wakristo

  1. Shekhe: Waislamu na Wakristo katika nchi hii ya Tanzania udugu wao ni wa kale

    Waislamu na Wakristo katika nchi hii ya Tanzania udugu wao ni wa kale; mapenzi baina yao ni ya muda mrefu, na hata ushirikiano wao umejengwa katika misingi ya amani na heshima kwa vizazi vingi. Qur’an Takatifu inatukumbusha: ‘Na Mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja, na sisi ni wenye kunyenyekea...
  2. M

    Wakristo wa jamiiforums As-salamu alaykum, Waislam wa Jamiiforums Tumsifu Yesu Kristo

    Wakristo wa Jamiiforums Assalam Aleikum, msimu wa Christmas Mubarak unakaribia, INSHALLAH tutaalikana na kuufinya pamoja wali mchafu kama ilivyokuwa Eid kwa miaka mingi sana.
  3. Uamuzi wa Waislamu na Wakristo baada ya jaribio la kugombanishwa

    Baada ya watu fulani kutaka kutugombanisha Watanzania kwa kutumia UDini, huu ndio uamuzi wa Waislamu na Wakristo nchini. Kuanzia sasa, salamu za Merry Christmas tutakuwa tunatakiana kwa kusema "Christmas Mubarak" na salamu za Idd Mubarak tutatakiana kwa kusema "Merry Idd". Mimi ni...
  4. T

    Naomba tuwapuuze baadhi ya waislamu na wakristo wanaotaka kutuharibia maandamano yetu ya Disemba 99

    Ndugu wana jamvi na hasa vijana kama mimi Gen Z. Najua CCM inafanya kila liwezalo kuzima moto wa Gen Z. Ndo maana unaona wanatumia baadhi ya waislamu na baadhi ya wakiristo wanaoweza kushawishika/kununulika kirahisi. Hawa watu hawajuhi kabisa sisi vijana magumu tunayopitia. Naomba ieleweke...
  5. U

    Haina shaka yoyote kuwa, waislamu wameamua kufanya vita na Wakristo. Nukuu za tamko, kutetea ukatili wa Samia zinathibitisha hili!

    👉Kuna kikundi fulani cha waislamu wajinga wafia dini wanaojiita "Wahadhiri wa DINI ya Kiislam" wameanzisha vita dhidi ya Ukristo kupitia (Wakatoliki & TEC). Ni wajinga hawa. Hawajui kuwa Rais Samia anakosolewa si kwa sbb ya dini yake. Watu hatuoni dini ya mtu pale ikulu. Tunayemuona ni Rais...
  6. TEC na Wakristo na Waislam Safi hakuna Kurudi Nyuma : Tuliposema Maridhiano kabla ya Uchaguzi, walitubagaza, Wamepora Uchaguzi wataka Maridhiano!

    Hakuna Hakuna Hakuna MARIDHIANO baada ya Mauaji ya Halaiki, HAKUNA HAKUNA !!.
  7. Je Kuna kipindi ambacho WAKRISTO na makanisa wamepitia nyakati ngumu kama hivi Sasa?

    Leo hii wachungaji, manabii, maaskofu wengine mapadri wanatekwa na wengine wamefanikiwa kukimbia nchi... Makanisa yamefungwa baadhi, haya naskia hata kwenye Ibada wametumwa watu waovu ndio hao mnawaita wasiojulikana kwenda kusikiliza mahubiri ili kusudi kama ni kukosoa ama kuhubiri Haki na...
  8. GE2025 Urais wa zamu wakristo na waislamu ni kansa ya Chuki kwa Taifa na mfumo uliopitwa na wakati

    GT Hiki ndo kirusi kikuu kinacholitafuna taifa na pengine kuzidi kurudi nyuma tena nyuma zaidi. Hatutaendelea kamwe na tutazidi kuchukiana milele ajenda kuu ya wanasiasa wetu ni wizi ila wanatuchonganisha kwa makusudi. Akili za hawa waumini wetu wanazijua wao wenyewe bahati mbaya hata watawala...
  9. Waambieni wanachama wa CHADEMA, Sukuma Gang na wakristo wa- download VPN tunajambo letu

    Aluta... Siku 13 zimebakia. Jambo letu linaenda kukamilika kikamilifu. Tunaenda kuonyesha ulimwengu Legacy ya Nyerere. Ukombozi. Ambia wanachadema, Sukuma gang, na Wakristo wote wenye smartphone wapakue VPN app zenye security nzuri. Tutafanya tofauti, maandamano yetu hayatafanana na mengine...
  10. Kwa nini mauaji ya kimbari ya Wakristo Nigeria na DRC hayapewi uzito mkubwa kama Gaza?

    Maelfu ya Wakristo wameuwawa Nigeria kwa miongo miwili mfululizo na magaidi wa Boko Haram lakini hakuna kelele kubwa katika vyombo vya habari Africa wala popote duniani. Huko DRC magaidi wanachinja watu lakini hakuna kelele. Maisha ya Waafrika hayana thamani kama ya Waarabu na Wazungu?!
  11. GE2025 Tanzania wakristo kwa waislamu wote tuingie Mfungo kuombea nchi

    Mimi sio mtu wa siasa sana, wala sio mtu kanisa sana. Nimeona wachungaji wengi wakinena kuombea nchi hadi kanisa katoliki wamefunga novena kuombea haki na amani na kwa kweli nilikua naona maigizo tu. Naipenda nchi yangu, na hata kama nilikua naitetea mno serikali hii ya huyu mama nikiamini...
  12. Tofauti Kati ya Mungu wanayemwabudu Wayahudi na Mungu wanayemwabudu Wakristo na Mungu wanayemwabudu Waislam

    Kwa mtazamo wa Wayahudi (Uyahudi): 1. Mungu kwa Wayahudi ni nani? Wayahudi wanamwamini Mungu mmoja aliye wa milele, asiyeonekana, mwenye nguvu zote, aliyeumba ulimwengu. Anaitwa kwa majina kama: YHWH (Yahweh) – Jina takatifu sana, huwa halitamkwi kwa sauti. Elohim – Linamaanisha “Mungu” kwa...
  13. Wajue watu hawa wenye IQ kubwa walioamua kuwa Wakristo

    Katika ulimwengu wa leo, kuna watu wanaofikiri kwamba wanaomwamini Yesu Kristo na kuwa walokole ni “watu wenye ufahamu mdogo” au "wenye changamoto ya afya ya akili." Lakini historia na ukweli wa sasa unashuhudia vinginevyo. Kuna watu wanaotambulika kuwa wana kiwango cha juu cha akili (high IQ)...
  14. Kwanini Wakristo wanaposali hawageukii au kuelekea Yerusalemu (Qibla) kama Mfalme Sulemani alivyofanya?

    Kitabu cha 1 Wafalme 8:29-30 kinatuambia kwamba Mfalme Sulemani aliomba huku akilielekea hekalu lililokuwa Yerusalemu. Sasa swali ni hili: kwa nini Wakristo hawafanyi sala kama Sulemani? Mbona hawana mwelekeo maalum wanaposali? Usiumize kichwa kutafuta majibu. Majibu haya hapa: Kwanza ni muhimu...
  15. U

    Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

    “Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi" "Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia...
  16. U

    Kwanini baadhi ya wakristo huacha kuombewa na wachungaji na kwenda kwa kuombewa dua kwa Mashehe na wanafanikiwa kuondoa shida zao?

    Ni utafiti usiopingika sababu ni nini hasa? Uhaba kiimani au matokeo ya haraka?
  17. Sijaona Wakristo 'wanaotia udhu' kabla ya kusali. Kwanini? Mbona Yesu aliwatawadha miguu wanafunzi wake?

    Kwanini Wakristo hawajitakasi kwa maji, yaani kuosha viungo vya mwili (uso, kichwa, mikono na miguu) kabla ya kusali au kufanya ibada? Mbona katika kitabu cha Yohana 13 imeandikwa kwamba Yesu alipokuwa pamoja na wanafunzi wake, alijifunga taulo kiunoni, akamimina maji katika chombo, akaanza...
  18. Kanisa la Gwajima limefungwa; Je wakristo hawana umoja kama Yesu alivyowaagiza?

    Mughonile! kanisani leo tumesoma Yohana 17:22-23, ambapo Yesu anaomba kwa Baba: "Nimewapa utukufu ambao Umewapa mimi, ili wawe wamoja kama sisi tulivyokuwa wamoja mimi na Wewe, Mimi ndani yao na Wewe ndani yangu, ili wawe wamoja kabisa, na dunia ije kuamini kwamba Umewatuma." Nauliza, je...
  19. Aliyetunga sheria/adhabu ya kuwanyonga Wakristo, ana IQ ndogo?

    Ni ajabu hadi leo kuna nchi duniani ambazo bado zinatoa adhabu ya kumnyonga mtu aliyeamua kuacha dini yake ya mwanzo na kuwa Mkristo. Aliyebuni sheria/adhabu hiyo aliona kwamba hiyo ndiyo njia ya kuwakomesha wafuasi wa Kristo. Najiuliza: aliyetunga sheria/adhabu hiyo alishindwaje kuelewa Andiko...
  20. M

    Nje ya wasabato wanawake wakristo wengi wanavaa "Nusu uchi" wameacha kuiga mfano wa mavazi ya Bikira Maria

    Hapo zamani ukienda kwenye makanisa wakristo walivaa kwa kujistili sana, Sketi ndefu, magauni, vilemba, nywele natural, n.k. Sikuhizi imekuwa kawaida kuvaa NUSU UCHI kuanzia Suruali, Taiti, Kimini, vigauni vinavyochoresha, Pedo, Kitop, n.k. wakijitetea mavazi hayana shida kinahoangaliwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…