Namnukuu mchungaji aliyekuwa akihubiri kanisani leo mchana, "Tuko mbele 'zako' baba wa mbinguni".
Hivi mungu ana mbele ngapi? ni 'mbele zako' au 'mbele yako'.
Hebu tuwekane sawa maana mungu anaweza akawa na mbele zaidi ya Moja kwa sababu mara zote walokole wamekuwa wakisema "mbele za mungu"...
Imekuwa kawaida sana kusikia migogoro, ubadhilifu wa fedha na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya taasisi za kidini. Lakini ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema hadharani ni kwamba baadhi ya taasisi hizi zimegeuka kuwa vijiwe vya kunufaisha wachache chini ya mwavuli wa imani.
Kwa upande wa...
Awali ya yote Lissu sio Muhaini.
Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina.
Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga.
Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani...
UKISEMA wewe ni mkristo utaulizwa ,dhehebu gani?Hapa Kuna Wakatoliki (mama wa dini zote),Kuna waprotestanti (Lutheran, Anglican, n.k.) ,Kuna Wasabato , Jehovah witness, latter day saints,Kuna madhehebu mengine chungu nzima.Kuna wapentecoste hawa ndiyo wanajulikana hapa Tanzania kama (WALOKOLE)...
Nimekaa na kutafakari kwa kina. Kumeibuka makundi ya vibaka na majambazi kutoka kona zote za Tanzania kutumia mwanya wa maandamano kuharibu na kufanya ujambazi.
Maandamano yasiyo na ajenda, yasiyo na kiongozi ni kujaribu kutaka kuleta uasi bila sababu.
Maandamano lazima yawe na ajenda na...
Habari za asubuhi
Hawa waislam wa Ansal sunn sijui ndo inaandikwa hivyo wale wanaovaaga don't touch my shoes aisee wengi wao ni waaminifu ukifanya nao biashara!
Nimeshafanya biashara na wa hivyo zaidi ya watatu nabaki na hela Yao au wao wanabaki na ya kwangu na hatujawahi kuzinguana...
Walokole hapa namaanisha watu wenye sifa zifuatazo: waliotubu dhambi zao na kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wao, waliobatizwa ubatizo wa maji mengi na kujazwa Roho Mtakatifu. Ibada zao zina shangwe ya kiroho, kunena kwa lugha, shuhuda za miujiza na uponyaji, na mahubiri/mafundisho...
Sasa hivi Walokole wameamua kugawana hadi vituo vya daladala, Wakiwa na spika zinazounguruma, ni mwendo wa mahubiri tu mwanzo mwisho.
Mimi ninachojua kuna taratibu za kuendesha haya mambo ya mahubiri. Kuna ishu ya kelele, pia ambayo ni lazima idhibitiwe kwa mujibu wa sheria ya mazingira...
Injili zote ukianza na mathayo na zingine zote yesu alitoa mamlaka Kwa wanafunzi wake akisema...
Mathayo 28:19-20 (KJV) Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na...
Nifanyeje?
Usiku na mchana ni kwaya tu, wakati mwengine wanatia kanda na kuwasha maspika ya nje wao wapo majumbani.
Hawana Jumamosi, jumapili au ijumaa , siku zote wao ndio hivyo.
Kuna shule karibu nao wanaipata Pata.
Tufanyeje? Tuhame mpaka shule nayo tuihamishe?
Nyimbo za matusi na uasherati zikichezwa kwa sauti mitaani, watu wanacheka tu. :D :D
Harusi zenye pombe na mabinti waliovaa nusu uchi zikifanyika kila wiki, watu wanasema "ndiyo maisha."
Filamu za mapepo na uchawi 'zikipamba' TV kila siku, watu wanasema "ziongezwe."
Mtu akijenga bar kila...
Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka?
Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele...
Kama umekuwa ukijiuliza maswali kama hayo, leo ni siku yako ya kujua maana ya kuokoka na pengine ndiyo siku yako na wewe ya kuokoka.
Kuokoka ni neno tu la kawaida la Kiswahili lenye maana ya kusalimika au kunusurika kutoka katika janga, maafa makubwa au hatari yoyote inayokuijia. Mfano mzuri ni...
Hapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau watu hao huwaita “walokole.” Haya ndiyo maajabu 20 ya maisha ya “walokole:”
Hawalogeki. Wachawi...
P.O.Box .....
Kwa ustaarabu nasema walokole mnatufedhehesha sisi WAKRISTO. Inakuwaje mtu unaanza kuropoka kwenye bus halafu unalazimisha watu wakupe pesa la si hivyo basi halitofika salama?
WALOKOLE ACHENI UTAPELI.... Nimefurusha tapeli mwenzenu mmoja, Ile ameanza tu kujifanya anaomba...
Utangulizi:
Katika maandiko matakatifu, tunapata maagizo ya wazi kuhusu hali ya wafu na jinsi tunavyopaswa kushughulika nao. Aya za Mhubiri 9:5-6 na Kumbukumbu la Torati 18:10-12 zinatupa mwongozo wa moja kwa moja ambao unaweza kutumika katika mjadala huu. Hata hivyo, bado kuna desturi miongoni...
Ukipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga.
Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo yanasema naungua, naungua, usinichome, natoka.
Kuna watu wanasema huko makanisani kuna maigizo na hizo...
Hili wakuone unaimba gospel kweli inabidi kwenye verse moja utamke Yesu mara 200.
Uvae mashati ya kung'aa ,chini moka na nk.
Hawa wasanii wanaoimba gospel janja kwa walokole siasa kali wanawaona kama wanaimba pini za kina Diamond tu.
Jana wakati nipo nimekaa wakaja walokole 5 na mgeni 1.
Wakaniuliza nina matatizo gani? Yaani changamoto gani ktk maisha inanisumbua.
Nikawaambia sina pesa . Jamaa wakaniambia nifumbe macho tuanze kuomba kwa jina la Yesu nitakuwa tajiri.
Nikiwatizama wenyewe wamevaa yebo yebu , mguu kuku mguu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.