waliokuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Tuhuma za waliokuwa watumishi wa JWTZ kuteswa na Askari Polisi haziwezi kutia doa mahusiano ya askari mmoja mmoja?

    Kesi ya Ugaidi inaypendelea Mahakama ya Uhujumu uchumi imeonysha namna Serikali ya chama cha Mapinduzi ilivyokuwa inaendeshwa na inavyoendeshwa. Yapo mambo ambayo Wala Jaji apaswi kusubiriwa kuyatolea hukumu maana yapo wazi kabisa. Mfano: Mkuu wa upelelezi Arumeru Afande Jumanne anayetuhumiwa...
  2. Vijana waliokuwa wanatorosha mabinti miaka ya zamani wana afadhali kuliko wa sasa

    Nakumbuka zamani nikiwa mdogo miaka ya 90 mwishoni na 2000s miaka ya mwanzoni nlikuwa naskia sana binti wa fulani katoroshwa na kijana flani, House girl wa nyumba flani katoroshwa, dada yake flani katoroshwa, n.k. hapo ni kwamba wanaenda kuanza maisha kama mme na mke, hadi mje kuwaona tena basi...
  3. Hivi, Nawe ni Mmoja Kati ya Waliokuwa Hawavui Nguo za Shule Wakifika Home...?

    Uzi tayari...! 👊🏾
  4. Marais na wageni mashuhuri waliokuwa wakifika na kulala Chato walikuwa 'Accomodated' wapi?

    Baada ya kuonaa Waziri Mkuu akitua katika kiwanja cha kimataifa cha Chato kufunga kongamano la vijana nimekumbuka ziara za Marais awamu aliyopita huko Chato Bila shaka tunakumbuka kuwa awamu iliyopita Chato ilipokea marais na wageni mashuhuri kadhaa waliokuwa wakikutana ma mwenyeji wao Hayati...
  5. Boss wenu Yuko Gerezani, Hukumu inakarabia na waliokuwa Washirika wameanza 'Kuparurana' Mitandaoni, kwanini CCM isizidi Kutawala tu?

    Kuna Watu Wawili ambao nilikuwa nikiwaheshimu na kudhani kuwa wapo 'very smart' na kwamba hawataingia katika 'Mtego' wa Kufarakanishwa (Kugombanishwa) lakini bahati wameuongia huo 'Mtego' tena vizuri sana tu. Leo hii GENTAMYCINE nasikitika kuona kuwa Mtu ambaye kwa Miaka takribani Miwili Mitatu...
  6. Mungu ni mwema sana, sasa tunawafahamu waliokuwa wakimpotosha Hayati Magufuli kuhusu Corona

    Askofu Gwajima anaonesha kuwa ni mmojawapo waliokuwa wanamshauri vibaya Rais JPM (rip). Hizi chanjo hata Ulaya na Marekani wanachanja kwa wingi sana. Inamaana wao watakuwa mazombi ili Gwajima akazoe Dola zao kwenye mabenki watakapogeuka kuwa mazombi kama anavyosema Gwajima kuwa chanjo hizi...
  7. Kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''sukuma gang''; Je, kwa sasa ni zamu ya waliokuwa wanafurahia na kufanya sherehe!

    Kwa wale wakongwe wa Jamiiforums wananifahamu kuwa mimi ni mmoja wa watu tulikuwa nyuma ya aliyekuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano, Rais Magufuli tokea kwenye mchakato wa kumpata mgombea Urais ndani ya CCM mpaka alipoitwa na Mwenyezi Mungu. Rais Magufuli amenifundisha mengi sana mazuri na...
  8. C

    Waliokuwa wanatukana watu kwa mgongo wa uzalendo bado wapo?

    Kwa kweli hii nchi ilikuwa imefikia pabaya kwa baadhi ya makundi kutoa lugha za kashfa,dharau ,ubabe ,matusi kisa kumlinda au kumtetea mwendazake na maovu yake Kuna mtu anatokea kanda ya ziwa alikuwa na magazeti ya kuwatukana watanzania siku hizi sijui kama hayo magazeti yapo Kila wiki yupo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…