Tangu Wallace Karia achaguliwe kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mashabiki na wadau wa soka wamekuwa na matarajio makubwa ya kuona mabadiliko ya kweli, hasa katika kuimarisha miundombinu ya soka nchini. Hata hivyo, kwa uhalisia wa mambo, bado kuna maswali mazito kuhusu msimamo na...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia amesema kuwa amefurahishwa zaidi na bao la Clement Mzize lililoshinda Tuzo ya Bao Bora Afrika mwaka huu kuliko lile la nyota wa zamani wa Simba, Pape Sakho lililoshinda tuzo hiyo mwaka 2022.
Akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia na Rais wa Yanga, Hersi Said wameteuliwa katika kamati tofauti za Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA).
Karia ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), ameteuliwa kuwa...
Ukisema maendeleo kidogo yaliyopatikana katika soka la Tanzania limechangiwa na Wallace karia, ninapinga.Maendeleo ya soka nchini kwa kiasi kikubwa yamechangiwa na wadau wa michezo wakiwemo wafadhili, ambao kwa namna moja ama nyingine nina uhakika wallace karia hajachangia au kama amechangia ni...
Nafasi ya Urais TFF imebakia 1 nayo ni ya Wallace Karia, wagombea wengine 6 wamekosa sifa kwenye mchujo na usaili wa awali
Tatizo kubwa lililowanyima sifa za kugombea Urais ni kukosa endorsement kila mgombea alitakiwa awe na angalau endorsement 5, ambapo mgombea Wallace Karia amevuna...
Wallace Karia, ambaye amehudumu kama Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa vipindi kadhaa, amekuwa akitajwa mara kwa mara kama kiongozi aliyeshindwa kuleta mabadiliko makubwa katika soka la Tanzania. Kuna sababu kadhaa ambazo zinamfanya kuonekana hastahili kuendelea kushikilia...
Yanga kama mbabe wa mpira wa Tanzania imedhamiria Kwa dhati kusafisha pale TFF na bodi ya ligi, Sasa nguvu time imehamia Kwa Wallace Karia
CEO wa Yanga Andre Mtine ameandika barua kwenda kamati ya uchaguzi TFF kumwekea pingamizi Wallace Karia
Yanga wameitaka kamati ya uchaguzi TFF kumwondosha...
Katika mazingira ya sasa ambapo maisha ni magumu mno kwa vijana na wananchi wa kawaida mitaani, hali ya kushikilia madaraka au nafasi yoyote yenye fursa imekuwa ya kawaida. Watu wanapambana si kwa sababu wana uchu pekee, bali pia kwa sababu nchi imetengeneza mazingira ya ‘kila mtu abebe chake’...
Habari JF , nadhani soka letu la Bongo limetoka mbali sana lakini binafsi naona katika uongozi wa Karia tumepiga hatua sana hasa katika mambo yafuatayo :-
1.Ligi imepanda viwango na umaarufu , hili limepelekea timu kuongezeka katika ushiriki kimataifa .
2.Timu zinadhamika , wadhamini...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia amesema Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) wanampenda Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassani kutokana na juhudi zake za kuwekeza katika michezo ikiwemo mpira wa miguu.
Karia ametoa kauli hiyo jijini Arusha wakati...
Busara ya kawaida kabisa inakuelekeza upumzike sasa...uachie kijiti mtu mwingine nae aendeleze pale ulipotufikisha..huko ndiko kustaarabika.
Kwann usubiri kuondolewa kwa kuaibika kama wazee wenzio akina kasongo?
Kwanini usimuige Leodigar Tenga aliyeondoka hapo Tff kwa heshima.
Au kwasab unajua...
🎙ENG. HERSI KUHUSU KARIA 👇
🗣"Nikuhakikishie sisi kama wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia na Kamati ya utendaji, nipongeze wazo zuri ambalo kaka angu Mangungu amelitoa na mimi naliunga mkono kwa asilimia 100%, sisi wajumbe wa mkutano mkuu tumelipitisha."- Eng...
Shirikisho la mpira wa miguu TFF imekanusha taarifa za kujiuzulu kwa rais wa shirikisho hilo Wallace Karia,taarifa ambazo zimesambaa katika mitandao ya kijamii leo asubuhi zilidai kuwa rais ameachia ngazi.
Rais wa TFF Wallace Karia,amemshitaki Haji Sunday Manara,kwa tuhuma za kuchapisha maandiko mbali mbali kwenye mitandao yake ya kijamii ya kumtaka Rais huyo ajiuzulu kwa tuhuma za TFF kudaiwa na Yanga.
Manara alikuwa Polisi leo saa 4 asubuhi,ila tayari umeondoka baada ya kupata dhamana.
Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
Rais wa TFF Wallace Karia wa kipindi cha Rais Magufuli ni tofauti kabisa na Wallace Karia wa kipindi cha Rais Samia, au ndiyo anakula kwa urefu wa kamba?
Wallace Karia wa kipindi cha Rais Magufuli alikuwa mnyenyekevu ,anayekemea rushwa na alisimamia kwelikweli nidhamu na ligi ya Tanzania...
Klabu ya Simba SC imemtangaza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa mgeni maalum katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Al Masry. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 9, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.