wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO KERO Ni kweli jeshi la polisi Bunda mjini mmeshindwa kudhibiti hili kundi linalodhalilisha kukaba, kuibia watoto, kinamama na wanafunzi?

    Naandika andiko hili nikiwa na uchungu sana na hili jambo.Awali hili kundi lilianza kimasihara tu kama vijana wanaojihusisha na uchezaji wa kamari wao kwa wao.Pengine baada ya kuona malengo yao hayafanikiwa wakabadili mtindo wa utafutaji wakaingia kwenye biashara ya kuuza dhahabu feki.Hili...
  2. Machafuko yazuka Nakuru, Wasichana watawanywa kwa mabomu, Serikali yakazia maadili

    Vurugu zimezuka katika Tamasha la Kitaifa la maigizo huko Nakuru nchini Kenya, baada ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Butere kukataa kucheza tamthilia yao ya kutatanisha "Echoes of War’’, mchezo ambao unaangazia mapambano ya Vijana kuhusu uhuru wa kiraia, utawala na haki ya...
  3. S

    Wanafunzi kusahihishiana mitihani shule ya msingi Kimandafu

    Kuna habari iliandikwa humu JF jana na mdau wa huu mtandao kuhusu wanafunzi kusahihisha mitihani ya wanafunzi wenzao. Habari ilihusu shule ya msingi Kimandafu. Kwanza naipongeza serikali yetu kwani kwa kweli ni sikivu sana, hongera serikali ya Samia Suluhu Hassan. Leo Asubuhi walifika wakaguzi...
  4. DOKEZO Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga (Dar) wanaenda na viroba shuleni kwa ajili ya kukalia kama mbadala wa dawati

    Kutokana na uhaba wa madarasa pamoja na madawati, Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga iliyopo katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (Ilala) wamekuwa wakilazimika kwenda na viroba shuleni kwa ajili ya kukalia. Kuna kipindi 'member' mmoja alileta uzi hapa jukwaani kuhusu miundombinu ya Shule...
  5. MOSHI:chakula cha wanafunzi chasombwa na magari kupelekwa shule,hii ni hatari

    Wazazi wa wanafunzi wanaosoma kwenye shule Moja ya mchepuo wa kiingereza iliyopo ndani ya manispaa ya Moshi (j'ina tunayo)wameingiwa na hofu kutokana na uongozi wa shule hiyo kuanzisha utaratibu wa kupika chakula cha mchana nje ya Shule hiyo na kukisomba kwa kutumia magari kupeleka shuleni hapo...
  6. M

    DOKEZO Majengo ya Skuli ya Msingi Mchangamdogo - Pemba yanahatarisha usalama wa Walimu na Wanafunzi

    Nimepita katika mitaa ya karibu na ndugu zangu, nilichokiona kilinipa masikitiko, kuna baadhi ya majengo la Skuli ya Msingi Mchangamdogo iliyopo Wilaya wa Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba sio salama kwa matumizi. Wazazi pamoja na Walimu wa skuli hiyo wamekuwa wakilalamikia juu ubovu wa madarasa ya...
  7. Mjadala Wenye Mapendekezo ya Uboreshaji wa Ufundishaji, Ujifunzaji na Uelewa wa Wanafunzi Wetu - Musoma Vijijini

    MUSOMA VIJIJINI, ELIMU: "THE DIALOGUE" - MJADALA WENYE MAPENDEKEZO YA UBORESHAJI WA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI NA UELEWA WA WANAFUNZI WETU Tarehe: 25 - 27 Machi 2025 Wataalamu: 1. Dr Zabron Kengera, UDSM 2. Dr George Kahangwa, UDSM 3. Mr Japhet Makongo, Ubunifu Associates Washiriki...
  8. KUNA MAONI GANI KUHUSU WANAFUNZI WA VETA KUPEWA MKOPO

    Mimi kwa mtazamo wangu wanafunzi wa VETA wapewe fedha za kujikimu na Ada pia . Wewe je?
  9. Kero ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi za afya, Ongezeni mikopo

    𝐒𝐚𝐥𝐚𝐦𝐮 𝐳𝐚 𝐡𝐞𝐬𝐡𝐢𝐦𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢 𝐰𝐨𝐭𝐞 𝕎𝕒𝕟𝕒𝕗𝕦𝕟𝕫𝕚 𝕨𝕖𝕟𝕘𝕚 𝕨𝕒 𝕞𝕨𝕒𝕜𝕒 𝕨𝕒 𝕜𝕨𝕒𝕟𝕫𝕒, 𝕙𝕒𝕤𝕒 𝕨𝕒𝕝𝕖 𝕨𝕒 𝕜𝕠𝕫𝕚 𝕫𝕒 𝕒𝕗𝕪𝕒, 𝕥𝕦𝕟𝕒𝕡𝕒𝕥𝕒 𝕔𝕙𝕒𝕟𝕘𝕒𝕞𝕠𝕥𝕠 𝕜𝕦𝕓𝕨𝕒 𝕜𝕒𝕥𝕚𝕜𝕒 𝕜𝕦𝕝𝕚𝕡𝕚𝕒 𝕒𝕕𝕒 𝕫𝕖𝕥𝕦. ℍ𝕚𝕚 𝕟𝕚 𝕜𝕨𝕒 𝕤𝕒𝕓𝕒𝕓𝕦 𝕞𝕚𝕜𝕠𝕡𝕠 𝕪𝕒 𝕤𝕖𝕣𝕚𝕜𝕒𝕝𝕚 𝕙𝕒𝕚𝕥𝕠𝕤𝕙𝕚 𝕜𝕦𝕗𝕚𝕕𝕚𝕒 𝕞𝕒𝕙𝕚𝕥𝕒𝕛𝕚 𝕪𝕠𝕥𝕖 𝕪𝕒 𝕖𝕝𝕚𝕞𝕦. ℍ𝕒𝕥𝕒 𝕥𝕦𝕟𝕒𝕡𝕠𝕡𝕠𝕜𝕖𝕒 𝕡𝕠𝕤𝕙𝕠 (𝕓𝕠𝕠𝕞), 𝕚𝕟𝕒𝕜𝕦𝕨𝕒 𝕙𝕒𝕚𝕥𝕠𝕤𝕙𝕚 𝕜𝕦𝕥𝕦𝕟𝕚𝕤𝕙𝕒 𝕞𝕒𝕙𝕚𝕥𝕒𝕛𝕚...
  10. SHULE NA WANAFUNZI BORA WATAMBULIWE NA WATANGAZWE

    Anayefanya vizuri lazima apongezwe na atambuliwe, haiwezekani mtoto amefanya vizuri mpaka kufikia kuwa Tanzania One lakini hatambuliwi na kupewa heshima yake, vilevile kwa shule zinazofanya vizuri zaidi. Kama kuna kasoro na mapungufu, mamlaka husika ziyafanyie kazi na sio kuondoa utaratibu wa...
  11. PreGE2025 Kagera: Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wamshukuru Rais Samia kutenga bilioni nne ujenzi shule ya wasichana

    Wakuu uchawa unapandikizwa kwa nguvu mpaka kwa wanafunzi, hizi kauli za mitano tena kwa hawa watoto na za kumezeshwa na watu wasiojitambua. ==== Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule za Sekondari za Kagera River na Kituntu Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera...
  12. Wanafunzi wa vyuo na application ya AI ya chatGPT! Watoto wetu siku hizi hawafikirii kabisa!

    Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
  13. A

    DOKEZO Kufelishwa kwa wanafunzi wa Utabibu TCOHAS - Tabora

    Wanafunzi wa chuo cha afya na sayansi shirikiri Tabora, wamekuwa wakipitia changamoto ya kupewa matokeo yasiyo sahihi kwa muda mrefu sasa, hali ambayo imepelekea wengine kupewa barua za kusitishiwa kuendelea na masomo (DICO), wakifuatilia matokeo yao wanaambiwa hawakufeli bali walikuwa na...
  14. Kitendo cha kugeuza elimu kuwa biashara, ni mateso kwa wazazi/walezi na wanafunzi.

    Asikwambie mtu watu wanataka A's na hela tu mengine mtajua wenyewe wazazi 1. watoto wanakalishwa madarasani kama wafungwa 2. wanakaririshwa midude hadi wanachanganyikiwa 3. watoto hawako huru, hawajifunzi vitu vya ziada nje ya masomo 4. wazazi wanteseka na ada ada ada hadi wanachanganyikiwa 5...
  15. Mwalimu Yufresh kipenzi cha wanafunzi

    Huyu jamaa kanikumbusha mbali mno. Tunahitaji waalimu kama hawa. Mwanafunzi haboreki na masomo. Anatamani kukuche aende shule. Big up kwake. https://youtube.com/shorts/smNPZVl8nGE?si=8C3e38CLNc5pW4Va
  16. Polisi watoa msaada kwa wanafunzi wenye ulemavu Arusha

    Jeshi la Polisi la Mkoa wa Arusha kupitia mtandao wa Polisi Wanawake limetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye ulemavu wanaosoma katika kituo cha Mafunzo kwa Watu wenye ulemavu kilichopo wilaya ya Arumeru mkoani humo. Mwenyekiti wa mtandao wa Polisi wanawake Mkoa wa Arusha (TPF NET)...
  17. Serikali imekamilisha ujenzi wa shule ya sekondari, Wanafunzi wamezeshwa script iliyowasaliti kumsifia Rais Samia

    Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya kata ya Hinju, halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, wameishukuru Serikali kwa kuwajengea shule ya kisasa ya kata, iliyogharimu zaidi ya shilingi Milioni 560. Kwa kipindi kirefu wanafunzi wa kata hiyo, wamepitia mateso ya kutembea umbali umrefu kwenda...
  18. Dodoma: Serikali ina mpango gani na shule hii chakavu, yenye mwalimu mmoja na wanafunzi zaidi ya 90?

    Wananchi wa kitongoji cha Kwaduria wilayani Chemba, mkoani Dodoma wamelazimika kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kunusuru watoto wao ambao wanatembea umbali wa km 8 kwenda shule ya msingi Songolo
  19. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa mafunzo ya uwekezaji kwa wanafunzi UDOM ili waweze kujiajiri. Mafunzo kama haya ni vema yaambatane na uweze

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Gilead John Teri, amewahimiza wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya biashara na uwekezaji ili waweze kujiajiri mapema hata kabla ya kuingia rasmi kwenye soko la ajira. Amesisitiza hayo Februari 28...
  20. Mtwara: Wanafunzi 74 wa shule mpya ya sekondari walazimika kuanza masomo bila sare ili kuendana na ratiba

    Uongozi wa shule ya sekondari ya Kiyanga halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, umelazimika kuanza masomo na wanafunzi 74 wa kidato cha kwanza wasiokuwa na sare, ili kuendana na ratiba za masomo. Mkuu wa shule hiyo Vagrey Kidava, amesema shule yao ni mpya na imefunguliwa Februari 10, 2025...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…