wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbunge Mavunde Atengeneza Mfumo wa Kidigitali wa Wenyeviti wa Mitaa Kuwasilisha Kero za Wananchi

    MBUNGE MAVUNDE ATENGENEZA MFUMO WA KIDIGITALI WA WENYEVITI WA MITAA KUWASILISHA KERO ZA WANANCHI - Ni mfumo wa haraka zaidi wa kufikisha kero kupitia simu janja - Wenyeviti wote kupatiwa simu maalum za kuwasilisha kero kwa uharaka - Wenyeviti wa mitaa wampongeza kwa ubunifu Mbunge wa Jimbo...
  2. Badala ya kutapanya mali kwa wageni kwanini Rais asijikite kwenye kuwajengea wananchi wake uwezo?

    Kila safari atayofanya Rais , lazima itaambatana na kisainiwa kwa mikataba ya kiuwekezaji kwenye Rasilimali zetu. Dunia ya sasa idadi ya watu inaongezeka na hii inafanya rasilimali kuwa adimu. Kwa kulitambua hili mataifa makubwa yamekuwa na sera kandamizi na kutumia mbinu za kila aina...
  3. Kuelekea 2025 Amos Makalla adai CCM haijawahi kuiba kura. Amtaka Tundu Lissu kuacha kutisha Wananchi

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM haijawahi kuiba kura, Kama haitoshi amemshutumu Tundu Lissu kwamba aache kutisha na kupotosha Wananchi...
  4. Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali

    WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma. Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe moja ya vyanzo vya kujiongezea vipato badala ya...
  5. Kuelekea 2025 Singida: Mikutano ya Tundu Lissu yatikisa. Baadhi ya Wananchi wapanda mitini ili kumuona

    Ni vigumu kueleza tukaeleweka, bali unachotakiwa kufahamu ni kwamba wakati wao wanamalizia kuuza eneo la Bahari, baada ya kumaliza kuuza mbuga na ardhi, Tundu Lissu yuko Huko Singida akifundisha wananchi namna ya kulinda rasilimali zao. Unaambiwa ni hatari! Mikutano inajaa kiasi cha wananchi...
  6. CCM waanza kuchukua namba za NIDA za wananchi, Msajiri wa vyama vya siasa ameruhusu hili?

    Kuna mjumbe wa mtaa wangu leo aliniambia CCM inaandikisha kadi za chama na pia inachukua namba za NIDA! Nani ameruhusu zoezi hili?
  7. Mbunge Martha: Tembo wamesababisha taharuki kwa Wananchi wa Manyoni na Ikungi

    Mbunge wa Viti Maalum, Martha Nehemia Gwau amesema Serikali inatakiwa kutafuta njia mbadala ya kukabiliana na Tembpo ambao wamekuwa wakiharibu mazao na kutishia usalama wa Wananchi
  8. R

    Wananchi waanza kupata mgawo wa jezi na mipira katika maandalizi ya uchaguzi mkuu; kampeni hi inaitwa mpe mpira na jezi akupe kula

    Kamkeni ya wape mipira na jezi wakupe kula imeanza rasmi mkoani Singida. Wabunge wameanza kampeni hiyo ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu. Katika kampeni Hii tunategemea kushuhudia wabunge walio ungeni kwa kushirikiana na wale wanaolengwa kugombea Ubunge na udiwani wakifanya mazungumzo na...
  9. Viongozi wa CCM mnasikiliza na kutatua kero au matatizo ya wananchi?

    Kero ni ile hali ya maudhi madogo madogo na mara nyingi kwa mtu binafsi au kikundi kidogo tu cha watu. Mfano wa kero inaweza kuwa jirani yako anayefungulia mziki mkubwa unaoleta usambufu kwa majirani wengine, mlevi anayetukana hovyo mtaani, kuachwa na mume bila kupewa mali stahiki, mwenyekiti wa...
  10. Mkuu wa mkoa wa Mara naye asikiliza kero za wananchi kijijini Butiama

    Tumeamka asubuhi na makelele ya loudspeaker: "Mkuu wa mkoa wa Mara anafika Butiama leo, ndio mara yake ya kwanza kuja hapa toka alipoteuliwa na Dakta Samia, mama wa shoka............." Nasema "naye", maana yake kama Makonda. Alikuwa anasikiliza kero za wananchi: ugomvi wa viwanja, matatizo ya...
  11. SoC04 Mapokeo ya teknolojia kwa wananchi huathiri maendeleo

    Akili bandia (Artificial Intelligence.) Habari! Kila zama kuna bunifu kubwa zinafanyika duniani ili kurahisisha maisha ya mwanadamu na mazingira yake kama siyo kutatua changamoto zinazomkabili mwanadamu. Tumeshuhudia bunifu zilizopita jinsi zilivyotusaidia ,kwa mfano Ugunduzi wa moto na...
  12. N

    Kwenye utatuzi wa kero na changamoto za wananchi serikali itumie hili wazo linaweza kuwasaidia

    Serikali inaweza kutumia wazo hili katika kuwafikia wananchi kirahisi na kutatua kero na changamoto zinazowakabili Watanzania MAMA ANAKUITA" call Center PROJECT PROPOSAL (Njoo Tuseme kwa mama, Piga no …… utete na Bi. Mkubwa) “Mama anakuita call Center” ni namba mahususi ya simu itakayotumiwa na...
  13. P

    SoC04 Nafasi za Mawaziri zinazohitaji ridhaa ya Wananchi

    Habari wadau, Kulingana na taratibu, sheria na kanuni mbalimbali za nchi hii nafasi za mawaziri huteuliwa na mheshimiwa raisi. Lakini siku ya leo napenda kutoa maoni yangu juu ya nafasi tano za mawaziri ambazo zinahitaji umakini wakati wa uteuzi na ikiwezekana uanzishwe utaratibu wa kupata...
  14. K

    Wananchi tunauliza kulikoni ujenzi wa reli ya kisasa toka Mwanza hadi Isaka?

    Wananchi tulishuhudia ujenzi wa reli ya kisasa toka Mwanza mpaka Isaka - Shinyanga na ghafla tunaona ujenzi huo umesimama. Tunauliza kulikoni?. Ni vema Serikali ikawajulisha wananchi sababu za kupelekea ujenzi huo kusimama ghafla.
  15. Z

    SoC04 Matumizi ya taasisi za Mawasiliano na mifumo ya Kidijitali kama njia ya mawasiliano (kutoa taarifa) kati ya wananchi na viongozi

    UKUAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kunipa fursa ya kuchangia mawazo muhimu yatakayosaidia TANZANIA yetu katika miaka 5-25 ijayo, kupitia Jamii forums. Dunia ya sasa imetawaliwa na mifumo ya utandawazi kupitia teknolojia ya viwango vya juu ya matumizi ya mtandao...
  16. T

    Makonda ampandisha cheo Afisa Mtendaji kuwa msaidizi wa Mkuu wa Mkoa kwa kufuatilia vizuri matatizo ya wananchi

    Habari wakuu, RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa. Swali langu atafanya kazi kama nani pale na...
  17. Nawashukuru sana wananchi wote kwa kuiunga mkono serikali ya awamu ya 6 kwa hamasa sana

    Kwa niaba yangu binafsi, na wale wote wenye mapenzi mema kwa nchi na taifa kwa ujumla. Nawashukuru watanzania na wananchi wenzangu, kwa kuiunga mkono serikali sikivu ya awamu ya6, chini ya kiongozi makini na madhubuti sana comrade dr.Samia suluhu hassan. Kipitia bunge letu tukufu hapa makao...
  18. Orotha ya Wakuu wa Mikoa ambao wananchi wanateseka na kero na hawasikilizi kero za wananchi

    Wananchi wanateseka na hawana mtu wa kumlilia shida walizo nazo. 1. Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Kero ni Barabara, maji, umeme, maeneo mengi hayana vituo vya polisi. 2. Mkuu wa mkoa wa Manyara. Kero Barbara, maji na umeme.
  19. X

    SoC04 Serikali ilegeze kamba maeneo yafuatayo kuchochea kasi ya ukuaji uchumi nchini na kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi

    UTANGULIZI Toka Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) kupata uhuru bado matatizo makuu ya nchi ni yale yale Ujinga, maradhi na umaskini, bado hakujawa na mikakati toshelevu yenye kuchochea mabadiliko chanya ya kasi kukabiliana na matatizo hayo na kulipeleka taifa mbele kiuchumi kwa kasi kama Mataifa...
  20. L

    Wananchi Wamchangia Mbunge Babu Tale Pesa Ya kuchukulia Fomu ya Ubunge Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwasogezeeni taarifa hii ya kuwa wananchi wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki linaloongozwa na Mheshimiwa Babu Tale yaani Khamisi TaleTale wameamua kwa umoja wao na kwa hiyari ya mioyo yao kumchangia Mbunge wao pesa ya kuchukulia Fomu ya Ubunge hapo mwakani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…