wanafamilia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanafamilia wamenitoa, naona wameazimia kunitenga

    Ndiyo group pekee ambalo wameweka kukaa nami miezi miwili. Wamejitahidi sana ila nadhani wamefikia hatua wameshindwa Mimi mwenzenu haya magroup ya whatsapp huwa simalizi week moja. Wanani remove. Sijui wana matatizo gani? Admins wote wanafanana akili. Mjadala ulianza last week kuhusu msiba wa...
  2. Ushuhuda: Nani aliwahi kuona mtu aliyeuza ardhi ya ukoo baada ya kugawana wanafamilia alifanya maendeleo?

    Habari wanajf, binafsi nimekuwa na maswali mengi nikijiuliza nmeshuhudia watu wengi wanaouza maeneo baada ya kugawana aidha Mara baada ya wazazi wao kufariki huwa hawafanyi chochote. Jamani Nani amewahi ona tofauti na Mimi kwamba mtu kauza ardhi iliyokuwa ya baba yake kajenga nyumba nzuri?
  3. Kenya: Mwanahabari atoa wito wa Wafungwa kuruhusiwa kuhudhuria Mazishi ya Wanafamilia

    Mwanahabari Moses Dola amewasilisha ombi mbele ya Mahakama ya Sheria ya Milimani la kutaka amri ya kuwaruhusu Wafungwa kuhudhuria mazishi ya wapendwa wao Katika Ombi hilo, Mwandishi huyo ambaye anatumikia kifungo gerezani amesema iwapo kutakuwa na Miongozo na Taratibu zinazoeleweka, basi...
  4. Kwanini ukioa mwarabu/ mhindi inakuwa ngumu kwa wanafamilia wa upande wa waarabu/ wahindi kujenga undugu upande wa mme wa binti yao?

    Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa. hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi...
  5. P

    Nafurahi Sana kuwa miongoni mwa wanafamilia wa hili jukwaa!

    Wasalaam wanajukwaa! Nimekuwa msomaji mkubwa katika hili jukwaa, Ila nimeona ni vema nikawa Mwanafamilia mwenzenu Rasmi. Naombeni ushirikiano. Natanguliza shukurani!!
  6. Kassim Majaliwa: Wanaopinga chanjo ni wale ambao hawajaguswa na corona kwenye familia

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wanaopinga chanjo ya #COVID19 hawajaguswa na virusi hivyo katika familia zao, wakiguswa watatafuta chanjo. Amesisitiza chanjo sio lazima lakini ni muhimu. Wataalamu waliotumika kuchunguza chanjo ni wataalamu wa ndani ambao hawawezi kutaka kuwauza watu wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…