walimu

  1. JamiiForums Tanzania Tafadhali toa mbinu sahihi itakayowafanya Walimu na Wahadhiri wa Kiume wasiwatani Kingono Mwanafunzi wa Kike Shuleni na Vyuoni

    Kwa aina ya Watoto wa Shule za Sekondari na Vyuoni ninaowaona hapa / huku niliko walivyo Kiumbwaji na Mungu na Kiushawishi kuanzia leo GENTAMYCINE sitowalaumu tena Walimu au Wahadhiri wa Kiume wanaowatamani Kingono Wanafunzi ndani na nje ya Tanzania. Haya Dada yangu Waziri mwana JamiiForums...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT waibua madudu ya CCM Lindi, shule yenye wanafunzi 800 na Walimu wanne

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe amesema Chama chao kimedhamiria kushiriki uchaguzi na kulinda kura zao kwakuwa wana dhamira ya dhati ya kuwatumikia watanzania kwa kuborsha elimu ambayo kwa sasa inatolewa kwa matabaka Soma pia...
  3. JamiiForums Tanzania Moto wa No reforms No election umeanza kuwaingia walimu watanzania, freedom is coming tomorrow!

    Hakika Mungu ni mwema, baada ya miaka mingi kupita sasa walimu wameanza kuelewa na kutumia elimu yao kwa ajili ya manufaa ya Taifa zima. Hii imetokea kwa kukataa na kugoma kujishughulisha na maswala ya uchaguzi na kuwa sehumu ya laana katika vizazi vyao vyote. Tume inayojiita tume huru ya...
  4. JamiiForums Tanzania Nipo Tandahimba, naona walimu wamekusanyika kwa Mtendaji Kata wanarudisha barua za kusimamia uchaguzi

    Hili kundi bado lipo nyuma sana kifikra. Wapo bize hapa wamejazana kwa Mtendaji Kata warudishe barua za maombi ya kusimamia Uchaguzi Mkuu. Naambiwa leo ndio mwisho, kwanini kada nyingine hazijichoreshi namna hii kama hawa ndugu zetu?
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini walimu huwa hawazeeki kirahisi?

    Kwema wakuu, Nimekutana na mwalimu kwenye daladala ambaye alinifundisha zaidi ya miaka 20 iliopita na bado yupo ngangari, muonekano ule ule, Nilimtambua japo yeye hakunikumbuka kirahisi, nina mifano mingi ya walimu ambao bado wanaonekana vizuri hata baada ya miaka mingi kupita, Swali langu ni...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kiswahili ndiyo Lugha ya kutuunganisha Afrika, Tanzania tuko tayari kutoa Walimu na vifaa vya kufundishia kuja Comoro

    Rais Samia amesema Kiswahili kina uwezo wa kuwaunganisha Waafrika na kupendekeza kitumike kama lugha ya mawasiliano, elimu na biashara katika nchi za Afrika, ikiwemo Comoro. "Lugha pekee ya Kiafrika inayoweza kutuunganisha au kuunganisha watu wetu ni kiswahili, hivyo ilikujenga umoja nitumie...
  7. JamiiForums Tanzania Walimu acheni kutumika vinginevyo laana itawatafuna maisha yote

    Nasema na nyinyi walimu ambao kula Wali samaki kwenu ni anasa, mna maisha magumu ya kutupwa jalalani ila mnabaki kuiba kura za wananchi kwenye uchaguzi mkuu Tubuni kwa Mungu na naomba mwaka huu msijishirikishe kabisa na mambo ya uchaguzi vinginevyo laana itawatafuna. Ndio mana wengi wenu mna...
  8. JamiiForums Tanzania Walimu Nchini watakiwa kuwa Walezi Bora kwa Wanafunzi

    Serikali imewataka walimu wote nchini kuendelea kuwa walezi na kuwasaidia wanafunzi kutojihusisha na tabia zenye kuondoa maadili na utamaduni wa Kitanzania. Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu - Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Daniel Mushi tarehe 20 Juni 2025 katika chuo cha...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Walimu wa English Language na Literature wenye GPA ya 3.8 fanyeni Masters za Linguistics/Literature Kuna uhaba.

    Wakuu nimekuwa nikifanya utafiti wa kwenye masomo husika naona hakuna wataalam juu sababu ni kwamba walio juu hawataki wenzao kufika huko hasa ndugu zetu wa Mlimani. Ushauri wangu soma vyuo hivi: 1.MA in Linguistics SAUT Mwanza (Evening/Weekend mode)- Ukiwa lake zone. Ada M 5,56660 Total...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uwiano usio sawa wa walimu shule za msingi Moshi manispaa

    Katika manispaa ya Moshi Kuna upendeleo mkubwa wa upangaji walimu katika shule za msingi Kwa kile kinachodaiwa walimu wakuu kutotoa "bahasha ya kaki" Kwa afisa elimu na maafisa taaluma msingi. Kuna shule Zina idadi ndogo ya wanafunzi lakini walimu ni wengi kuliko shule zenye idadi kubwa ya...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ?

    Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ? Nimesikia kuna walimu wamesombwa huko na kulazimishwa kwenda kwenye mikutano ya kisiasa kwasababu heti ni watumishi, huu udhaifu utaona tu Tanzania aisee.
  12. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Elimu (TET) yawatuza Walimu waliofanya vizuri Stadi za Ufundishaji Shule za Msingi na Sekondari

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ameipongeza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kubuni na kuandaa shindano la stadi za ufundishaji kwa walimu wa shule za msingi na sekondari, akisema kuwa tuzo zinazotolewa kwa washindi zinaleta motisha na kuwatia hamasa walimu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Shule zimefungwa lakini watoto wa darasa la pili wameambiwa waendelee kwenda shule kununua visheti na sambusa kwa walimu

    Wizara ya elimu ni kwamba hamjui faida za likizo? Waziri wa elimu mbona hatukuoni umekaa wapi ebu simama tukuone! Viongozi inamaana hamuoni watoto wanavyofanywa huko mashuleni? Ratiba ya masomo mlipanga wenyewe, kwamba mtoto atasoma wiki kadha na likizo kadhaa! Inamaana likizo iko ndani ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tukio la mwanafunzi aliyejifungulia chooni limemtia aibu RC zaidi kuliko hata hao walimu

    Kupitia taarifa ya habari STAR TV naona habari huko Tabora kuna mwanagunzi wa shule ya waschana Tabora akiwa amejifungulia chooni na mtoto kufariki. RC amefika hapo na nimemsikia anasema eti walimu waliokaa hapo kwa zaidi ya miaka 10 wahamishwe Anaelekeza zaidi kwamba makamu wa mkuu wa shule...
  15. JamiiForums Tanzania Magesa Protas katibu wa zamani TCS wilaya ya Bunda anastahili unaibu katibu mkuu CWT walimu ngazi ya taifa

    Protas Magesa Katibu wa zamani TSC (Teachers Service Commission)wilaya ya Bunda anatajwa na wajumbe wengi kama kiongozi anayestahili kuwa naibu Katibu mkuu CWT. Hakika kwa walimu huyu mtu anastahili kuwa naibu Katibu mkuu ngazi ya Taifa.Wajumbe wa mkutano mkuu msitangulize waganga njaa,huyu...
  16. JamiiForums Tanzania Nilitembea shule moja ya sekondari. Walimu wengine wanajiona wa maana kuliko wenzao.

    Milikuwa na appointment na mtu hapo shule. Nikapewa kitu na nikiwa nasubiri akatokea mwalimu wa ratiba. Mwalimu wa ratiba aliongozana na rundo la walimu wengine wakike. Walikuandama yule mbaba wa watu. Wanamuuliza maswali, ukiona wapi somo la hesabu likawekwa mwisho, akaja mwingine wa English...
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli walimu wa kike ni wazuri katika ndoa?

    TUJIKUMBUSHE; TUJADILI. Kuna miaka fulani walimu wa kike walivuma na kumwagiwa sifa nzuri katika uwanja wa ndoa. Watu wengi waliooa walimu, na walioshuhudia ndoa za walimu walisema kuwa mwanaume aliyeoa au atakayeoa mwalimu hasa mwalimu wa shule ya msingi atapiga hatua kubwa ya kimaendeleo...
  18. JamiiForums Tanzania Mchengerwa Awafunda Walimu, Awataka Wawe Wazalendo Kuzingatia Maadili

    MHE. MCHENGERWA AWAFUNDA WALIMU AWATAKA WAWE WAZALENDO, KUZINGATIA MAADILI Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa rai kwa walimu nchini kuwa wazalendo na kuzingatia weledi ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi. Mhe. Mchengerwa ametoa rai hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Missenyi yasema inachunguza madai ya baadhi ya Walimu Wilayani hapo kuwaagiza Wanafunzi vyuma chakavu

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja kuwa Baadhi ya Shule za Msingi Wilaya Missenyi-Kagera, Walimu wanawaagiza Wanafunzi vyuma chakavu kwa manufaa yao binafsi Mamlaka ya Wilaya hiyo imejibu madai hayo kwa kueleza kuwa inatuatilia suala hilo. Taarifa rasmi ya Halmashauri ya...
  20. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Kuna upungufu wa walimu wa masomo ya sayansi, hisabati 17,354

    SERIKALI imesema mahitaji ya walimu wa masomo ya sayansi na Hisabati ni walimu 47,354, waliopo ni 30,044 na upungufu ni walimu 17,312. Hayo yameelezwa leo bungeni Mei 29,2025 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,(TAMISEMI) Zainabu Katimba wakati akijibu swali la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…