wallace karia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kinatisha

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia achia ngazi haraka sana usituchafulie mpira wetu wa Tanzania kwa rushwa na tamaa zako

    Rais wa TFF Wallace Karia wa kipindi cha Rais Magufuli ni tofauti kabisa na Wallace Karia wa kipindi cha Rais Samia, au ndiyo anakula kwa urefu wa kamba? Wallace Karia wa kipindi cha Rais Magufuli alikuwa mnyenyekevu ,anayekemea rushwa na alisimamia kwelikweli nidhamu na ligi ya Tanzania...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia na RC wa Tabora, Paul Chacha kuwa wageni maalum kwenye mechi ya Simba SC dhidi ya Al Masry

    Klabu ya Simba SC imemtangaza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa mgeni maalum katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Al Masry. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 9, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Video: Rais wa TFF, Wallace Karia hoi akitoka kwenye Kikao kizito na Serikali, asema "Siongei na Mtu"

    Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia baada ya kumaliza kikao na Waziri wa Michezo Prof Paramagamba Kabudi kuhusiana na sakata la derby ya Kariakoo hakuongea na waandishi zaidi ya kusema "Siongei na Mtu" Bado haijajulikana hasa ni nini kimeamuliwa katika kikao hicho kwani...
  5. Inside10

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia: "Tutazungumza na media za Tanga, nyingine zina mambo yao"

    Hizo Media nyingine unazosema zimechafuka ndio hizo hizo huzitumia kuhamasisha football ya Nchi hii,na ndizo zilizokutambulisha ww kwa jamii. Unachofanya ni Ubaguzi wa Wazi Wazi kama kiongozi Mkuu wa football nchini na kwa hili ushapoteza 'UHALALI'wa kuendelea kuongoza TFF. Sioni tena kama...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwana FA ampongeza Wallace Karia, asema ni "Kiongozi bora kwenye Historia ya TFF"

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma, maarufu Mwana FA amwaga pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia "Nimpongeze Wallace Karia kwa kazi kubwa anayoifanya kwenye mpira wa Tanzania, Kitakwimu hakuna viongozi wa TFF waliofanya vizuri kama...
  7. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania Karia’s Bias: A clear case of favouritism in Tanzanian Football

    President of the Tanzania Football Federation (TFF), Wallace Karia, has undeniably made his stance clear during the ongoing controversy between Yanga and Simba. The events surrounding the cancellation of the March 8 derby have shown that, even before the full investigation is complete, Karia...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC mnaomlaumu Rais wa TFF Wallace Karia kwa Kauli yake nawaombeni mnipe tofauti ya Kauli yake hiyo na ile ya Rais wenu Injinia Hersi Said

    Rais wa TFF Wallace Karia...."Yanga SC waendelee tu na Sinema zao juu ya Mechi yao Kuhairishwa" Rais wa TFF Injini Hesri Said..."Yani mwana Yanga SC mmoja katoka zake kula Mihogo alafu anataka Nijiuzuru" Kila Siku tukiwa tunasema hapa kuwa huenda huko Yanga SC kukawa na Wendawazimu wengi tu...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haji Manara kuingiza masuala ya mpira wakati anazindua taasisi yake ya Haji Manara Foundation si kitendo cha kiungwana

    Kama ulikuwa unataka Kumsema Rais wa TFF Wallace Karia kutokana na Chuki zako Binafsi basi ungetafuta right platform ya Kumsema lakini siyo wakati wa Uzinduzi wa Mfuko wako wa Haji Manara Foundation unaacha kutuambia Malengo yako na unatumia muda mwingi Kumzungumzia Karia na TFF.
  10. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Press ya Haji Manara kumshambulia Wallace Karia imelipiwa na uongozi wa yanga..dhahiri makomandoo walitumwa kuizuia simba..kama uongozi utakaa kimya

    Ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa..Manara anapata wapi ujasiri wa kuisemaea yanga..Manara ni nani kwenye uongozi wa yanga...Manara ndio mratibu mkubwa wa mambo ya kitoto kwa kisingizio cha utani wa jadi...Manara anasahau kama anadhalilisha watu....juzi kati alimdhalilisha askari...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia aula, ashinda ujumbe wa kamati tendaji Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameibuka mshindi wa kiti cha ujumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) katika uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo unaofanyika leo huko Cairo,Misri. Karia ameshinda kwa kura nyingi za ndio kwa vile...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na uraia wa ndugu Wallace Karia

    Vyombo vya ulinzi na usalama especially Uhamiaji, lichunguzeni hili. === MAJIBU YA IDARA YA UHAMIAJI KUHUSU URAIA WA WALLACE KARIA
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa TFF, Wallace Karia akosoa kelele na propaganda zinazochafua Soka la Tanzania, "leta ushahidi TFF, nje na hapo sivutiwi"

    Wakuu Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa! == Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR

    BUDGET YA VAR BUNGE LIMEPITISHA✅ PESA WAMEPIGA, VAR AMNA , TUTAELEWANA TU NA KARIA
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia: Msimu huu hakutakuwa na matumizi VAR Ligi Kuu

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR kwenye msimu huu wa Ligi Kuu mpaka kutakapokuwa na uhakika wa kutosheleza mechi zote kutumia VAR. Amesema VAR inaweza ikatumika katika mashindano yanayojumuisha mechi chache kama vile Ngao...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusidanganyane ni muda wa karia to go

    I wll be short 1. KALIA NDO ANA SUPPORT KUPANGA MATOKEO, HOW? officials wa mechi zote wanapangwa na genge lake. KUPANGA BAADHI ya mechi. nani ashinde nani asishinde. every thing is planned. ie : yanga watapewa Azam fc wakitaka tu kwenda nusu fainali. au robo fainali. kama last season. kama...
  17. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia ndiye kiongozi wa muda wote wa mpira nchini mwenye mafanikio bora zaidi

    Embu tuwe wakweli kidogo, jumuisha Marais wote wa Nchi, Mawaziri, Manaibu Waziri, Makatibu Wakuu wa Wizara, Marais na Wenyeviti wa TFF na FAT, hakuna hata mmoja ukichukua mafanikio ya mpira nchini katika kipindi chake ambaye anamfikia Wallace Karia. Sikubaliani na kila anachofanya au...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia amegeuza timu ya Taifa ya kwake na washikaji wake. Ingawa kafanya makubwa ushikaji utamgharimu

    Wallace karia kachukua washikaji zake wote kawaweka timu ya Taifa, inshort ile ni timu yake na marafiki zake, amna professionalism yoyote iliyo tumika, wote wale ni failures wa Simba SC wameitwa na Simba mwezao wakae pale. In short wale kama kikundi cha ovyo kinacho sababisha mpira wetu...
  19. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia: Jwaneng galaxy FC kufanya mazoezi Avic town ni uzushi na siyo habari za ukweli Bali ni propaganda tu

    "Kunapropaganda ilikuwa inapigwa kwamba ile timu ilikuwa inafanya mazoezi Avic Town tulifuatilia sisi na wizara tukakuta ni propaganda" Rais wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF), Wallace Karia wakati akiwaomba wadau wa soka kuwa na ushabiki wenye manufaa kwa nchi. Credit kwa Azam sports.
  20. Ladder 49

    JamiiForums Tanzania Rais Wallace Karia wa TFF hivi kuanzia aanze kuongoza pale TFF amefanya nini mpaka sasa?

    Wakuu habari zenu, Naomba kuuliza hivi huyu raisi wetu wa mpira wa miguu amefanya nini kwenye kipindi chake cha uongozi? Maana watu wanasema kwenye kipindi chake taifa stars imeshiriki AFCON mara 2,Nataka kujua lakini yeye amefanya kitu gani maana inaweza kuchangiwa na simba na yanga kushiriki...
Back
Top Bottom