wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inanyanyasa wananchi Dar kupitia mwendokasi

    Wananchi elfu tatu wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami. Je, kwanini Serikali inakubali kunyanyasa wananchi wake hivi? Waziri wa Tamisemi na Mkurugenzi wa UDart unafurahia nini kuona...
  2. JamiiForums Tanzania TANESCO kukata umeme tunaoumia ni sisi wananchi

    Hii suala la Tanesco kukata umeme limekuwa kero kubwa mno . I mean kukataa umeme bila taarifa jana 7 may 2024 tangu saa 2 usiku mmekata umeme na mlisema mtakata asubuhi kwanzia saa 3 - saa 11 jioni 8 may 2024 . Tunaoumia ni sisi Mwanawake kwa sababu wenzetu wanakosea mashimo. Nawasilisha !!!
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viti Maalum wanamaliza hela za wananchi bila sababu

    Kwa msaada wa wiki pedia Viti maalum vya wanawake ni nafasi bungeni zinazotolewa kwa utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali na unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na athira yao katika bunge na mabaraza na kwa njia hiyo katika siasa ya nchi hizo kwa jumla. Kuna nchi nyingi za dunia...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Wakurugenzi wa halimashauri wapatikane kwa mfumo wa ajira ili kuleta dhana ya utawala bora na uwajibikaji kwa wananchi na siyo kwa watawala

    UTANGULIZI. Ni makala ya story of change ya jamii forum, inayochochea mjadala wa kitaifa juu ya masuala mbalimbali, nami nikiwa nimeangazia dhana ya utawala bora nchini Tanzania, ili kuipata “Tazania tuitakayo” jina langu ni Makiwa Jumanne Ni hivi karibuni Taifa la Tanzania limetimiza miaka 63...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi yawashukuru Wananchi waliofanya maboresho ujenzi wa Kituo cha Polisi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuwashukuru wananchi wanaoendelea kushiriki katika jitihada za Serikali katika kuboresha mazingira bora na yakisasa katika vituo vya Polisi Mkoani humo huku likibainisha kuwa litaendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wananchi Hayo...
  6. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania umekuwa muhimili mbovu na usio na tija wala faida kwa Taifa

    Bunge ni chombo ambacho kama kingekuwa kinafanya kazi yake ipasavyo hakika Tanzania ingekuwa mbali sana kwa sasa. Lakin Bunge la Tanzania ni miongoni mwa mabunge ya hovyo na hasara kwa Taifa, halina msaada wala mchango wowote ule kwa taifa hili. Bunge linatia hasara Serikali kila mwaka. Bunge...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Bonna Kamoli atishia bungeni sakata la wananchi Kipunguni kupisha Airport, hawajalipwa fidia miaka 27 sasa

    Mbunge wa Jimbo la Segerea, Bonnah Kamoli akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 leo Mei, 6, 2024 amesema ikiwa suala la fidia ya wananchi wa Kipunguni halitapatiwa maelezo ya kutosha, basi atashika shilingi na hataachia. Amesema suala hilo limechukua muda...
  8. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali za Mitaa zinavyoshilikiana na polisi wa Madale kuwaumiza wananchi kwa rushwa

    Habari ndugu! Kuna kero inaendelea huku Tegeta Msigani kwenye Mto wa Kinondo. Mwenyekiti wa CCM wa Serikali za Kijiji amezidiwa tamaa ya pesa na mapolisi wa Madale. Kuna wachota mchanga kwenye bonde ambapo sasa hivi limepanuka zaidi na kuwa mto, hivyo wanafunzi wanaosoma Msigani Primary wapo...
  9. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tutakayo: Bei ya nauli ya SGR izingatie hali halisi ya uchumi wa wananchi

    Rai yangu ni kuona bei ya nauli zinazopangwa na mamlaka husika zinazingatia hali ya maisha ya wananchi ili reli hii iwafae wengi kutokana na usalama wa safari, safari kutumia muda mchache pia kutokana na kutumia nishati mbadala ya umeme badala ya mafuta sababu tumekuwa tukishuhudia kupanda kwa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Jafari Chege amesema kiongozi mzuri ni yule anayeweka alama kwa wananchi

    Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura Chege amesema ndani ya siku 30 Serikali itaanza matengenezo ya Barabara ya Nyarombo - Siko - Busanga ya Kilometa 8 baada ya Serilkali kutenga Milioni 90 kwaajili ya Matengenezo hayo. Mhe. Jafari Chege amesisitiza wananchi wa Kijiji cha Busanga Kata...
  11. JamiiForums Tanzania Mtutura: Mbolea ya Ruzuku haiwafikii wananchi, fedha zinazotengwa zinakwenda wapi?

    Waziri Kivuli wa Kilimo, Umwagiliaji na Maendeleo ya Ushirika, Ndugu Mtutura Abdallah Mtutura, ameitaka Serikali ieleze fedha za ruzuku zimepelekwa wapi ikiwa wakulima milioni 2.55 sawa na asilimia 75 ya wakulima waliosajiliwa katika mpango wa ruzuku hawakupata wala kutumia mbolea hiyo licha...
  12. JamiiForums Tanzania Kinana kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Komred Abdulrahman Kinana kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma. #KaaKaribunaRuningayako #ChamaImara #KaziIendelee
  13. JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed: Kuwathamini Mabalozi ni Kukirudisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Wananchi

    Shemsa Mohammed: Kuwathamini Mabalozi ni Kukirudisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Wananchi MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed amesisitiza dhamira ya chama hicho chini ya Uongozi wa Mwenyekiti wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Usumbufu kwa wananchi kutoka kwa Wanajeshi Chuo cha Jeshi CTC Mapinga ni kero kubwa, TPDF shughulikieni hili

    Kuna kero kwa wakazi tunaotumia barabara iliyopo mbele ya Chuo cha Jeshi la wananchi wa Tanzania CTC Mapinga, kitongoji cha Kiembeni, Kiharaka Bagamoyo. Ni barabara kubwa kutokea Mingoi kwenda Mbweni (kuvuka daraja la Mpiji). Wanawafyekesha wananchi majani nje la lango lao kuu na pembeni ya uzio...
  15. JamiiForums Tanzania Matembezi ya kuwatembelea vijana/wananchi wenzangu wa wilaya ya Ilala

    Nilifanikiwa Kutembelea Baadhi Ya Wananchi Wa Wilaya Ya Ilala, Kutoka Kata Ya Kivule, Ili Kujua Maendeleo Ya Wananchi wa Wilaya Yetu Ya Ilala. Katika Matembezi Haya, Nilifanikiwa Kujua Mafanikio Yaliyofikiwa Na Serikali Ya Chama Cha Mapinduzi Kwa Wananchi Wake, Changamoto, Pamoja Na Mapendekezo...
  16. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Chunya akataa maombi ya Diwani na Wananchi kuhusu kushusha bei ya kuhifadhi maiti

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, Tamimu Kambona amegoma kupunguza gharama za kuhifadhia maiti 'mochwari' katika Vituo vya Afya vilivyopo wilayani humo kutoka Sh. 40,000 kwa siku mpaka Sh 20,000, baada ya maombi kadha kutoka kwa Wananchi ambao wamekuwa wakidai kiwango...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Serikali na wananchi wake tumejipanga vipi kwendana na dunia ya leo na kesho?

    Tanzania, kama nchi nyingine, inakabiliwa na changamoto na fursa za kuendana na mabadiliko ya dunia. Kujipanga kunahitaji juhudi za pamoja kutoka kwa serikali na wananchi ili kuhakikisha maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Tumeona nchi nyingi ambazo zilizopo afrika na zengine zikikabiliwa na...
  18. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya mageuzi ya katiba mpya ya wananchi

    UTANGULIZI Katika nchi yeyote duniani ili kuendelea ni lazima iwe na katiba nzuri na yenye kujali maslahi makubwa ya wananchi , bila hivyo tutajidanganya wote tunafahamu kuwa katiba nzuri ndo mwongozo na dira ya nchi yoyote . Ili kuwa na mabadiliko chanya na maendeleo katika taifa letu ni...
  19. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania wataendelea kupigwa na maisha mpaka mwisho wa Dunia

    Viongozi wanatulaumu wananchi wakihisi huwenda sisi ndio sababu ya nchi kutokupiga hatua, huku sisi wananchi kwa 100% tukiutupa mzigo mzima wa lawama kwa viongozi maana wao ndio watunga sera zote za kiuchumi. Kama viongozi wa Kitaifa wanawajumuisha Kizazi og na Wadudu wa Arusha kwenye issue...
  20. JamiiForums Tanzania Hali ni Mbaya Sana, Tembo Wanazagaa Vijijini na Kuhatarisha Usalama wa Wananchi wa Mbarali

    MBUNGE BAHATI NDINGO Afikisha Hoja ya Dharura Bungeni - Hali ni Mbaya Sana, Tembo Wanazagaa Vijijini na Kuhatarisha Usalama wa Wananchi wa Mbarali Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Mhe. BAHATI KENNETH NDINGO leo tarehe 30 Aprili, 2024 amefikisha Hoja ya Dharura Bungeni mbele ya Spika kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…