wanafunzi wa chuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    DOKEZO Wanafunzi wa chuo kilichofungiwa Mwanza ‘walia’ ada zao kuzuiliwa

    WANAFUNZI 33 wa udaktari wa binadamu waliohamishwa na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) kutoka Chuo Kikuu cha Mwanza (MzU) kwenda Chuo Kikuu cha Katoliki cha Sayansi na Afya Shirikishi (CUHAS), wameiomba serikali kuingilia kati ili kupatikana ada zao Sh. Milioni 73 zilizozuiwa na chuo hicho. Wanafunzi...
  2. Kipenzi Changu

    Dress Code ya wanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma kwanini isiigwe?

    Mwaka jana nilimtimua ofisini binti wa field aliyekuja na sketi fupi iliyokuwa inabada mpaka mistari ya chupi zake zinaonekana. Nikamwambia akabadilishe ndio arudi ofisini. Januari nilienda ofisi moja ya umma kufanya kazi, moja ya afisa aliyetuletea nyaraka alikuwa amevaa jinsi ya kubana mpaka...
  3. Genius Man

    Tetesi: Siri zimevuja kuna wimbi la account fake mpya za wanafunzi wa chuo mitaondoni lazima tujiulize hivi kweli tumefika hapa sisi ?

    :
  4. A

    KERO Wanafunzi wa Chuo Cha SAUT tumenyimwa ID ya special semester ya kwanza licha ya kumaliza ada kwa muhula wa kwanza

    Baada ya kutamatika kwa muhula wa pili wa masomo kwa chuo kiukuu cha SAUT utaratibu huwa ni mtihan ya Special na supplementary za semester ya kwanza kufanyika. Kwa ratiba ya chuo kuku cha SAUT mitihan imeanza kufanyika tarehe 12 /08 2025 na inatarajiwa kutamatika tarehe 19/08/2025 lakini...
  5. Think2

    Kwa degree hizi za chatgAI kuna watu huko kazini watashindwa kuoperate mashine

    Just image miaka yote ya chuo wanafunzi au mwanafunzi anatumia chagAI kujibu assignment hajawahi ata siku moja kushughulisha akili yake kusoma vitabu library hio degree itakayokuja kuzalishwa hapo asee 😁😁 sijui tu. Hakuna kuingia library watu ni copy na paste reference ni google basi Waajir...
  6. Just Pray

    PreGE2025 Mwanafunzi UDSM: Wabunge wanawaza kurudi 2030 sio kujenga taifa

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Angasi Robert Okechi, amesema kuwa katika nchi zilizoendelea, Bunge ni mahali pa watu wenye upeo mkubwa wa fikra na maarifa, ambapo wabunge hukutana kuandaa mipango mikakati ya maendeleo ya muda mrefu kwa manufaa ya taifa. Akizungumza leo Juni...
  7. Torra Siabba

    DOKEZO Uongozi wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika, unatuvuruga baadhi ya Wanafunzi, wanadai tumelipa fedha “hewa”

    Sisi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Sayansi ya Data kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika. Tunaomba msaada wa haraka kuhusu changamoto kubwa ya fedha zilizokwisha lipwa na bado tuanendelea kutozwa kila mwaka wa masomo lakini huduma zake hazikutolewa kama inavyotakiwa...
  8. Just Pray

    Aliyemshambulia mwenzie kisa Mwijaku akosa dhamana, atupwa mahabusu

    Mmoja kati ya wanafunzi watatu kutoka vyuo vikuu tofauti tofauti jijini Dar es Salaam, waliodaiwa kumshambulia mwenzao wakimgombania msanii na mtangazaji wa vipindi vya redio, Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku, ameswekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana katika kesi ya jinai inayomkabili na...
  9. A

    KERO Ucheleweshaji wa mikopo ya pesa za kujikimu (boom) awamu ya nne kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikuu cha Dar es Salaam UDSM kampasi kuu ya mwalimu Nyerere Dsm. Kwasasa kuna changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za kujikimu (meals and accomodations) maarufu kama BOOM. Kwa kawaida pesa hii huingia baada ya wiki nne za...
  10. Waufukweni

    Mbunge ataka Mwijaku anyang'anywe Ubalozi kwenye taasisi zote kisa Binti wa Chuo kudhalilishana

    Akichangia Bungeni leo Mei 13, Jijini Dodoma Mbunge Dr. Thea Medard Ntara Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Vyuo na Vyuo Vikuu ametaka Mwijaku anyang'anywe Ubalozi kwenye taasisi zote kisa sakata la Wanafunzi wa Kike wa Chuo kudhalilishana wakimgombania. Pia, Soma Wanafunzi wa chuo kikuu...
  11. Right Marker

    Wanafunzi wa vyuo waliodhalilishana wameudhihirishia umma kuwa elimu ya VETA ni muhimu kuliko elimu ya Chuo Kikuu.

    Ukweli mchungu! Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko. Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa. Wakirudi majumbani...
  12. Prakatatumba abaabaabaa

    Wanafunzi wa chuo kikuu wapigana kisa mme wa mtu, hawaoni umuhimu wa elimu kuwatoa kimaisha wanaamini katika ukahaba

    Malezi ya watoto wa sikuhizi bana ni hatari sana, ukisikia mzazi ameuza ng'ombe akampeleka ng'ombe shule ndio huku, nyie wazazi huruma sio malezi, sisi watoto wa 80's ukimzingua mzazi atakupa mijeredi mpaka ushangae.. Nimeona video wanafunzi wa chuo kikuu kinachoaminika kwa kutoa elimu Bora...
  13. FestoKaguo

    Je, Ni Lazima Utumie SPSS Katika Kila Aina ya research unayoifanya?

    Habari yako mwana JF, natumai umzima. Siku ya leo nimekuandalia thread nyingine inayohusu mambo ya research na leo tutaangalia kitu kinaitwa obsession ambayo imefocus na matumizi ya SPSS kuhusu kuanalyse data Je ni lazima utumie SPSS kwenye kila aina ya research unayoifanya? Twende...
  14. SIPENDI SIASA

    Uliwezaje kuishi na wababa au wamama waliotokea kazini kuja kujiendeleza kimasomo chuo?

    (1) Kuna rafiki yangu yeye aliambukizwa "ngoma" na mmama (cashier wa bank fulani) aliyekuja kujiendeleza. Jamaa sasa hivi ni mwendi wa ARVs. Sad indeed. (2) Kuna sister mmoja agemate yeye alisaidiwa connection mwaka 2012 akaingia Polisi. (3) Kuna braza mmoja alitokea NMB yeye alikuja...
  15. N

    KERO Responded Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC) hatujapata malipo ya Fedha za Kujikimu wiki ya tatu sasa

    Mimi ni mmoja wa Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC), tumepokea Disbursement ya Boom na Tuition Fee tangu Desemba 6, 2024. Mpaka hivi sasa (leo Desemba 30, 2024) tumepewa cheque No ya Tuition Fee imepita wiki mbili (02) lakini hadi hivi sasa hatujawekewa Cheque No ya Boom...
  16. Lycaon pictus

    Nyerere na Wanafunzi wa Chuo Kikuu waliopinga kwenda JKT.

    Hotuba hii ilitolewa kama kijitabu TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO. Unaweza kukisoma bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Inapatikana playstore. Oktoba 23, 1966. Wananchi, Jana tumefukuza wanafunzi wapatao 393 kutoka katika vyuo mbali mbali vya Dar es Salaam baada ya maandamano yao ya...
  17. K

    KERO Ucheleweshwaji wa malipo ya 'Booms' unakwamisha shughuli za Wanafunzi wa Chuo

    Bodi ya Mkopo Heslb inatupa wakati mgumu sana hasa wanafunzi tunaotokea familia ya vipato vya chini, maana wanafanya kazi kama wanavyojisikia wao Bali si kama wajibu wao wanafunzi tunalala njaa hatuna pesa. Lakini pia kupata allocation inafanyika mapema lakini sasa pesa ya kujikimu inakuwa...
  18. N

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Wafurahia Uwepo wa Coca-Cola Kwenye Tamasha la Hot Rhythm Music Festival

    Dar es Salaam - Tamasha la Hot Rhythm Music Festival lililofanyika katika Hostel za Mabibo siku ya jumamosi jijini Dar es Salaam, liliwaleta pamoja wanafunzi wa Chuo Kikuu kwa ajili ya kusherehekea muziki na burudani huku wakipata ladha safi ya vinywaji vya Coca-Cola. Tamasha hilo lilivutia...
  19. TUKANA UONE

    Nataka nijenge hostel kwa ajili ya wanafunzi wa chuo wakae bure miaka 2 ya masomo yao, mwaka 3 watalipia bei chee!

    Wa- mbulu na Wa -iraki wote ni ndugu! Wakuu naomba mniombee sana Mungu anipatie uhai hadi mwakani! Ndoto yangu ni kuwasaidia Watanzania (Hasa Vijana wenzangu) na Taifa Kwa Ujumla.Nimekaa nikiangalia namna Vijana wadogo waliopangiwa Kusoma vyuo hapa Dar es salaam namna wanavyopata taabu kupata...
  20. Darkish

    KIWANDA KILICHOTOKANA NA WANAFUNZI WA CHUO HUKO UGANDA

    Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuposti thread nikihoji kwa nini wanazuoni wetu UDSM mtaala wa Uhandisi (Mechanical Engineering) hawajiongezi na kuunda hata mfano wa gari. Majibu niliopata toka kwa wanazuoni hao, mimi mwenyewe nilikoma kuendelea na hiyo hoja. Sasa angalia wanafunzi wa...
Back
Top Bottom