Zanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Jamhuri
Moja ya jambo la hatari Kwa taifa ni kuruhusu masharti ya kidini kuingizwa na KUSIMAMIA Kwa watu wote wa Jamhuri ya TANZANIA
Nakemea vikali unafiki wa viongozi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufumbia macho masharti ya kidini kutekelezwa Kwa watu...
Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki
Ni nani asiyejua kuwa bara la Ulaya ndilo lililoitesa sana Afrika enzi za Ukoloni
Waafrika waliuzwa kama njugu
Fedha walizouzwa Waafrika...
Nimefuatilia kwa makini haya madhehebu ya dini nimebaini kumbe roman Catholic ndio haswaa wanao uishi ukristo kwa vitendo hawa sio wanafiki wanasimama na kweli daima nadhan hawa ni wakuwafuata pasi na shaka, hawa wamesimama na wananchi kabisa na huo ndio ukristo safi
Nimewadharau sana KKKT...
Hapo ndipo utajua watoto wa nje wa baba na wale wanaosadikika kuwa ni wake kwa maana baba alipita na mke wa mtu,
Utawajua wadeni wake kila mara wanakuwa karibu na mke wake au kaka zake marehemu,
michepuko yake inakuwa around kama wataweza kugawiwa chochote.
Kuna wale speculators: wanaomchukia...
Hivi karibuni mashabiki wa ile timu ya Manzoki na Mzee Rage walikua wanapigania haki ya Mzize aende nje akajitafutie maisha kwamba timu yake ina roho mbaya ajabu ni kwamba timu yao imemsajiri Salim Mwalimu kutoka Wydad aje huku alipo Mzize, hii ina maana Mwalimu hana future au mapenzi yao kwa...
Baada ya hapo jana Askofu Gwajima kutoa ushauri na maoni juu ya mambo mbali mbali yanayoendelea nchini, wameibuka wanafiki machawa na wasema ovyo humu Jf kutaka kuushawishi umma kuwa katika hoja za Gwajima kuna ukabila na udini.
Jambo hili ni hatari na baya mno kwa amani, umoja na Mshikamano...
Watu hao ambao baadhi yao wanajinasibisha kuwa wanachama wa CCM ni wanafiki na wazandiki wakubwa, vinywa vyao vinatema sumu kwa lengo la kuwavuruga wananchama na wapenzi wa CCM.
Sisi raia ambao tunaamini kuwa UHAI wa taifa letu upo mikononi mwa Chama cha CCM hatuna shaka wala wasiwasi kuwa CCM...
Nawaza kama pole pole akiacha kuongea kwa zaidi ya miaka kumi akiwa kwenye mashimo yake aliyojificha, wahuni wenzake watazusha katekwa. Kumbe kakaa kimya tu.
Ni sawa na panya, anaishi kwenye mashimo, mvua ikinyesha maji yakajaa kwenye mashimo, ndio kwisha habari yake
Manji alipotaka kuikodisha Yanga kwa miaka 10 mlimgeuka Mzee wa watu mchana kweupe",
Simba nao wameanza kuonesha dalili za kumkana Hadharani Mo kisa kaawambia Mmetumia Billion 87 zake😂😂😂
acheni Unafiki Kama hamuwataki muwe mnawakataa mapema
Siandiki mengi.
Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa.
Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru.
Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU.
Baadhi ya...
Aman iwe nanyi
Mwaka huu 2025 ni mwaka wa Uchaguzi. Kama tunavyojua hiki kilikua kipindi ambacho Hayati Magufuli ikiwa angekuwepo angekabidhi kijiti kwa Rais mwingine ambaye ndo angekua Rais wa Awamu ya Sita, yakatokea yaliyotokea Mzee wa Watu mwili ukarudi katika mavumbi, mwili ukarudi katika...
Utawala mpya wa Marekani umeshtuka kwamba hawawezi tena vita vya ana kwa ana na mataifa mengine ndio maana kwa sasa imeamua kupigana nyuma ya mataifa madogo kama Ukraine na Israel
Kwa upande wa Saudia ndio kabisa amekuwa kibaraka ovyo ma mataifa ya kibeberru kwa kuchukua majukumu ya kikuwadi...
Jana, kupitia mitandao mbalimbali, tumemsikia mbunge wa Zanzibar akiwaita wananchi ni Kenge. Yaani mtu ambaye upeo wake ni duni, elimu yake ya kubabaisha, mtu mwongo aliyelidanganya bunge kuwa ana diploma, kumbe hata form 4 tu aliimaliza kwa shida, anawaita watanzania Kenge.
Hana uelewa wala...
Sheikh Kishki amewachana Waislamu hasa masheikh kwa unafiki wao
Anasema kazi yao ni kusubiri maskofu waseme jambo nao waingilie kupambana na maskofu. Kwamba masheikh ni wanafiki badala ya wao kuungana dhidi ya dhuluma wanayofanyiwa waislamu badala yake wanaingilia harakati za maskofu kutetea...
Amani haipotei kwa siku tendo la siku moja bali ni malimbikizo ya mambo mengi kwa muda mrefu.
Siku zote, wananchi wa kawaida huwa siyo wasababishi wa kupotea kwa amani. Kila mahali ambapo amani ilipotea, wasababishi wakubwa huwa ni watawala au watawala waliofarakana. Ni vigumu sana mwananchi...
TFF imeipa onyo kali klabu ya Yanga kutokana na kitendo cha viongozi wake akiwemo Rais wake Hersi Said kuingia uwanjani na kupiga zogo na wachezaji wa Singida Black Stars baada ya mechi iliyochezwa hivi karibuni baina ya timu hizo mbili.
Kitendo hicho kilichofanywa na viongozi hao wa Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.