wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kumjua huyu Afande ambaye mara nyingi huwa anaongoza itifaki kwenye misiba ya kitaifa na misiba ya wanajeshi wa Vyeo vya Juu

    Zamani alikuwa kama mpambe wa Rais Shein. Akaja kuibuka kwenye msiba wa Hayati Magufuli akiwa kama anaongoza itifaki kwenye msiba huo. Baada ya hapo misiba ya viongozi wa kitaifa kama ule wa Mwinyi alikuwepo pia. Msiba wa Meja Jenerali Mbuge na Msiba wa Jenerali Msuguri pia alikuwa mstari wa...
  2. JamiiForums Tanzania BBC: Korea Kaskazini kupata tani 700,000 za mchele kwa kupeleka silaha na wanajeshi Urusi

    Kwenu wadau njaa mbaya: Gazeti la Korea Kusini la Korea Herald linaripoti, likimnukuu balozi wa zamani wa Korea Kusini nchini Urusi, kwamba badala ya usambazaji wa risasi na kutuma wanajeshi kushiriki katika vita vya Urusi na Ukraine, viongozi wa DPRK watapokea kutoka Moscow takribani tani...
  3. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Israel wanabeba maiti zao huku wanalia kwa uchungu

    Wanaukumbi. Wanajeshi wa Israel wanabeba maiti zao kwa kuvizia huku wakilia kwa uchungu baada ya kupigwa na Hezbollah kwenye mipaka ya Lebanon. Cha kushangaza wao wanauwa watoto na wanawake Gaza na kushangilia kumbe na wao wanasikia uchungu wa vifo. Wanachopata kutoka kwa Hezbollah ni haki...
  4. JamiiForums Tanzania Kasi ya mauaji ya Wanajeshi NATO huko Ukraine yaistua Marekani

    Marekani imestuka baada kasi mauaji ya wanajeshi wa NATO huko Ukraine kuongezeka huku Russia akaikamata maeneo kwa spidi ya ngiri....hofu hiyo imefanya Blinken aropoke China iondoe wanajeshi North Korea Russia tuelekee studio.. Update: NATO backed Ukrainian forces and on the verge of total...
  5. JamiiForums Tanzania Boko Haram waua wanajeshi 40 wa Chad

    Zaidi ya wanajeshi 40 wa Chad wameuawa baada ya kituo chao kuvamiwa Jumapili jioni, ikulu ya Chad imesema. Rais Mahamat Déby ameagiza operesheni ya kufuatilia wahusika, kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisini kwake. Shambulio hilo limeripotiwa kutokea katika kisiwa cha Barkaram, eneo kubwa lenye...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Angalia wanachofanyiwa Wanajeshi wa Israel na Hezbollah

    Wanaukumbi. Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, na sifa njema ni zake. Tazama Mujahidina wa upinzani wakipambana kwa mbali na jeshi la wasomi wa Kizayuni waliokuwa wakiingia, na wengi wao waliuawa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Maombi yako kwa Mujahidina wa Gaza na Lebanon Ewe Mola...
  7. JamiiForums Tanzania Kilio cha Wazayuni dhidi ya Netanyahu.Familia za wanajeshi waliovamia zilisusia hotuba ya Netanyahu kwenye sherehe

    Wanaukumbi. Netanyahu alipokuwa akizungumza, familia za wanajeshi wa Israeli walioanguka walilipuka kwa sauti za hasira na kufadhaika, zikilaani waziwazi uongozi na maamuzi yake. Watoto wao wanakufa vitani umeshindwa kurudisha mateka...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

    wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua. Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024...
  9. M

    JamiiForums Tanzania TEHRAN: iran imesema Wanajeshi wake wawili wameuawa baada ya mashambulizi ya Israel kwenye kambi za jeshi Tehran.

    Jeshi la Iran limesema,Wanajeshi wake 2 wameuawa na wengine 16 kujeruhiwa baada ya Israel kufanya mashambulizi ya kijeshi Tehran leo asubuhi. Mashambulizi hayp ni jibu la Israel kulipiza kisasi mashambulizi ya Iran nchini Israel Oktoba Mosi mwaka huu. Source: Aljazeera English.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel waingia Gaza kusaidia wenye njaa

    jeshi la israel waingia mitaa ya Gaza kusaidia wenye njaa misaada na pesa za umoja wa mataifa inaishia kwa magaidi na family zao raia wanaopinga hufyatuliwa Misaada ya umoja wa mataifa inaingia Gaza lakini ni kwajili ya Hamas na familia zao, Wapalestina wa Kawaida wanalalamika njaa, Hamas...
  11. JamiiForums Tanzania Putin aomba msaada wa Wanajeshi Korea Kaskazini

    Naona mkakati wa NATO unafanikiwa sana. Kumdhoofisha Putin. Sasa imenyesha paananza kuonekana panapovuja.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Korea Kaskazini wako nchini Russia kuisaidia nchi hiyo kwenye vita vyake na Ukraine

    Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi ya Jamhuri ya Korea imetoa picha za satelaiti zinazodaiwa kuwaonyesha wanajeshi wa DPRK katika uwanja wa mazoezi wa Sergeevka huko Primorsky Krai, karibu na Vladivostok, na katika kituo cha kijeshi huko Khabarovsk. Inadaiwa kuwa vikosi vya ziada vya DPRK vimewekwa...
  13. JamiiForums Tanzania UTANI: Wanajeshi wa Iran wakijiandaa dhidi ya Israel

    Wako tayari.
  14. JamiiForums Tanzania Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa imebeba wanajeshi na maafisa waliofariki na kujeruhiwa katika mapigano

    Wanaukumbi. Vyombo vya habari vya Israeli: 🇱🇧🇮🇱 Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa na wanajeshi na maafisa waliokufa na waliojeruhiwa katika mapigano makali ya leo kusini mwa Lebanon. Baada ya kushindwa kwa vikosi vya ardhini, jeshi la anga la...
  15. JamiiForums Tanzania Nafanyaje mazoezi ya kukomaza ngumi na kichwa kama wale wanajeshi wanaovunja matofali?

    Wakuu kuna zile siku za sikukuu huwa tunaona maonyesho ya Wanajeshi kuvunja tofali kwa mikono au kichwa mmeshawakumbuka eeh? Ule uwezo kuna mtu anaweza kunipa dondoo unapatikana vipi inachukua muda gani au pengine huwa kuna dawa ya kupaka kutia ganzi kupunguza maumivu? Nimeamia kibandani...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hezbollah yajeruhi zaidi ya wanajeshi 40 kwenye mesi nchini Israel wakati wanakula

    Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ya Golan Brigade Base katika Jiji la Haifa ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali mbaya huku kukiripotiwa vifaa kadhaa pia. Tofauti ya Israel na Hezbollah na HAMAS ni kua wao...
  17. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri huko Lebanon

    Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon. Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa Hizbullah.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wanne wa Israel wauawa kwenye mapigano

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limethibitisha kuwa askari wake wanane wa wameua katika makabiliano na wapiganaji wa Hezbillah kusini mwa Lebanon IDF inasema watatu walikuwa wa kitengo cha Egoz, Awali ilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Breaking news, wanajeshi 30 wa Israel WAMEUWAWA leo Huko Lebanon

    Wanajeshi 30 wa Israel WAMEUWAWA leo Huko Lebanon kufuatia shambulizi la kushtukiza yaani ambush lililofanywa na Hezbollah, Hezbollah waliwavamia wanajeshi wa Israel ghafla na kuanza mashambulizi ya kurushiana RISASI kitu kilichopelekea kuuwawa Kwa wanajeshi hao, Israel Bado haijatoa taarifa...
  20. JamiiForums Tanzania Wanajeshi 8 wa Israel wauawa kwenye shambulizi la Hizbullah

    Wanajeshi zaidi ya 8 wa Israel wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya ambush ya kushutukiza ya wapiganaji wa hizbullah wakati wa jaribio la wanajeshi hao kuingia kwenye kijiji cha mpakani cha Odaisseh nchini Lebanon ,wanajeshi wa Israel walirazimika kurudi nyuma baada ya shambulizi hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…