anapoamua kuingia kwenye mahusiano mengine inakua vita. Tena wengine wanafikia hatua...
  20. Ushauri wangu kwa wana ndoa wenzangu

    Kwanza mm sio muumini wa watu kupeana taraka.pili ndoa sio Jambo la kukurupuka tu ndugu zangu.nitaanza kuwapA ushauri wanaume; *Jamani tupende kupunguza na kudhibiti hasira zetu tambueni pia kua wanawake nao wameumbiwa hasila Unapochukua maamuzi magumu fikilia mala mbili michepuko sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…