Nakumbuka wakati wa Hayati Magufuli hata hapa mtandaoni kulikuwepo na watu ambao walikuwa wanapongeza hata mambo mabaya.
Wadau wengine walikuwa hata wakisema watu wanaopinga serikali wanajiteka, wengine walijiaminisha tu kipambe kwamba Corona itapiga nchi nyingine zote lakini haitaingia kwenye...