Yes, huu utaratibu wa jeshi la polisi kutofuata taratibu za ukamataji na kwamba wao wako juu ya katiba na sheria za nchi utaisha kwa mwisho mbaya sana.
Naona watu badala ya kuogopa na kuwa wapole kama zamani , wanazidi kuchangamka sana na kuwa na confidence dhidi ya uonevu , kimsingi...