wakutana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M23 wakutana na aliyekua Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, waendelea kuachia maeneo

    Wakubali kuachia mkoa wote wa Kaskazini mwa Kivu, kama tulivyosema amani DRC ni kwa hiari au shari lakini lazima ipatikane, hamna taifa ndani ya EAC litaruhusiwa kuwa na mavita vita ndani. ====== Leaders of the M23 rebel group met with regional peace facilitator, former Kenyan President Uhuru...
  2. Dar: Waziri Gwajima, Mkenda na Simbachawene wakutana kujadili Ukatili kwa Wanafunzi

    Mawaziri watatu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Desemba 21, 2022 wamekutana Jijini Dar es Salaam kujadili kuhusu suala la ukatili kwa wanafunzi wa shule na vyuo na kuweka mikakati ya kupambana na ukatili huo. Mawaziri hao, Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
  3. Emanuel Macron akutana na Paul Kagame na Felix Tshisekedi wakutana kwa mazungumzo ya Amani

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi huku kukiwa na mvutano kati ya Majirani hao kuhusiana na Makundi ya waasi karibu na mpaka wao wa pamoja Taarifa zaidi zinazema kuwa Viongozi hao wanataka...
  4. Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

    Wakuu, Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania? UPDATE: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja...
  5. (VIDEO) Songwe: Wanaochimba nguzo za umeme wakutana na masalia ya mwili wa mtu kwenye shimo

    Wakazi wa eneo la Old Vwawa mkoani Songwe wamekutana na kinachodaiwa kuwa ni mabaki ya binadamu katika shimo ambalo lilichimbwa maalum kwa ajili ya kusimika nguzo. Shimo hilo lipo eneo hilo katika mradi wa kuweka nguzo za umeme kutoka Old Vwawa kwenda Msambawani mkoani hapo. Mmoja wa mashuhuda...
  6. Zahera kuwa kocha mpya wa Coastal Union, wakutana leo kukamilisha dili

    Picha: kocha, Mwinyi Zahera Mapema leo Jumatano Februari 23, 2022 uongozi wa Coastal Union ya Tanga ulikuwa na kikao cha kukamilisha dili hatua za mwisho ili kuwa kocha wao kuchukua nafasi ya Melis Medo ambaye ametimuliwa kutokana na matokeo mabaya. Pande hizo zimekutana katika hoteli moja...
  7. BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia, amekutana na kufanya Mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Tundu Lissu. Ni baada ya Lissu kuomba kuonana naye. Walizungumzia mambo mbalimbali kuhusu ustawi wa Tanzania. Pia, soma 1). Makamu wa Rais, Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…