wanaharakati wa kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    Wanaharakati wa Kenya na Uganda walioteswa wakiwa Tanzania wanadai fidia ya US$1 million kila mmoja wao

    Wanaharakati Hawa walifika Tanzania ili kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema ikiwa inatajwa au kusomwa mahakamani. Hawakufanikiwa kufika mahakamani ila walikamatwa na watu wenye kusadikika ni Marisa wa vyombo vya usalama. Waliteswa sana na mwisho walitupwa kwenye mipaka ya nchi zao...
  2. I

    Lissu, Lema, Mange na Wanaharakati wa Kenya: Wanapigania haki au wanajenga CV kwa Wazungu?

    Kwa muda sasa tumeendelea kushuhudia wimbi la watu wanaojitambulisha kama wapigania haki za Watanzania, lakini maisha yao halisi yako mbali na uhalisia wa mwananchi wa kawaida. Wana uraia wa mataifa mengine, wanaishi kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza, huku wakitumia majukwaa ya mitandao na...
  3. stakehigh

    Rais Ruto: Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa namna yoyote ile, Mtusamehe

    Rais William Ruto: "Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa njia yoyote ile, Mtusamehe... Kwa marafiki wetu nchini Uganda, ikiwa kuna jambo lolote baya Wakenya wamefanya, tusameheeni. Kwa watoto wetu, kama tumekosea kwa namna yoyote ile, tunaomba msamaha." == President William Ruto...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Munde Tambwe: Serikali ichunguze NGO's zinazotumika kupenyeza Wanaharakati, kuharibu maadili na Siasa nchini

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Munde Tambwe, leo Mei 27, 2025, wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu jijini Dodoma, ameeleza wasiwasi wake juu ya kuwepo kwa baadhi ya Asasi za Kiraia (NGO's) ambazo, kwa mujibu wake, zinafanya...
  5. Genius Man

    Wanaosema wanaharakati wa Kenya na Uganda walikuja kufanya fujo, waliziona hizo fujo?. Nionesheni na mimi sijaona

    Hivi hawa watu wanaosema wanaharakati wa Kenya na Uganda walikuja kufanya fujo aliyeziona hizo fujo walizofanya mnioneshe mimi sijaona. Hivi hawa wana harakati walikuja kusikiliza kesi ya Lissu na hata watanzania tuliona pia walienda kusikiliza kesi hiyo hiyo wakaitwa wafanya fujo wengine...
  6. W

    Wanaharakati wa Kenya wanaishambulia Serikali yetu, Nasikitika kuona watanzania wengi wapo kimya, huu sio uzalendo, tuipende nchi yetu.

    Kwa jinsi wakenya wanavyoicharua Serikai yetu huko kwao ni sawa na mteja alieenda Kariakoo kafika Dukani, mwenye duka anamuangalia tu winga anavyomcharua bei mteja bila huruma, watanzania walio kimya hawana tofauti na mwenye duka. Sana sana unaowaona wanajibu mashambulizi ni wenye vyeo...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Musukuma: Wanaharakati wa Kenya na Uganda mliwarudisha wa nini? Wangepelekwa kulima mashambani

    Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma ameshangaa Mamlaka ya Uhamiaji kuwarudisha Wanaharakati wa Kenya na Uganga nchini kwao, amedai wangepelekwa kulima masmbani. Musukuma amesema vyombo vya ulinzi na usalama vinapaswa kuwashughulikia wanaharakati wa Kenya wanaokuja nchini kufanya majaribio...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Je, wanaharakati wa Kenya na nchi Jirani watakuja tena kwaajili ya Kesi ya Lisu ili kuzidi kuitia ndimu na kuchafua serikali ya Tanzania?

    Habari za Leo! Tunajua kilichowakuta awamu ya Kwanza. Bado tunaendelea kushuhudia vijana wa Kenya wakitoa sumu kwa Mamlaka ya Tanzania hasahasa kumshambulia Rais wetu. Swali, je wanaharakati hao wataendelea kuja kushuhudia kesi ya Lisu ili kuzidi kuiharibu taswira ya nchi yetu kimataifa...
  9. BLACK MOVEMENT

    Marekani imelaani sana kutekwa na kuteswa kwa wanaharakati wa Kenya na Uganda na baadae kutelekezwa. Wataka hatua zichukuliwe

    Mungu awabariki Wazungu wanatusaid8a sana kupamabana na hawa wakoloni weusi. Ukion hii ujue ni trela move kamili inaandaliwq,
  10. ngara23

    Jeshi la Polisi tokeni hadharani mjisafishe, kuhusu kuteka, kutesa na kutelekeza wanaharakati wa Kenya na Uganda

    Kuna habari zinaenea kuwa Jeshi la polisi liliwakamata, kuwatesa na baadaye kuwasafirisha Kwa njia ya barabara na kuwatekelekeza mipakani mwa nchi zao. Inasemekana Mwanaharakati wa Uganda aliteteswa na kutelekezwa mpakani km 30 kutoka border ya Mtukula pia Boniface Mwangi wa Kenya alitelekezwa...
  11. Stuxnet

    Kushambuliwa kimtandao (Cyberstrike) na kuzuiwa wanaharakati wa Kenya uwanja wa ndege; Watanzania tusimame pamoja

    Matukio mawaili makubwa wiki hili; kuzuiwa wanaharakati wa Kenya (Martha Karua et al) na kushambuliwa kwa akaunti nyeti za mitandao na ku kisha kuchapisha taarifa potofu. Sipendi dhulma na uonevu anaofanyiwa Tundu lakini pia ni utoto kuwapa airtime hawa Wakenya Madhaifu ya serikali ya CCM...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Ndumbaro ataja sababu kuzuiwa kwa Martha Karua kutoka Kenya, na wenzake

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro amesema mawakili kutoka Kenya waliozuiwa kuingia nchini kumtetea Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania. Ndumbaro ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Mei 20, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa...
  13. W

    PreGE2025 Seneta mmoja Kenya aunga mkono Rais Samia kuzuia wanaharakati wa Kenya

    Seneta mmoja nchini Kenya ameeleza kuunga mkono hatua ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwapiga marufuku wanaharakati kutoka Kenya. Samson Cherargei, seneta wa kaunti ya Nandi, anasema ni haki ya Rais Samia kuzuia watu wanaoingilia masuala ya nchi yake kutoka nje. "Namuunga mkono...
Back
Top Bottom