wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Ucheleweshaji wa mikopo ya pesa za kujikimu (boom) awamu ya nne kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikuu cha Dar es Salaam UDSM kampasi kuu ya mwalimu Nyerere Dsm. Kwasasa kuna changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za kujikimu (meals and accomodations) maarufu kama BOOM. Kwa kawaida pesa hii huingia baada ya wiki nne za...
  2. Wanafunzi waliomaliza form four watakuwa na uwezo wa kutumia excel kisawa sawa, graphics design na programming language zisizopungua 8

    Kwa wale watakaosoma shule za serikali moja ya mambo ambayo ntayatimiza kwa sababu yana-manufaa makubwa sana kwa nchi
  3. USA Inaondosha wanafunzi ambao ni wanaharakati hili ni somo kwa nchi zetu!

    Hakuna Taifa duniani linaweza kuwa kichaka cha kizazi cha wanaharakati lialia wanaotukana serikali au kuchukua misimamo na mirengo hatari kwa usalama. Hii ndio demokrasia.
  4. Wanafunzi waliofeli form four na kupata div 4 na Zero watapewa nafasi ya kwenda VETA

    Nikiwa Rais wanafunzi wa form four waliopata div 4 na zero wataenda VETA kwa udhamini wa serikali, na watapata ujuzi ambao anagalau utawasaidia kwenye maisha yao Vyuo vya veta vitaboreshwa na kuwa vya kisasa na maabara za veta zitaboreshwa maradufu ili wahitimu wakitoka wawe compentent
  5. Msomi Unapataje Muda wa Kulumbana na Wanasiasa? Heche Yuko Sahihi. Tunazalisha Mabingwa wa Kukariri

    Kauli ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania kuzalisha "mabingwa wa kukariri" badala ya wasomi halisi ni ukweli usiyo namashaka. Vijana machawa walijikusanya na kutoa majibu kwa kauli hiyo, wakidai kuwa amekosea na kuidhalilisha Elimu ya Tanganyika. Na...
  6. Msemo usemao 'Christopher Columbus aligundua Amerika'ufutwe mara Moja na usitumika wakati wa kuwafundisha wanafunzi wa Tanzania

    Kwa miaka mingi tumekuwa tukiwatukuza wazungu kwa vitu vya ajabu ambavyo ukikaa na kutafakari utagundua kuwa na upuuzi mtupu. Mi huwa najiuliza kuwa Columbus alipoenda America hakukuta watu? Kama alikuta watu kwa nini tumwite mgundizi wa America wakati hata wale aliowakuta hawajawahi kudiriki...
  7. Walimu wa Sekondari wamegeuka Ma-Predator. Wanafunzi wanawatesa kimyakimya!

    Bro, let’s keep it real – haya mambo yamefika pabaya. Sio stori mpya tena, ni daily routine kwenye shule nyingi za sekondari. Hawa ma-teacher wa siku hizi, especially wale fresh kutoka college wenye swagga za “boss,” wamegeuka wanaume wa mtaani ndani ya staffroom. Badala ya kufocus kwenye books...
  8. Wanafunzi Kitongoji cha Iyozu (Chato) wanatumia mitumbwi kwenda Shule, wakishuka wanatembea Kilometa 4, hali hiyo imedumu kwa Miaka 10

    Wanafunzi wa Kitongoji cha Iyozu, Kata ya Muungano Wilayani Chato Mkoani Geita wanalazimika kutumia mitumbwi kutoka kwenye makazi yao kwenda shuleni kutokana na mvua kubwa zilizonyesha miaka 13 iliyopita kukata mawasiliano ya kitongoji hicho kwenda kwenye Kijiji cha Rubambangwe. Inaelezwa...
  9. Kuna video inatrendi mtandaoni ya wanafunzi wa like wakiwa na vibe la hatari na mwingine kifua wazi:Kifungo cha miaka 30 kiangaliwe upya

    Hii video inaonenya ni moja ya shule mojawapo hapa Tanzania kwa sababu eneo walilokuwa kwa juu limeandikwa "Samia Suluhu Hassani Domitory Hawa ndo Taifa la leo na la kesho wanacheza wakionesha maungo yao na kujidhalilisha Tunamtaka Waziri Gwajima atoe tamko hii ni shule gani na hatua gani za...
  10. PreGE2025 Serikali yajipanga kuongeza mikopo ya wanafunzi wa stashahada

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali imejipanga kuongeza wigo wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati vinavyotoa stashahada lengo ni kuongeza idadi ya wataalamu. Utoaji wa mikopo katika ngazi za stashahada kwa wanafunzi wa ngazi hiyo ya elimu...
  11. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aniny Nndumi watamani kuwa kama Mizengo Pinda

    UKIMUULIZA mwanafunzi wa shule yoyote ya msingi kwamba ndoto yake anataka kuwa nani, atakutajia vyeo na kazi anazoamini kuwa nzuri, lakini hata kuambia anataka kuwa mkulima. Mtazamo hasa kuhusu kilimo, ndio umesababisha hadi leo sekta hiyo kuonekana ya watu wa chini, wanaoishi vijijini na...
  12. B

    Nasikia Tusiime imebaki na wanafunzi mia mbili? Ni kweli?

    Kutoka wanafunzi elfu tano hadi mia mbili? Ni kwamba wazazi wame zikubali kampeni za LIKUD na kurudisha watoto wao Kayumba ama?
  13. Wanafunzi wa vyuo waliodhalilishana wameudhihirishia umma kuwa elimu ya VETA ni muhimu kuliko elimu ya Chuo Kikuu.

    Ukweli mchungu! Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko. Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa. Wakirudi majumbani...
  14. Uzi maalumu kuelekea mtihani wa kidato cha nne, Maswali na majibu pamoja na Solving karibu tujiandae pamoja

    Wakuu habari , thread hii nimeanzisha makusudi kwa lengo la kusaidia walimu na wanafunzi wa kidato cha nne ambao wanajiandaa na mtihani wa TAIFA (NECTA). Here we go!. Mimi nitatoa hints au vidokezo katika masomo yafuatayo. Civics History English Kiswahili Karibu Sana , tuwasaidie vijana...
  15. Wanafunzi wa chuo kikuu wapigana kisa mme wa mtu, hawaoni umuhimu wa elimu kuwatoa kimaisha wanaamini katika ukahaba

    Malezi ya watoto wa sikuhizi bana ni hatari sana, ukisikia mzazi ameuza ng'ombe akampeleka ng'ombe shule ndio huku, nyie wazazi huruma sio malezi, sisi watoto wa 80's ukimzingua mzazi atakupa mijeredi mpaka ushangae.. Nimeona video wanafunzi wa chuo kikuu kinachoaminika kwa kutoa elimu Bora...
  16. Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) Yakabidhi Sanitary Pads 350 kwa Wanafunzi wa Kike

    Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) leo tarehe 18 Aprili, 2025 imekabidhi Taulo za Kike (Sanitary Pads) 350 kwa Wasichana walio katika mazingira magumu nyakati za hedhi husababisha changamoto kubwa kwa wasichana kuhudhuria masomo...
  17. T

    ChatGPT ameshindwa hili swali: Tuwaone wanafunzi wa siku hizi mnaweza ?

    An irregular hexagon with all sides of equal length is placed inside a square of side length 1, as shown below (not to scale). What is the length of one of the hexagon sides?
  18. Je, Ni Lazima Utumie SPSS Katika Kila Aina ya research unayoifanya?

    Habari yako mwana JF, natumai umzima. Siku ya leo nimekuandalia thread nyingine inayohusu mambo ya research na leo tutaangalia kitu kinaitwa obsession ambayo imefocus na matumizi ya SPSS kuhusu kuanalyse data Je ni lazima utumie SPSS kwenye kila aina ya research unayoifanya? Twende...
  19. A

    KERO UDSM main campus kuwanyima haki wanafunzi wanaovaa kofia za cap kutumia baadhi ya huduma

    Imekuwa ni kawaida kwa walinzi kuwalazimisha wanafunzi kuvua kofia za cap wanapoingia library au sehemu za maofisi, huu ni unyanyasaji dhahiri kwa watanzania ambao wanatumia uhuru wao wa kuvaa kunyimwa haki ya kutumia maeneo muhimu ya kujifunza na kujifunzia. Sababu ya msingi kwanini wanazuiliwa...
  20. Nakumbuka miaka ya 2000 uraibu kwa njia hii ulishika kasi sana na ilikuwa wazi wazi

    Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER". Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…