wana

The Middle East and North Africa (MENA), also referred to as West Asia and North Africa (WANA) or South West Asia and North Africa (SWANA), is a geographic region which comprises the Middle East (also called West Asia) and North Africa together. It exists as an alternative to the concept of the Greater Middle East, which comprises the bulk of the Muslim world. The region has no standardized definition and groupings may vary, but the term typically includes countries like Algeria, Bahrain, Egypt, Iraq, Israel, Jordan, Kuwait, Lebanon, Libya, Morocco, Oman, Palestine, Qatar, Saudi Arabia, Syria, Tunisia, the United Arab Emirates, and Yemen.
As a regional identifier, the term "MENA" is often used in academia, military planning, disaster relief, media planning (as a broadcast region), and business writing. Moreover, it shares a number of cultural, economic, and environmental similarities across the countries that it spans; for example, some of the most extreme impacts of climate change will be felt in MENA.
Some related terms have a wider definition than MENA, such as MENASA (lit. 'Middle East and North Africa and South Asia') or MENAP (lit. 'Middle East and North Africa and Afghanistan and Pakistan'). The term MENAT explicitly includes Turkey, which is usually excluded from some MENA definitions, even though Turkey is almost always considered part of the Middle East proper. Ultimately, MENA can be considered as a grouping scheme that brings together most of the Arab League and variously includes their neighbors, like Iran, Turkey, Israel, Cyprus, the Caucasian countries, Afghanistan, Pakistan, Malta, and a few others.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali inakataa uraia pacha ila cha kushangaza watoto wao na wasio watanzania ni raia pacha na wana passport kuanzia tatu na kuendelea.

    Tukisema mnasema wivu. Waarabu na wahindi hapa tanzania wanaongoza kuwa na utambulisho wa uraia kuanzia kwao na popote. Uhamiaji hapo ni pesa yako ila na shangaa kila kukicha wana dili na warundi ambao maskini wa kutupa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msishangie kila kitu wana CCM . Kuna mpango wa kuvunja mihula kunufaisha wachache. Woga wenu mtaishia pabaya

    Sio kila kitu cha kushangilia wapambe wa Mama wale wale walio mwondoa Nchimbi sasa wameanza taratibu za kutaka kumuongezea muda baada ya 2030. Kwa ufupi wanachama wote wa CCM sasa hawana nguvu hata ya kuongea wamekuwa machawa tu. Kitakachotokea kwaababu ni kwamba humo humo watamaliza Mama na...
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa wana Majukumu gani mpaka Mawaziri wagawiwe Mikoa?

    Leo nimeona yule Kiranja wa mambo ya "Viburudisho" yupo kwenye Sato na Sangara akitoa maagizo lukuki kuhusu maendeleo ya eneo hilo. Nimepata shida sana kuelewa job descriptions za Mawaziri na Wakuu wa Mikoa. Ina maana kuwa Wakuu wa Mikoa wameshindwa kusomamia maeneo yao mpaka Mawaziri wagawiwe...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna nchi ya Kiislamu ambayo raia wasio Waislamu wana haki sawa na Waislamu?

    Kuna madai kwamba hakuna nchi ya Kiislamu ambayo raia wasio Waislamu na Waislamu wana haki sawa katika taifa. Kwa namna hii dini haiwi ni chombo cha kuleta ubaguzi na madaraja? Je hii ni sahihi?
  5. JamiiForums Tanzania Video: Ukimsikiliza Lissu alipokuwa bungeni halafu ukisoma nyuzi za machawa humu JF utagundua, Machawa kuna namna fulani wana laana

    https://www.tiktok.com/@emmanoeli3/video/7681738572277288210?_r=1&u_code=e0hkf9aj984902&preview_pb=0&sharer_language=en&_d=dmbi6bhhk236d0&share_item_id=7681738572277288210&source=h5_m&timestamp=1791747785&user_id=7073563122229298182&sec_user_id=MS4wLjABAAAAUJa_GofDENFj0b3t4zylnDgbbtbouvSMjso0y1zh...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Maombi yenu wana JF

    Baada ya kushiriki vita ya Kongo.. Hatimaye nimefanyiwa operation na nimekatwa nyayo za miguu yote miwili... Namuomba mungu anisaidie nipone haraka!
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania wana upendo sana isipokuwa wachawi wachache wa JF, TUKAPIGE KURA JAMANI

  8. J

    JamiiForums Tanzania Wana wa manabii ni akina nani

    Wana wa manabii ni akina nani Katika biblia tunasoma sehemu kadha wa kadha zikiwataja “wana wa manabii”. Katika Agano la Kale, lilikuwepo kundi la watu waliojulikana kama Wana wa Manabii (1Wafalme 20:35, 2Wafalme 2:5, 2Wafalme 4:1, 2Wafalme 6:1). Watu hawa walikuwa ni manabii wa Mungu, ambao...
  9. JamiiForums Tanzania Na nyinyi wana JF mpige kura, hili ni suala la Kitaifa. Tanzania Kwanza

  10. JamiiForums Tanzania Tafiti; 90% ya waJF wana maisha mazuri sio njaa kali.

    Utafiti unaonyesha 90% ya members wa Jf wana good life sio njaa kali.. Wengi wako uchumi wa juu na wachache uchumi wa kati.
  11. JamiiForums Tanzania Katiba na Sheria za Nchi hii zikibadilishwa/kufanyiwa mabadiliko msitegemee familia za wana ccm kua Tanzania.

    Kama na wewe hua ni wale wanaosema kua lema kaficha familia yake Canada, mara watoto wa Lissu wapo Marekani... Unataka kuandamana utakufa wenzio familia zao zipo nje. Sikia nikwambie siku sheria zikifanyiwa mabadiliko, katiba ikawa na nguvu kiongozi mkuu wa nchi akaweza kushitakiwa, na mihili...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kutokana na wanawake wa kaskazini kupenda Sana Pesa sikujua kama Wana nyege nyingi kiasi hiki.

    Declaration of Interest: Nimeona wanawake wawili kutoka Kaskazini. Twende kwenye Mada sasa, aisee hii ni balaa, zamani nilikuwa nilikutana na single Maza kutoka Kaskazini najua ni kwa sababu anapenda hela hivyo Wanaume wanapiga na kusepa. Nilishtuka mara ya kwanza Mtoto kutoka Rombo...
  13. JamiiForums Tanzania Je ushawahi kufikiria kuwa katika hii dunia kuna watu wana vibali automatically na kuna wale wengine hata ulie vipi tabu ndio ujira wako hadi kifo?

    Kuna mtu unakuta matendo anayofanya na kero anazo fanyia wengine ni sawa sawa na giza lakini mtu huyo huyo hayampati magumu yoyote na kila analogusa linageuka kuwa dhahabu. Alafu kuna yule ambaye atasali sanaaaa, atalia sanaa na atapambana sana lakini magonjwa, majanga, vifo na aibu ndio...
  14. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa asilimia kubwa Watanzania wana roho za kichawi

    Kila nikiwaza, nabaki kusikitika tu. Uongozi wa Magufuli, ambao aliuita serikali yake “serikali ya viwanda”, tangu alipofariki hakuna hata media moja kati ya zile zilizokuwa zikimpigia promo na kuitakasa serikali yake inayoweza kukuonyesha hata viwanda vitano tu vya enzi ya Magufuli. Wananchi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Misri wana mvua chache sana ila wana pesa nyingi kuizidi Tanzania. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE l??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Misri hawana mvua ila wana pesa nyingi kutuzidi. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria na sisi (Tanzania) tuwape maji ya ziwa Victoria kwa maana tuna pesa kidogo ila mvua ni nyingi sana??
  17. JamiiForums Tanzania Sijawahi kumwandikia mtu humu uzi wa kumdhalilisha na kusambaza maneno machafu

    Kuna watu wajinga kwenye hili jukwaa wanamazoea ya kipumbavu. Sijawahi kumwandikia mtu humu uzi wa kumdhalilisha na kusambaza maneno machafu. Sasa nimeona kuna wimbi la watu wajinga wanaosambaza upuuzi na kuleta visa na stori kunihusu wakati hawanijui. Sasa uwe mwanzo na mwisho, na nyie mods...
  18. JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza the likes ya watu kama aunty, gigi, wolper, uwoya, etc wanatoa wapi pesa hadi wana push magari ya 100m+

    Mbona sanaa yenyewe wanayofanya na brand deals sio ya vipato vya kushtua. Anyway, ngoja nimalizie kufua soksi za shemeji alafu nije nisome comments
  19. JamiiForums Tanzania 2030 Wakatoliki wana mgombea gani ndani ya CCM? Kafulila atatosha ?

    Mwaka 2030 sio mbali sana na kwa Hali ilivyo kama CCM hakitagawanyika na kusambaratika uhalisia mchungu ni wao kuendelea kutawala kupitia chaguzi za hadaa na nguvu ya vyombo vya dola. Tunachotakiwa kama raia wa nchi hii ni kuchagiza walete angalau wagombea wenye nafuu wenye akili na haya kiasi...
  20. JamiiForums Tanzania Maskini hawana kazi ya kufanya, ndio wanaojifanya wana uchungu na ushoga. Ndio wanaompa airtime Dudubaya

    Let's say Juma na Salum wanafanya mapenzi wao kwa wao wewe ambaye hufanyi inakuuma nini? Unaathirika vipi? Biashara zako na kazi zako haziendi kwakuwa kuna wanaume 2 Dar wanageuzana? Maskini hajui Sheria wala haki zake na za watu wengine. Watu walioendelea huko USA na kwingineko wameona ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…