By Hilda Newton
Imeanzishwa media ya kuwakumbuka ndugu zetu waliouwawa Tarehe 29.10.2025.
Media hii itapost kumbukizi zote za uovu WOTE wa Serikali.
Media inatwa @Mo29Tv
Kiburi cha wanadamu chatoka wapi?
Kwa sababu wewe una cheo fulani na vile unapojiangalia unaona umezungukwa na ulinzi mkali, umezungukwa na kila aina ya silaha ndio sababu ya kuwadhihaki waliokufa leo na wewe kujiona u salama kushinda wao?
Unaowadhihaki hao, nao walikiona kifo ni kana kwamba...
Kama watawala walijua labda wakipiga risasi na kuuwa watu eti watanganyika watapata wogo,basi walishindwa kusoma nyakati za tawala zote kandamizi zilizotangulia kama wao,yaani hii mbegu inayochipuwa kwa kasi sana.
Hawataweza kuizuia kamwe na inaenda kuwaacha uchi kama walikuwa wanapambana na...
Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.
Kumbe mlijua kuna vijana wanafuata mkumbo kwanini muwapige risasi za kichwa na marungu? Ndio mnavyolea watoto wenu huko au watoto wa masikini ndio wakujifunzia kulenga shabaha?
Nafikiri huu unaoitwa msamaha lengo lake ni kutaka kusamehewa na yeye.
Umetengeneza tatizo halifu unjifanya...
Mbona JWTZ haitoi pole wala vitisho kwa wauwaji wa October 29 au waliokufa ni punda.
Anasimama mtu anasema heti hajihusishi na siasa mpaka watu wanauliwa alafu wao na wanasiasa mafisadi wamekaa kimya ni vipi hapo hawajihusishi na siasa huu ni uchizi.
Jeshi liitwe jeshi la wanasiasa sio la...
Itakuwa umeona video mbalimbali za sehemu mbalimbali watu wakienda kuzika wapendwa wao huku wanacheza na kuweka nyimbo za kishujaa. Hii ni tofauti sana tuliozoea misiba kuwa na vilio.
Je maumivu yamepitiliza hadi wanaona wawape ushujaa wapendwa wao?
Haya ni malalamiko nimetumiwa na mdau. Sijathibitisha.
Kama ni kweli, naomba mtuupatie miili ya watoto wetu tukawazike wenyewe kwa gharama zetu.
TAARIFA MUHIMU.
Serikali inaendelea kutoa miili ya wapendwa wetu waliouwawa na Vikosi vya Samia Mahospitalini na kwenda kuwazika kwenye Makaburi ya...
Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia mafuriko makubwa yaliyoyakumba maeneo ya kati mwa jimbo la Texas, Marekani, imefikia watu 78, wakiwemo watoto 28. Taarifa hiyo imetolewa na maafisa wa jimbo hilo.Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia mafuriko makubwa yaliyoyakumba maeneo ya kati mwa...
Mafundisho ya dini yana favour sana upande wetu wanaume. Vipi kuhusu wanawake? Mbona wao hawaongeleki?
Baada ya kufika mbinguni na bus la Isamilo Express, tutapokelewa na malaika ambao watatulaki na kutufungulia lango la mbingu. Wanaume safi akiwemo mimi ambao tunachakata mbususu kwa staha kwa...
Salaam, Naomba kufanya brain storming kidogo.
1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia.
2. Je, waliokufa tokea dunia kuumbwa na waliohai, yupi anaongoza kwa wingi ?
3. Je, ni kweli kuna imani ya kubadilisha jiwe kuwa dhahabu ? (Please hapa naomba tusijibu...
Wanaukumbi.
Redio ya Jeshi la Israeli:
Eneo la 7.7-decare kwenye Mlima Herzl litahamishiwa kwa Wizara ya Ulinzi ya Israeli ili kutoa mahali pa kuwazika wanajeshi wa Israeli waliokufa..
=========================
Israeli Army Radio:
A 7.7-decare area on Mount Herzl will be transferred to the...
Wanaukumbi.
Familia za wahasiriwa huko Majdal Shams huko Golan huwafukuza mawaziri wa serikali ya Israeli kutoka eneo la mazishi la waliokufa, akiwemo Smotrich baada ya kubainika kuwa kombora lililoanguka kutoka Iron Dome liliua raia.
Baada shambulio Serikali ya Israel walitoa tamko kwa...
Najiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini?
Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri?
Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
Hii imekaaje kaaje wakuu kwenye vyombo vya Habari tunaona mashambulizi baina ya Russia na Ukraine sio makali kivile yaani unakuta wanarusha bomu ila linaharibu tu upande wa jengo hatusikii takwimu za kutisha watu kufa ukilinganisha na vita ya Israel pale Gaza yaani ghorofa linapigwa kweli...
February 5, 2020
Kilosa, Tanzania
Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha
Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati sehemu za Gulwe na Kilosa, wataalamu wa ujenzi wa reli wamebainisha kuwa Tanzania itaendelea kuitumia...
Kwanini Serikali ya Tanzania huwa nyepesi Kujitolea Kuwazika Waliokufa katika MAAFA, ila Kupambana kuyazuia huwa Wazito na hawajali?
Comments zenu ni muhimu sana katika huu Uzi wangu na naamini hamtoniangusha kwakuwa nyie ni Wajuvi wa kila Kitu.
"Baada ya Juzi Wachimbaji hawa Kuingia Chini Shimoni walikuta Madini ya Dhahabu ila kukaonekana kuwa hali ya Kule chini Kimazingira haikuwa Salama hivyo walivyopanda Juu na. Kuielezea kwa Wataalamu na Viongozi ilishauriwa wasubirie Kwanza ili Kuwatengenezea Mazingira mazuri ya Kiusalama Kwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.