wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bashiri utabiri wako kuelekea Kariakoo Derby

    Tuone kipawa chako cha ubashiri. Kuelekea mchezo wa weekend hii, Yanga Vs Simba, tabiri matokeo yatakuaje. Mimi naanza Yanga 1-3 Simba, Tutakuepo
  2. JamiiForums Tanzania China wako vizuri sana kwenye kiingereza. Yani walivyomjibu Trump kwenye tarrifs, nimewakubali

    Baada ya Rais Trump wa Marekani kuiongezea china Terrifs kwenye bidhaa zake kutoka asilimia 10 hadi ishirini. Nao wamejibu kuiongezea bidhaa za marekani asilimia 15. Bidhaa za marekani ambazo china zimeongeza teriffs hadi asilimia 15 ni sorghum (ulezi), soybeans, pork (kiti moto), beef...
  3. JamiiForums Tanzania Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?

    Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?
  4. JamiiForums Tanzania Nikitu gani wazazi wako walikukataza toka utotoni lakin mpaka sasa ujakiacha umeshindwa kuacha kabisa

    Hello kuna vitu wazazi walikuwa wanatukataza kabisa kuvifanya na ikibidi ata fimbo utapigwa ila wapi ujaacha Mimi kula nimelala au nikiwa na kula situlii sehemu moja nitatembea tembea mpaka namaliza kula naweza chukua lisaa kabisa Kingineni engeezee ni kunywa maji nikiwa nimelala...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa sasa kwenye mahusiano wako kibiashara (wana selfish motives), wanaume tuache ku-fantasize romantic cinderella stories

    Habarini Nliingia kwenye insta story ya niffer, aliuliza wadada ni kitu gani kinafanya wawaheshimu zaidi wanaume walio nao, almost 95% of them walijibu maokoto, na their replies zilikua na umimi mwingi , me, me me, me, & me ananifanyia hiki. Wadada wachache walisifu "utu wema k.v loyalty...
  6. JamiiForums Tanzania Watu wanaweza wasielewe thamani ya matendo yako leo, lakini watatambua umuhimu wako ukishaondoka!

    Nyani na tumbili walipojua kwamba mkulima aliyewafukuza kutoka kwenye shamba la mahindi amekufa, walisherehekea kwa furaha. Lakini mwaka uliofuata hakukuwa na mahindi tena. Hapo ndipo walipogundua kwa uchungu kwamba mkulima waliyemdhania kuwa adui yao ndiye mkulima aliyelima mahindi. Watu...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mke wako anavyo imagine kama ukimuaga kuwa unaenda kuangalia mechi na washkaji.

  8. JamiiForums Tanzania Ishi kulingana na uwezo wako, usikimbizane na walimwengu

    Watu wengi siku hizi wanaishi Kwa presha sana,hii ni kutokana na kuiga mafanikio ya wengine, Kama vile,Nyumba nzuri,biashara,usafiri wa uhakika na uwezo wa vitu vingi. Hii inasababisha kufanya mambo Kwa kufuata majira ya mwaka. Utasikia nataka ifikapo mwakani niwe na hiki au nimefanya...
  9. JamiiForums Tanzania Kila unapoiona defender ya polisi inakuja usawa wako unaanza kujiwazia hivi kuna issue gani labda umezingua😂

    Unaanza kukumbaka mara ya mwisho kijiweni uliongea nini controversial, JF ulipost nini controversial, kitu gani umenunua kutoka kwa mtu labda ni cha wizi, 😂
  10. JamiiForums Tanzania Ewe jobless kukosa kwako ajira kusikuondolee usomi au uwezo wako wa kufikiri

    Mimi Kama rais wa chama Cha ma jobless pro max, nime ona nitoe angalizo Kwa wanachama wote walio ma jobless. lengo la kutoa angalizo ni kueleweshana mambo kadhaa, ili tuweze kujua ni mambo gani ya kuzingatia wakati huu. 01, Serikali haiwezi kuajiri watu wote, enyi ma jobless huu ndio ukweli...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini na ilikuaje ukapigwa kibuti na kuachwa na mpenzi wako

    Nini hasa ilikua sababu ya msingi hata ukaachwa na mpenzi wako na mlikua mnapendana sana? Umejifunza nini kwenye mahusiano yako mapya dhidi ya ulikopigwa chini na kinaimarisha uaminifu na upendo zaidi kwenye mapenzi yenu? kuna unacho kimiss? pole kwa mahusiano ya kimapenzi kichefuchefu my...
  12. JamiiForums Tanzania Ukifanikiwa kupata tobo la maisha ruksa kuwavimbia wabaya wako

    Maisha mpaka mtu kufanikiwa anakuwa amepitia mambo mengi kuna stages , kuchekwa , kupuuzwa , kusemwa vibaya , kudharauliwa . Ukiona mtu ana roho mbaya haijaja bure amefundishwa na walimwengu wenyewe. Wanadamu ni wakatili sana kwa mtu asiye na kitu . Ukifanikiwa kuyapata maisha vimba ...
  13. JamiiForums Tanzania Hakikisha mshahara wako wa mwezi mmoja unatosha kulipa kodi ya miezi sita , kama hautoshi tambua umepanga nyumba sio size yako. madeni hayatakuisha

    habari wadau. Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika. wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana
  14. JamiiForums Tanzania Ewe,mjasiriamali jenga uhusiano mzuri na wateja wako.

    Salaam jamiiforum Biashara ndiyo mfumo wa maisha tangu enzi na enzi,watu wananunua na kuuziana bidhaa, Wengi nadhani tunajua habari za Trans Saharan trade,bater trade n.k. Leo tuangazie procedures za mfanyabiashara mdogo au mjasiriamali wanao miliki biashara chini ya milioni hamsini hadi...
  15. JamiiForums Tanzania Umeshawai kumuacha mpenzi wako halafu ukajutia

    Husika na kichwa cha habari , Umeshawai kumuacha mpnz wako halafu ukajutia baada ya kukutana na Bomu zaidi , halafu unatamani kumrudia uliyemuacha, Funguka tupate experience mbali mbali
  16. JamiiForums Tanzania Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

    Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
  17. JamiiForums Tanzania Duh kama no kweli Basi Mh Rais Samia chawa wako wamevunja rekodi ya dunia🙌

    Sina maelezo mengi habari kwa picha
  18. JamiiForums Tanzania Lipi ni sawa, kumfukuza kijana wako hapo kwako ili akaanze maisha yake au kumwacha azeekee hapo kwako?

    Kwa jamii nyingi kijana akishapata umri basi anaonekana ameshakuwa mkubwa na hastahili tena kuwepo hapo kwako mzazi na mara ingine kama ataendelea kuwepo, basi atakereshwa almradi aondoke akaanze kujitegemea na s'tyms haya yanafanyika bila hata kujali kama mhusika ana ajira au la. Wengi...
  19. JamiiForums Tanzania Ukishinda Urais, vitu gani vitano utafanya katika utendaji wako?

    Ndio umeshinda urais wa awamu ya saba. Ni vitu gani vi-5 utaviondoa au kuvifanyia reformation ili utendaji wako na maendeleo ya wananchi viwe thabiti. Karibuni wakuu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…